Search results

 1. WABHEJASANA

  Waziri Nyalandu awekewa Bodigadi?!

  Nimeskia asubuhi kwenye uchambuzi wa magazeti asubuhi kwamba Nyalau amewekewa Bodigadi (Mlinzi) anayejua taarifa hii kwa kina atusaidie imekaaje hii wadau?!
 2. WABHEJASANA

  Vurugu uchaguzi Kahama: Mmoja auwa kwa jembe kichwani

  Mtu mmoja amefariki Dunia baada ya kukatwa na jembe kichwani hadi kufumua ubongo wake baada ya kutokea vurugu kati ya wafuasi wa chadema na CCM katika kijiji cha Ngokolo wilayani Kahama mkoani Shinyanga. Tukio hilo limetoea jana majira ya saa 4 usiku wakati wananchi wa kijiji hicho wakisubiri...
 3. WABHEJASANA

  MKOSAMALI Afikishwa mahakamani

  Mbunge wa jimbo la Muhambwe wilayani Kibondo Mkoani Kigoma Felex Mkosamali amaefikishwa katika mahakama ya wilaya hiyo kwa tuhuma za kuzuia wananchi kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura. Mbunge huyo anadaiwa kwamba jana alikwenda kwenye moja ya vituo vya kuandikisha wapia kura na kumpora...
 4. WABHEJASANA

  Ligi Kuu Tanzania Bara, Raundi ya V - 25 Oktoba 2014

  Nitakuwepo kwenye uwanja wa Kambarage LIVE (Stand United vs Yanga) kwa hiyo kwa wale mashabiki wa mpira najua hakuna Tv itakayoonesha mpira huu lakini kupitia JF utapata kila kinachojiri ndani uwanja huo. Kwa wale ambao tutakuwa kwenye uwanja huo tukae mguu sawa kwa aili ya kuhakikisha wale...
 5. WABHEJASANA

  CHADEMA Singida wazuiwa kuandama

  Wakuu taarifa za uhakika nilizozipata kutoka singida saivi ni kwaamba viongozi wanne wa chadema wamejifungia ofsini baada ya kujaribu kuandamana lakini baada ya kutoka hatua kama kumi hivi wakakutana na polisi waiwa na mitutu wakakimbia kurudi ndani na wamejifungia ndani ya ofisiyao. Walikuwaa...
 6. WABHEJASANA

  OCS afumaniwa na mwanafunzi wa Kidato cha Nne

  Mkuu wa kituo cha polisi cha Nyamboge kata ya Katoma wilayani Geita akutwa jana chumbani akifanya mapenzi na mwanafunzi wa kidato cha 4. Wananchi walimteka na kumpeleka kituo cha polisi,mkuu huyo wa kituo cha polisi anadaiwa kwamba siku 10 zilizopita alimuweka mahabusu mwanafunzi huyo kumtisha...
 7. WABHEJASANA

  Kituo cha polisi Geita chavamiwa, Askari wauawa!

  Wakuu habari za leo Jumamosi?! Nimepokea taarifa kutoka Mkoani Geita kwamba usiku wa leo majira ya saa 9 watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi wamevamia kituo cha polisi cha wilaya ya Bukombe na kuua askari sita waliokuwa zamu na kuvunja ghala la silaha na kuzichukua. Nitaendelea kutoa taarifa...
 8. WABHEJASANA

  Ndege Iliyopotea Mwanza yapatikana Serengeti, watu wote wamekufa

  Wakuu kuna taarifa za kupotea kwa ndege moja leo asubuhi ambayo imetokea kwenye uwanja wa ndege wa Mwanza kwenda jijini Nairobi. Bado haijajulikana ilikuwa na abiria wangapi na ni aina gani kwa sababu viongozi wa uwanja wa Mwanza wako kwenye kikao wakimaliza pengine tutapata taarifa kamili kwa...
 9. WABHEJASANA

  Askari wa Hifadhi ya Rubondo wadaiwa kuzamisha wavuvi sita ziwani

  Askari wa hifadhi ya taifa ya kisiwa cha Rubondo iliyopo wilayani Geita wanadaiwa kuwapiga risasi wavui wawili na kuwavunja magoti mmoja amelazwa kwenye hospiali ya wilaya ya geita na tayari alikuwa ameanza kuoza majeraha,mwenzake yuko mahabusu na hapati matibabu. Hata hivyo inaaiwa kwamba...
 10. WABHEJASANA

  Live updates 02/02/2014:yanga vs mbeya city

  Wakuu leo ni leo kwenye uwanja wa Taifa mechi kali kati ya Yanga na Mbeya City,hawa unaweza kuwaita wabishi wa ligi kuu bara! Mbeya City tayari imejigamba kushinda mchezo huo na kwamba hamu yao kubwa ni kuikiza Yanga! Ni maneni mazito sana kama si matusi ya Mbeya City kwa Yanga! Mbeya...
 11. WABHEJASANA

  MARY PETRO: Mlemavu anayelala chali kwa miaka 51 sasa!

  By David Azaria Kwa muda mrefu kumekuwepo na taarifa za ukatili dhidi ya watu wenye ulemavu; tumesikia walemavu wa ngozi (Albino) kwa namna walivyofanyiwa na wanavyoendelea kufanyiwa ukatili kisa eti Imani za kishirikina. Pamoja na yote uliyosikia lakini hebu fuatilia kisa hiki, ambapo mlemavu...
 12. WABHEJASANA

  Chadema kusambaratika?!

  Kwa muda mrefu sasa kumekuwepo na malumbano ndani ya chama cha Demokrasia na Maendeleo! Kubwa linalogombaniwa hivi sasa ni nani awe Mwenyekiti wa chadema Taifa?! Kuna mafahari wawili ndani ya chadema,fahari mmoja akitakiwa na kikundi kidogo cha wachumia tumbo na fahari mwingine akiwa...
 13. WABHEJASANA

  FIFA yamruhusu Okwi kuchezea Yanga

  http://www.mtnfootball.com/africa/uganda/fufa-super-league/news/2013/dec/19-kiiza-aaaoe-fifa-cleared-okwi-move-to-tanzanian-club.html
 14. WABHEJASANA

  Baada ya Kibanda:POLISI wajeruhi Mwandishi Mwingine wa Habari

  WANAJAMVI: KUNDI la Askari polisi wapatao 10 wa kituo kikuu cha Polisi Geita wamemjeruhi vibaya Mwandishi wa Habari wa Redio Free Afrika Mkoani Geita Salum Maige baada ya kumshambulia kwa magumi na Mteke. Mwandishi huyo kwa sasa amelezwa wodi namba mbili katika hospitali ya wilaya ya Geita...
 15. WABHEJASANA

  Msafara wa Rais wapata Ajali Geita

  Taarifa nilizopatiwa na mmoja wa watu walioko kwenye msafara wa Rais Jakaya Kikwete huko mkoani Geita,ni kwamba Msafara huo umepata ajali ambapo moja ya magari lililokuwa limewabeba waandishi wa habari limepata ajali na kupinduka. Waandishi wa habari waliokuwa ndani ya Gari hilo ni Fredrick...
 16. WABHEJASANA

  LIVE UPDATES:Yanga VS JKT Ruvu Uwanja wa Taifa

  Mabingwa Tanzania Yanga leo wanashuja kwenye uwanja wa Taifa kuania saa 10 kamili jioni kumenyana na Vijana wa Jeshi la kujenga Taifa JKT Ruvu. Ushindi kwa leo ni muhimu sana kwa Yanga ili iweze kukalia kiti cha uongozi ingawa pengine huenda ikaww kwa muda tu. [MENTION=102067]MZK[/MENTION...
 17. WABHEJASANA

  Jamal Emil Malinzi: Rais Mpya wa TFF aliyevuka milima na mabonde!!

  Wakuu wana-JF! Alianza kwa kuondolewa kwenye kinyang'anyiro cha uchaguzi mapema mwaka huu kwa madai kuwa hana sifa za kugombea uongozi tff lakini wakajisahau kwamba amewahi kuiongoza Yanga na hadi sasa ni Mwenyekiti chama cha mpira mkoa wa Kagera. Wala hawakutaka kusikiliza lolote wakaziba...
 18. WABHEJASANA

  Fastjet wasababisha majanga Dar

  Wakuu habari?! Nimeelezwa na ndugu zangu sita waliokuwa wanakwenda mwanza Leo kutoka hapa dar kwa ndege ya Fastjet FB2NSZ iliyokuwa iondoke saa 02:10 mchana kwamba ndege imeahirisha safari na kwamba abiria wachague siku nyingine ya safari kuanzia kesho,na wametuma ujumbe kwa baadhi ya abiria...
 19. WABHEJASANA

  Yaliyojiri VPL: Simba SC vs Yanga SC - 20 October 2013

  Sitaki kuchelewa hata kidogo nimeshaanza safari ya kuelekea Taifa.halafu Jamaa wa JF walikuwa wameficha naona walikuwa na ukarabati, hongera sana Maxence Melo. UPDATES: Mapumziko: Yanga 3 - 0 Simba Dakika 54: Yanga 3 - 1 Simba (Goli la Simba limefungwa na Mwombeki) Dakika 57: Yanga 3 - 2...
 20. WABHEJASANA

  Waziri Ghasia aonja Hasira za Madiwani

  Waziri wa TAMISEMI Hawa Ghasia jana ameonja Hasira za madiwani wa Wilaya ya Geita,baada ya Madiwani hao kumtaka kumfukuza kazi na wala sio kumhamishia kwenye kituo kingine Katibu Tawla wa Mkoa wa Geita Severine Kahitwa pamoja na Msaidizi wake ambaye anadaiwa kukataliwa mwaka jana na mkuu wa...
Top Bottom