Search results

 1. Calfornia

  Bi. Khadija Mkomanile, mwanamke jasiri wa Vita vya Maji Maji

  Hakuna kitu kinachoitwa jina la kiislam au jina la kikristo. Kuna jina la kiarabu au 'kizungu'. Uislam umetumika kueneza tamaduni za kiarabu kama ambavyo ukristo umetumika kueneza tamaduni za kizungu. Matokeo yake utambulisho wa kiafrika umepotea kabisa sababu ya kuwa brainwashed.
 2. Calfornia

  Sikuwahi amini, kumbe haya mambo ni halisi?

  Tuheshimiane sista, uzinzi wangu uko wapi?
 3. Calfornia

  Sikuwahi amini, kumbe haya mambo ni halisi?

  Kuna jambo binafsi nimekuwa siliamini sana kama lipo, labda sababu kuona ni kuamini. Kuna 'sista' wangu mmoja leo ame-share nami kitu kilichonishangaza kidogo, wenye ndoa wenzangu labda mnaweza fumbua macho pia. Huyu 'sista' alimuattend dada mmoja, baadae akaombwa namba yake ya simu kwa kigezo...
 4. Calfornia

  Ndege za serekali zilizotakiwa kunyunyuza dawa kuuanzige Manyara na Kilimanjaroa zilishauzwa kwa 500,00 kila moja.

  Sijaelewa, hizi ndege ziliuzwa toka 2013, zaidi ya miaka 7, sasa kama ziliuzwa maana yake hazipo tena chini ya milki yao sasa wanazitumia vipi?
 5. Calfornia

  Jennifer Lopez Avalishwa Pete ya Dola mil 1 sawa na bilion zaidi ya 2 tshs na Mchumba Wake

  siri ni kupiga lishe bora, piga tizi kwa viwango staili, acha kulala lala, lala kiwango cha kutosha, achana na stress, ishi happy life, achana na kunywa pombe hovyohovyo na usinywe pombe za hovyo, sio pombe ukiinywa asubuhi ukikata gogo, nyumba nzima inanuka, ukijamba harufu kali hadi...
 6. Calfornia

  Tupige story

  Sehemu ya tatu na mwisho iko comment #3.
 7. Calfornia

  Tupige story

  Tayari.
 8. Calfornia

  Tupige story

  Tayari muendelezo, check comment namba 2
 9. Calfornia

  Tupige story

  Sehemu ya Pili iko comment #2
 10. Calfornia

  Simulizi: Mke Wangu Juliana

  Thanks for the story! It's such an excting one. Nimejifunza hapo kuhusu aina za mapacha walioungana. Licha ya kuwa ni fiction mambo ya mzee abraham yapo sana kitaa. Sema ningekua mimi john huwa amanda ningemuomba gem, namfumua sana nakula hadi mombasa halaf nampiga chn. Mwamamke anayemvulia chup...
 11. Calfornia

  Tupige story

  Hii haina kuzingua ntaimaliza. Kesho mapema tu naiendeleza
 12. Calfornia

  Tupige story

  III: 'NDUKI'. Maisha yalisonga miezi takribani miwili. Maisha yalikua ya kawaida na mapitio ya kawaida ya kimaisha, ambayo si ya muhimu sana kwenye story hii. Sasa jambo moja lilitokea usiku wa kuamkia mwaka mpya. Binafsi napenda kuhave fun, kwa namna yoyote. Mimi ni yule mtu naweza sikiliza na...
 13. Calfornia

  Tupige story

  II: 'UFUNUO'. Basi nikaenda kwa white, nilipofika nilimkuta sebuleni amelala. Akasema kichwa kinamuuma nikamuuliza umekunywa dawa, jibu likawa bado. Basi, nikatoka kuna kiphamarcy pale kitaa, nikamchukulia panadol advance zile za kenya. nikamchukulia na grand malta mbili. Basi night ile hali...
 14. Calfornia

  Tupige story

  Hii ni story tu kama story zingine, ila unaweza isoma. Tunapata uzoefu wa maisha kupitia watu na story zao. Yote ya hapa ni story tu. Ila si mbaya ukasoma. Ina sehemu tatu, sehemu ya pili ndio mzizi wa story hii. Ila tuanzie kwenye kutano. KUTANO Miaka michache kabla ya utawala wa jk kuisha...
 15. Calfornia

  Msaada: Flat Screen ya LG inasumbua kuwaka

  Habari ya jioni wanaJF. Shida ya TV hii, nikiconnect kwenye umeme, inaonyesha kuwa iko power on, kisha inatokea Logo LG (kuonesha kama inataka kuwaka) halafu inakata. Inabidi niiache kwa muda wa kama masaa matatu, kisha ninanurudia tena zoezi hilo la kuizima na kuiwasha (naweza tumia nusu...
 16. Calfornia

  Pierre Nkurunzinza aliweka siasa mbele ya janga la COVID-19, sasa hatupo naye

  Siasa za Maziwa makuu ngumu sana, nitakuwa wa Mwisho kuamini kuwa PN kafariki kwa Corona.
Top Bottom