Search results

 1. M

  Nyuki wema, nyuki wabaya!

  Mshana niendelee kutumia tu hio chumvi kwa shughuli zote hizo hadi tatizo Liishe? Niliacha kutumia kwasababu muda mwingi sipati usingizi nashinda nikiwa mchovu
 2. M

  Nyuki wema, nyuki wabaya!

  Nakubaliana nawe kabisa. Kuna muda nyumba nzima tunaishiwa nguvu, kuona ndoto mbaya
 3. M

  Nyuki wema, nyuki wabaya!

  Nikiogea, Nikidekia na hata kunyunyiza chumvi ndani ya nyumba huwa sipati usingizi kabisa.
 4. M

  Kumbukumbu ya kuzama kwa MV Bukoba tarehe 21 May, 1996

  Wapendwa wetu wapumzike kwa Amani.
 5. M

  Ujue Mti chonganishi

  Huu mti, Mshana Jr alishauelezea sana humu jukwaani. Tafuta thread "mti chonganishi"
 6. M

  Tunajifunza nini toka kwa mfalme Suleiman?

  Kuna mengi sana ya kujifunza kutoka kwa Mfalme Suleiman. Hata hawa manabii wanaotuombea tupate mali, na utajiri bila kuongozwa na hekima ni bure tu!
 7. M

  Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya kwanza

  Asante kwa mada nzuri Brother Mshana
 8. M

  Kwanini wanawake wenye ndevu huwa hawazinyoi?

  Tundevu twenyewe tuwili tuhangaike nini kuonyoa. Mimi huwa nazivuta hadi zinakatika.
 9. M

  Huyu mama anaendesha basi la kampuni gani Mbeya-Dar?

  Alikuwa tanga-mtwara, tanga - dom baadae akamalizia Arusha. Sasa hivi ameacha kuendesha yuko tanga anafanya shughuli zake..
 10. M

  Gone too soon! Mkalale kwa amani

  Brother Mshana Jr umenijengea mazingira magumu sana hasa ya kutopenda kupiga picha tukiwa kwenye kusanyiko. Lile somo la picha nilijifunza kitu.
 11. M

  Kwa wale watakaofukuzwa kazi

  Asante Brother Mshana Jr kwa neno la faraja
 12. M

  TANZIA: Dr. Elly Macha mbunge wa viti maalum kupitia CHADEMA afariki dunia

  Pumzika kwa amani. Nakumbuka nikiwa mdogo tuliishi nae kwenye flat za NHC alikuwa akiishi kwenye floor ya juu kabisa, ajabu aliweza kufika mpaka kwenye room yake na shughuli zingine zote alikuwa akifanya mwenyewe. Hii ilikuwa inishangaza kweli.
 13. M

  Somo la kitunguu saumu: Nguvu yake, tiba na maajabu

  Mada nzui sana
 14. M

  Kwa utafiti huu sasa naomba wote humu ' tuheshimiane '.

  Kuna kitabu kinaitwa Nguvu za Akili nimeona ametoa maelezo ya namna ya kutumia akili
 15. M

  Waziri Mkuu: Sukari haitakuwa tatizo Ramadhani

  Jana nimenunua sukari kilo 1 kwa sh. 3,000 hapo mwenye duka bado analalamika hio bei ni ndogo.
 16. M

  Kufukua maiti ni zoezi la ujasiri

  Nimekumbuka mtaani kwangu kuna mzee mmoja wa kanda ya kaskazini aliwahi kwenda manispaa kuomba kibali afukue watoto wake 4 akawazike kule alikozaliwa, manispaa ilimruhusu kufukua 2 na zoezi walisimamia wenyewe. Nimewaza tu kwanini aliwazika dsm ilihali alikuwa na uwezo wa kuwasafirisha...
 17. M

  Happy birthday to me

  Happy birthday Brother
 18. M

  Juju au meditation?

  Huyu kwenye meditation hayumo kabisa
Top Bottom