Search results

 1. jisanja

  Je, wabunge wa upinzani mmejipangaje?

  Wote tumekua mashuhuda kwa yanayoendelea au yanayofanywa kuhujumu upinzaji katika nchi hii. Tumekua tukishuhudia ubaguzi wa wazi kabisa sio tu kwenye majukwaa bali hata katika utendaji hsa kwa serikali hii. Tumeshuhudia maendeleo yakipelekwa mahali walikochagua chama tawala na upinzani kuachwa...
 2. jisanja

  Kero za daladala

  Katika jiji la Dar es Salaam nadhani hili linaongoza hasa kwa wale tunaotumia usafiri huu ambao ustaarabu ni zero, unakuta mtu umesimama kituoni masaa mawili kusubiri daladala, alhamudulilah linakuja unapigana kupata siti unaingia hapo uko hoi unajilaza kwenye siti angalau upumzishe mwili na...
 3. jisanja

  Iweje Seth na Ruge wafikishwe mahakamani peke yao?

  Nimejaribu kusoma maandiko mbali mbali mitandaoni wengi wakifurahia kukamatwa kwa Seth na Rugemalira, wengi wakaenda mbali zaid kumpongeza mh. nkajiuliza wengine wako wapi? Ripot ya Bunge ilielezea kwa uwazi kabisa ushiriki wa wahusika...mawaziri..gavana na wahusika wengine ambao walihusika...
 4. jisanja

  Mtu akifa roho yake huenda wapi

  Wasaalam wanajamvi, sina maana ya kutaka kuchimbua imani za watu na nisingependa hata katika majadiliano watu waanze kukashifu dini za wengine..... wengi wetu tunaamni kua mwili, nafsi na roho n vitu tofauti.... mtu akifa inakua na maana kua mwili umejitenga na roho...je roho hii iliyojitenga na...
 5. jisanja

  Naomba kujua kuhusu CESARE BORGIA

  Habari za Leo wanaJF, Kwanza kabisa naomba kudeclare interest "Mimi n mroman catholic" Katika pita pita zangu nmekutana na habar za huyu CESARE BORGIA wengi wakisema kua alikuwa mtoto wa papa akiwa na Mdogo wake lukresia...mengi yameongelewa lakin kubwa zaid Lililonishangaza n madai ya kuwa...
 6. jisanja

  Kamata kamata ya Polisi mitaa ya Segerea

  Kuna tetesi kuwa polisi wanapita mitaani wakikuta watu wanajadili siasa wanawakamata et wanatishia usalama wa nchi!!!! hivi ni kwel nchi hiii tumefikia huko? Tumefikia hatua ya kuwanyima raia kuelimishana wao kwa wao? Kuwanyima raia uhuru wa kuongea na kutoa maoni yao? Kwakwel serikal ya CCM...
 7. jisanja

  Natafuta chumba na sebule Tabata, Dsm

  Natafuta chumba na sebule along maeneo kuanzia tabata-bima hadi tabata segerea.... kisiwe mbal na barabara... kiwe self .... jiko.... gpsum na tiles. kiwe na maji if possible kue na geti.... bajet laki ad laki na nusu kwa mawasiliano npm
 8. jisanja

  Saluni ya kike inapangishwa Tabata kwa Bibi

  Saluni ya kike inapangishwa, ipo maeneo ya tabata kwa bibi....ipo katika hali nzur....centre nzuri na ina vifaaa vyote vinavyohitajika! Kwa mawasiliano na maelewano nipm......
 9. jisanja

  Mwenye majina ya walioitwa usaili SIDO

  Tafadhali kama kuna mtu ambaye kapata majina ya walioitwa kwenye usaili wa SIDO kwa nafas za planning, research,.........maaana nimeona tangazo leo kua wametoa majina kwenye website yao ila nkifungua link haitak...... mwenye nayo plz tunaomba ushare
 10. jisanja

  Nafasi ya kazi, dada wa saloon

  Anahitajika mdada wa saluni maeneo ya bugurun...ambaye atakuwa serious na kazi yake. Awe anajua kusuka mitindo mbalimbali na kufanya setting... Mshahara maelewano.... Kama una ndugu au rafiki ambaye unahis anaweza fanya kazi hio ni pm....
 11. jisanja

  Nimechoka wizi wa TIGO

  Kwa kwel mtandao wa tigo umeniudhiiii kiasi cha kufikiria kuvunja vunja line yao... Wamekua wapuuzi sana...kila nikiweka salio wanakata....nikiweka jero wanakata.....inabak kama 200 ivi muda ule ule nikiuliza salio mara mbili wanaikata mpaka na io mia mbili...nikiweka tena vocha...
 12. jisanja

  Je! tumechukua hatua gani kukabiliana na Ajali za barabarani

  Kumekuwa na ajali nyingi sana barabarani zinazomaliza maisha ya watanzania wengi. Ajali nyingi zimekuwa zikisababishwa na i)mwendo kasi ii)ubovu wa magari iii)uzembe wa madereva Kwangu mimi imekua ikiniumiza sana kiasi kwamba muda mwingine hadi mtu unaogopa kusafiri maana kila siku lazma...
 13. jisanja

  Msaada wa connection ya biashara ya kuku...

  Habari za Leo wanajamii forum jukwaa la ujasiliamali.....Naomba tafadhali kwa yeyote anayeweza kunipa market connection ya Wale wanunuzi wa kuku wa kienyeji (kwa jumla) kwa hapa daresalama Naomba anisaidie.....cuz nmejaribu kuzunguka mahotelini wanasema wana watu special hua wanawaletea...mpaka...
Top Bottom