Search results

 1. jina halisi

  Hospitali ya Kigamboni haina hadhi ya kuwa hospitali ya Wilaya, Serikali itazame kwa jicho la tatu

  Habari za muda huu wakuu, Naandika kwa masikitiko makubwa sana, nikiwa na ushahidi wanachosema kwakuwa mimi ni mmoja kati ya wahanga wa huduma mbovu za hospitali hiyo. Sitaki kuanza kulaumu watumishi wa hospitali, maana sina hakika kama ni wao au serikali ndio haifikishi vifaa vya sisi...
 2. jina halisi

  Nini kinasababisha mtumiaji wa bangi 'kupauka'?

  Habari za weekend wakuu,natumaini mpo salama na mapumziko ya mwisho wa week. Kikubwa leo nachopenda kufahamu kutoka kwenu na kwa uelewa ambao mnao kila mtu kwa nafasi yake ni kuhusu swala zima la bangi au mmea. Nina swali kuu ambalo nikipata jibu lake litanifungua na kunipa uelewa zaidi juu ya...
 3. jina halisi

  Una kibamia bado unajifanya playboy lazima ujidhalilishe

  Another day tunakutana tena wakuu, Ila acha niende moja kwa moja kwenye mada vibamia imekuwa ni mada ambayo imepata airtime kubwa sana hapa JF hasa kipindi hiki cha miezi hii ya karibuni na imekuwa na wachangiaji wachache japo sio sana (kwa utafiti wangu). Wengi wenye vibamia hawataki...
 4. jina halisi

  natafuta htc m8 used.

  Kama kichwa tajwa hapo juu,kama unayo ni pm tufanye biashara.
 5. jina halisi

  Kelele za msichana wangu wakati wa sex zinafanya majirani wafure

  Najua ni kipindi cha majonzi katika taifa,ila hali ya hewa pia ni chamgamoto sana hasa kwa sisi vijana damu bado inachemka. Navyoandika uzi huu nina kama dk 10 tangu tukio hili litokee hapa sina hamu tena na sijui kesho nawaangalia vipi majirani zangu. baada ya kutoka kwenye mizunguko yangu...
 6. jina halisi

  Nijuze hatua za kufungua auction mart.

  Habari wakuu,poleni na majukumu nafahamu kwa muda huu bado wengine wapo kwenye majukumu ya kujenga taifa ila naomba utakapopita hapa acha comment yako kwa kile unachoelewa kuhusu hii kitu. Nilihitaji kufahamu hatua na vitu vya kuzingatia wakati unataka kufungua kampuni ya ufilisi (auction...
 7. jina halisi

  KINYOZI PAMOJA NA MSUSI.

  Salaam jf,Natumaini mpo salama,leo nimeona tuwape shavu wale vinyozi pamoja na wasusi ambao huwa wanatufanya tuonekane vizuri tukiwa katika mishe mishe zetu na mionekano amaizing kutokana na kazi nzuri wanazofanya kwenye vichwa vyetu. Acha nianze mimi kwa kumpa shavu kinyozi wangu...
 8. jina halisi

  Ujana wako ule na nani uzee tumalizie wote?

  Natumaini mpo salama,weekend najua imekwenda vizuri na tayari kwa kesho kuelekea katika mihangaiko ya kila siku. Katika utafiti wangu mdogo wa hapa jf nimegundua asilimia kubwa na wanaume au wanawake wanaotafuta wapenzi umri wao ni kuanzia miaka 25 kwa wanawake na wanaume mpka miaka...
 9. jina halisi

  Nataka kuoa mke wa Kihindi, Kiarabu au Mpemba ila wengi ni Waislam na mimi ni mkristo, nifanyeje?

  I hope mpo salama, Nahitaji ushauri kwa hili mimi ni kijana wa kikristo na ukoo wangu ni wa upande huo, lakini katika malengo yangu nimepanga kuoa au kupata mwanamke wa Kiarabu, Kihindi nikikosa sana Mpemba. Kwa ufupi msichana mwenye ushombe shombe na asilimia kubwa ya wanawake wa aina hiyo ni...
 10. jina halisi

  Natafuta kazi, nina cheti cha procument and supply

  Ni kijana wa miaka 21,natafuta ajira halali yakufanya,nina certificate ya procurement&supply pia nina talent ya presenting (presenter) kwahyo naweza kufanya hata kazi za entertainment pia,Kwa maelezo zaidi please naomba uni PM.
 11. jina halisi

  Watanzania kwanini hatupigi kura tuzo za MTV?

  I hope mpo salama kabisa, Kiukweli naona tatizo la watanzania kutokushinda katika tuzo za MTV ni kukosa kura za kutosha na watanzania. Now maisha magumu kila mtu anafikiri kwa upande wake ukianza kumletea habari za kupiga kura anaona kama unamchanganya. Why nimefikiria hivyo? Hapo mwanzo...
 12. jina halisi

  LAPTOP YA MKOPO

  Habari,msaada kwa anayejua jina la sehemu wanayokopesha laptop kwa wanafunzi wa chuo pale posta,tangzo lake linaruka sana pale clouds fm.
 13. jina halisi

  Mkopo wa laptop

  Habari zenu wana JF, Samahani kwa aliyepata kusikiliza tangazo vizuri kwa wale jamaa wanaokopesha laptop kwa wanachuo na wafanyakazi, tangazo huwa linaruka kupitia Clouds Fm, naomba anikumbushe jina la company hiyo nina shida nalo.
 14. jina halisi

  Naomba maelezo kuhusu kozi ya NABE

  Natumaini mpo salama wana jf, Nina swali hapa, napenda kupata maelezo kwa anayeelewa zaidi kuhusu course inaitwa NABE. Sijui ina maana gani ila kwa tetesi nasikia usipofikisha 'D' 4 form four ndio unasoma hii. Kwa mwenye uelewa naomba anipe maelezo zaidi.
 15. jina halisi

  ushauri wa ujasiriamali.

  https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1131385/ ushauri wa ujasiriamali.
 16. jina halisi

  Ushauri wa ujasiriamali, sina uwezo mzuri kimasomo

  Habari zenu wanaJF, Kama kichwa kinavyojieleza hapo, mimi ni kijana mdogo nina kama miaka 22 nimefanikiwa kusoma mpaka cert ya procurement & supply. Lakini katika kusoma kwangu nimesoma kwa shida sana sina maana kwamba ada haikupatikana la hasha bali ni uwezo wangu kimasomo sio mzuri kufaulu...
 17. jina halisi

  Natafututa mchumba wa kike 18-20 years.

  Mm ni kijana wa miaka 21 natafuta mchumba wa kuwa na malengo nae na sio wa muda mfupi 2.Kwa aliye tayar anicheck inbox.
 18. jina halisi

  ushauri wa kozi fupi

  Habari zenu wana jf,mm ni kijana na nimesomea cert ya procurement&supply na nina kipaji cha utangazaji ila bado naendelea na diploma ya procuremnt,ila nimepata nafasi yakusoma course fupi ya utangazaji wa radio&tv,je hyo course fupi itanisaidia japo kupata nafasi sehemu na kupata uzoefu zaid...
Top Bottom