Search results

 1. Nanyaro Ephata

  CCM ni chama mfu, kimeshindwa kusimamia Ilani yake maswala ya jinsia

  Niliwahi kuandika huko nyuma kuwa ccm ni chama mfu,chama kilichopoteza Dira na Itikadi! Chama ambacho kimeshindwa kusimamia serikali yake yenyewe ni chama kilichokufa Chama ambacho kimeshindwa kusimamia utekelazaji wa ilani yake ni chama mfu! Kuanzia ilani ya uchaguzi ya mwaka 2010 hadi leo...
 2. Nanyaro Ephata

  Viongozi wengi awamu ya hayati Magufuli ni wanafiki na waongo

  Wanachama wa ccm wenye nafasi za uongozi ni wanafiki sana,kama kuna PhD ua unafiko na uongo basi ccm wanayo! Ni wazi kuwa chama chao.kinazalisha wanafiki na waongo,vijana wadhaifu,goigoi na wasiokuwa na msimamo wa jambo wanaloliamini na kuwa tayari kulisimamia Akiwa waziri tena mwenye taaluma...
 3. Nanyaro Ephata

  Uchambuzi: Abramovich the billionaire from nowhere

  Jina la kitabu.ABRAMOVICH THE BILLIONAIRE FROM NOWHERE Mwandishi.DominicMidgley and ChrisHutchins Mchambuzi.Nanyaro EJ Utangulizi Mwandishi anasema kuwa hadi kufikia mwishoni mwa mwaka 1999 hakuna gazeti lolote lililokuwa na hata picha tu ya Abramovich.Ila hadi wakati huo tayari Abramovich...
 4. Nanyaro Ephata

  Uchambuzi wa Kitabu-Parenting with Love & Logic

  Kitabu.Parenting with Love and logic Mwandishi.Foster Cline & Jim Fay Mchambuzi.Nanyaro EJ Utangulizi Mwandishi anasema kuwa swala la malezi ni mjadala mpana na ambao hakuna njia moja yenye manufaa kwa asilimia mia moja.Hivo kitabu hiki kitajikita kwenye mbinu mbalimbali ambazo...
 5. Nanyaro Ephata

  Lini binadamu alianza kuongea?Je lugha msingi wake ni nini?

  Wakuu salaam Ninaomba wajuzi wa mambo watusaidie,nimejaribu kupitia tafiti mbalimbali kuhusu lini hasa binadamu alianza kuongea(kutamka maneno) na ilikuwaje,neno la kwanza lilikiwa nini! Nini kilimsukuma kutamka etc kwenye tafiti hizi sijapata jibu la moja kwa moja Na je lugha ina umri wa miaka...
 6. Nanyaro Ephata

  Mambo kumi ya kuzingatia 2021 ili uishi maisha yako

  Kwaheri 2020 karibu 2021 Awali ya yote tuna kila sababu ya Kumshukuru Mwenyenzi Mungu mwingi wa neema na Rehema.Mwaka 2020 umekuwa na changamoto lukuki,katika sekta zote,Kiuchumi,kiafya,kijamii na kisiasa.Lakini bado Mungu wetu ni mkuu sana! Tunafahamu kuwa tuna ndugu,jamaa,marafiki ambao...
 7. Nanyaro Ephata

  Uchambuzi: Tough times never last, Tough people Do!

  Jina la Kitabu. Tough Times Never Last, But Tough People Do! Mwandishi. Robert H. Schuller Mchambuzi. Nanyaro EJ Utangulizi Mwandishi anasema kuwa Mwenyenzi Mungu amempa mwongozo mzuri na neema ya kutambua wakati wa kuachia jambo na wakati wa kungangana na jambo. Pia amejaliwa neema ya kujua...
 8. Nanyaro Ephata

  Siku 100 za Serikali ya CHADEMA madarakani

  MAMBO YA SIKU 100 ZA KWANZA Ndani ya siku 100 tangu siku ya kuapishwa kwa Rais na Wabunge, watakaokuwa wamechaguliwa, Serikali ya Chadema itafanya taratibu zinazohusika ili kuhakikisha yafuatayo yanatendeka: i) Serikali itapeleka Bungeni Muswada wa Sheria ya Maridhiano, ambayo pamoja na mambo...
 9. Nanyaro Ephata

  How to Negotiate Anything with Anyone Anywhere Around the World

  Jina la Kitabu.How to Negotiate Anything with Anyone Anywhere Around the World Jina la Mwandishi.Frank Accuf Mchambuzi.Nanyaro EJ Utangulizi: Mwandishi anasema kitabu hiki ni mwongozo kwa yeyote ambaye angependa kufanya majadiliano(Negotitions)na watu mbalimbali au taasisi mbalimbali za...
 10. Nanyaro Ephata

  Uchambuzi: Shirika la ujasusi la Uisraeli Mossad

  Kitabu.Mossad Mwandishi.Michael Bar Zohar & Nissim Mishal Mchambuzi.Nanyaro EJ Dibaji. mwandishi anasema kuwa hiki kitabu ni mchanganyiko wa kazi za kutukuka zilizofanywa na Mossad,nafanikio na changamoto moto,mkusanyiko wa operesheni mbalimbali ambazo zimefanywa maeneo mbalimbali Duniani...
 11. Nanyaro Ephata

  Kitabu: New World Order - Uchambuzi

  Jina la Kitabu.The New World Order Mwandishi.Ralph Epperson Mchambuzi.Nanyaro EJ Utangulizi Mwandishi anajitambulisha kama mtu aliyependa kusoma maandishi mbalimbali,na kila alipomaliza kusoma kiu ya kutaka kujua zaidi ikawa inaongezeka,hii ilimfanya asome na kusoma na kusoma na kusoma...hadi...
 12. Nanyaro Ephata

  uchambuzi wa kitabu- A Biography of the Continent

  Jina la kitabu Jina la kitabu A Biography of the Continent. Mwandishi: John Reader. Mchambuzi: Nanyaro E.J. Dibaji. John Reader ambaye ni mwandishi wa Kitabu hiki ni mtoto wa dereva Tax wa Londoni,ambaye alikuja Afrika mwaka 1955 na kuishi Cape town kwa miaka nane kabla ya kuhamia Nairobi...
 13. Nanyaro Ephata

  CHADEMA njia ya mabadiliko tuyatakayo

  Nimeandika mara kadhaa kuwa ccm ni marehemu,kuwa chama kinachoitwa ccm ni mfu kilikufa ikazikwa,hakipo.Tunajua kuwa chama cha siasa ni imani(itikadi) leo wanaccm hawajui imani yao maana haipo na haipo kwa kuwa chama kimekufa! Bahati mbaya ccm wanafikiri watafufuka kwa kuiua CHADEMA,yaani...
 14. Nanyaro Ephata

  Ushindi unakuja CHADEMA

  Ushindi unakuja CHADEMA Tell my people that l love them ,and they must continue the fight ,my blood will nourish the tree that will bear the fruits of freedom, Aluta continue!! " "waambie watu wangu kuwa nawapenda nawaendelee mapambano, damu yangu itarutubisha mti ambao utazaa matunda ya uhuru...
 15. Nanyaro Ephata

  Uchambuzi wa kitabu cha My Life kilichoandikwa na Bill Clinton

  Kitabu. My Life Mwandishi.Bill clinton Mchambuzi.Nanyaro EJ Dibaji Mwandishi anasema kuwa alipokuwa kijana mdogo akiwa na matamanio makubwa ya kimaisha,alisoma kitabu fulani ambacho kimekuwa msaada mkubwa kwenye maisha yake,na ambacho kilimsaidia kuwa alivo leo.Hiki kitabu kinaitwa *How to get...
 16. Nanyaro Ephata

  Freeman Mbowe, Said Issa na Tundu Lissu, washinda kwa kishindo Uchaguzi Mkuu CHADEMA

  Matokeo ya uchaguzi mkuu Chadema yametangazwa ambapo Freeman Mbowe amepata ushindi wa Tsunami. Mbowe ambaye amekiongoza chama hicho kwa miaka kumi na tano sasa alishangiliwa mno na wajumbe wakati matokeo yakitangazwa na msimamizi wa uchaguzi Sylivester Masinde. Mbowe amepata ushindi wa asilimia...
 17. Nanyaro Ephata

  Mjue Dorcas Francis - Mgombea nafasi ya Mwenyekiti BAVICHA Taifa

  MGOMBEA NAFASI YA MWENYEKITI BAVICHA TAIFA 2019. JINA: DORCAS FRANCIS UMRI: 29 ELIMU: SHAHADA YA UZAMILI YA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM (Master in International Business) DIPLOMASIA YA UCHUMI ( Post graduate Diploma in Economic diplomacy) Kutoka Chuo Cha DIPLOMASIA Kijulilikanacho kama...
 18. Nanyaro Ephata

  Mbowe aeleza machache kuhusu kuondoka kwa Lowassa

  Freeman Mbowe akihutubia mkutano wa ndani wa CHADEMA mkoani Singida amesema Chadema ni taasisi na hata ukiondoka utaondoka wewe na mke wako na siyo chama. Mbowe amemtolea mfano Edward Lowassa kuwa hakuyajua mateso ya kuwa upinzani na baada ya miaka miwili ya kuwa upinzani Lowasa alilegea kama...
 19. Nanyaro Ephata

  Kwa WANACHADEMA na Wapenda Haki wote

  kwa WanaCHADEMA na wapenda Haki wote Tangu sakata la kuvuliwa Ubunge kwa Nasari lianze nilifikiri kukaa kimya kwanza,baada ya kimya kirefu naomba nieleze machache ninayofahamu ili kuweka rekodi sawa Mosi. Nassari anakiri kuwa hajakosa vikao vitatu kama Spika aliyodai. Anasema kikao cha...
 20. Nanyaro Ephata

  Orodha ya vitabu nilivyosoma 2018

  Salaam wanabodi Wakati mwaka ukielekea Ukingoni yatupasa kumshukuru Mwenyenzi Mungu kwa neema na rehema zake.Ni ukweli kuwa ametubariki kuliko yale tunayostahili Nawapongeza wale ambao wanatumia muda wao kujisomea,kwenye vitabu kuna maarifa mengi,Natoa rai kwa wale ambao bado hawana utaratibu...
Top Bottom