Search results

 1. YAKUTA

  Msaada kwa simu yangu

  Ni tecno y3+ ina-stuck mara kwa mara Nimejarib kufupunguza baadhi(hasa apps) nikaflash na kufanya factory reset lakin bado nzito Inaniletea jumbe hizi
 2. YAKUTA

  Ufafanuzi kutoka kwenye sheria ya ajira na mahusiano kazini mwaka 2004

  Habari ya saa hii Naomba kukumbushwa kwa wajuzi wa sheria Katika sheria ya ajira na mahusiano kazini mwaka 2004 naomba mnikumbushe ni kipengele kipi kinampa mtumishi wa umma hiyari kuchangia michango hasa kana ya mwenge ambayo haijapitishwa mahakamani kuchangia KILAZIMA
 3. YAKUTA

  Kwa mwalimu wa Geography

  Katika kitabu cha kufundishia geography form one(oxford) kinaeleza kwamba kuna sayari nane(8) PLUTO was demoted from being a planet by INTERNATIONAL ASTROMIC UNION(IAU) in 2006 kwa sababu it failed to meet the third condition to be a planet CONDITION FOE HEAVILY BODIES TO BE A PLANET , Must...
 4. YAKUTA

  Simu yangu inashida gani nisaidieni

  Ni tecno p5 nikiiwasha inaonesha ujumbe "phone memory full. Application has been stopped.please free the space" kabla haujafanya chochote inajizima yenyewe nisaidien wakuu shida ni nn
 5. YAKUTA

  Nauza laptop used

  NI aina ya dell latitude e5420 RAM GB 4 HDD 232 GB CORE i3 processor @ 2.20GHZ NB haina webcam nichek kwa 0719 534 513 nipo morogoro bei 350000/=
 6. YAKUTA

  Msaada: Mjamzito akinywa dawa ya Flagil mimba itaharibika?

  habar wanajamii samahani naomba kuuliza kama mwanamke akiwa na ujauzito wa mwezi mmoja ama miwili akinywa dawa ya tumbo ya flagil itasababisha kuharibu hiyo mimba? nawasilisha
 7. YAKUTA

  Wenye IQ kubwa watajibu hapa.

  1. My name has 3 letters. I am known all over the World. Take away 2 letters, I still have the same name. What am I...... 2. If your aunt's brother is not your uncle,then what relation is he to you? 3. I am deaf,dumb and blind. But I always show you the truth. What am I?..... Kazi kwako
 8. YAKUTA

  Kazi ya ualimu

  Hey jf memberz...I am student teacher who finished up my university education at SAUT specialized in Geography n' History. I am expecting to graduate dis November. I hereby request to any education instutution or private individual who r desperate in need to the teacher.. I will be available 4...
Top Bottom