Daah! Mwaka Jana tu nimetoka ongea na Mdogo wangu juu ya hizo Ndoto za kujitanua kwa kuwa amemaliza degree so anahitaji salary kubwa ya kuanza nayo but naona Maisha yamemnyoosha Sana hapa nyumbani tumemkatia service muhimu tumeacha apate msosi tu.Nguo, Vijihela vya out na mambo mengine atajijua...
Hivi kwanini Mama yangu Gwajima asizichukulie hatua kali hizi hospitally ikiwemo kuzipiga fine kwa kukiuka Taratibu za kiafya za kubagua wagonjwa kama ni kweli wamewabagua lkn ?
Kwa nchi za wenzetu hii ni tatizo tosha kwa Waziri wa Maji, anatakiwa awajibike.Ujue madhara ya kukosa maji Siku 4 mfululizo Lina madhara makubwa Sana kiafya. Mojawapo ni huweza kuchochea mlipuko wa magonjwa kama kipindupindu,homa ya matumbo na kuharisha, hii ni kwa sababu watu wameanza...
Sasa wanafikiria maji tutapata wali aisee?
,Hawa wenye mamlaka ya kusimamia maji ni wa kufutwa wote kabisa wawekwe wengine.Wakija kudai bili utafikiri ugonvi. sasa maji wakikata wanajifanya hawaelewi kitu
Wana JF habari za Weekend?
Naomba kufaham orodha ya vyuo vya Ulaya, Marekani, Asia etc. vinavyotoa online masters courses hasa kwenye masuala ya social science na kozi zingine za management. Vyuo hivyo viwe vinatambulika na TCU.
Wakuu habari za Jumapili!?
Ninaomba kufaham. Nimekuwa nikisikia maneno/ tetesi ambayo kwa hakika sijabahatika kuonana na mtu akanipa taarifa za kuaminika juu ya hili.
Jambo lenyewe ni niliwahi kusikia kuwa kuna Baadhi ya bank hapa nchini zinautaratibu wa kukopesha mtu/ mwajiriwa fedha kwa...
Habari wanabodi, kama Kuna mtu anamfaham Meneja wa DAWASCO Kimara, tafadhali amjulishe kuwa afungue maji mchana huu kwani Hali huku mtaani ni Mbaya Sana. Siku ya 4 leo inaenda maji hakuna, na hata watu wanaouza toka kwenye matanki yao wameishiwa maji, hivyo, Hali sio ya mchezo kabisa.
Kuna...
Usingizi ni kitu muhimu Sana Mkuu.Ndio maana kabla hujaamua hata kunua,fridge, gari,sofa etc, bas nunua Godoro lako kubwa zuri Ili baada ya hassle za Siku nzima kazini urudi ulale sehemu Nzuri.
Haa haa haa! Kwa hiyo anapingana na matokeo, anahic wamefelishwa sio.Hivyo anataka wafaulishwe au? Unawezaje kukanusha taarifa ya matokeo ya mitihani? Haya wanazuoni karibuni mtujuze how can this be possible?
Pole Sana Mkuu naona foleni imekudatisha Mpaka barabara umeiita road na road ukaiita barabara.Kwani lazima Uishii huko Mkuu, hamia Kimara, Mbezi, Kibamba, Kiluvya au kibaha.Mfano si tunaoishi kibaha tunatoka asubuhi hom na magari tunakuja yapaki hapa Kimara Mwisho,
alaf tunadaka Mwendokas...
Daah! Broo! Pole Sana, nionavyo mie wewe unatatizo kubwa Zaidi ya kutapeliwa kitanda hicho.Tafadhali fanya upesi muone Mwana saikolojia. Huwezi kumuacha mtu kimyakimya ukampotezea mawasiliano alaf ukamuomba akuhifadhie mali zako. Huu ugumu wa Maisha utatudatisha wengi Sana aisee.
Mimi nilishaufanya mchakato huo nikiwa msimamiz wa mirathi. Death Certificate ni ka document kamoja tu, unapoenda huko M pesa au Bank kufatilia pesa unapaswa uwe na Document ya Kikao cha Familia kilichokuteua kuwa msimamiz wa mirathi, Uwe na nakala Za hukumu ya Mahakaman nk.
Hapo kama kaacha...
Wakuu Kwema? Pole yetu sote kwa Janga la Morogoro.
Nauleta huu uzi Kwenu ili tushare uzoefu na solution tulifanyaje. Swali ni ulishawahi kuhisi kufanyiwa ushirikina/ kukubwa na kitu cha kichawi na hasa kilikupata?
Ulifanyaje mpaka ukapona? Kwa upande wangu niliwahi kupatwa na tukio ambalo...