Search results

 1. T

  Natafuta mwanamke mrembo,nimpe penzi la kipekee ambalo hajawahi kuona kamwe

  habari zenu wana JF? hakika hakuna jukwaa tamu kama hili,ukiwa JF unakuwa dunia nyingine on the other hand,jamani nataka ajitokeze mwanamke mrembo mwenye umri kuanzia miaka 18 hadi 35 mwisho,sichagui rangi,dini,kabila wala elimu,awe mrembo wa aina yoyote,mimi umri wangu ni miaka 32,mweusi,si...
 2. T

  vp kama kandege ka malaysia kangepotea na kaserikali kote ka ccm?

  Bandugu,huku kijijini kwetu tunanchi twa huku tumeanza kukachukia ka ccm,tuzee tunashinda na njaa,tukiugua hatuna ela ya kwenda sipitali kutibiwa,sasa tunasema ya kwamba asavali kale kandege ka malaysia kangepotea na kaserikali kote ka ccm,ili vinanchi vipate pumua wajameni,labuda na kababuseya...
 3. T

  wajameni,hadithi za Truth guy zipo jukwaa gani? nimezitafuta weeeeee...lakini wapi.

  wanandugu zangu humu jf hamjambo? nimeipenda sana jf maana hata kama una mawazo ukiingia tu humu tayari unakuwa kama umekunywa tu bia kadhaa twa kuchangamsha akili,wajameni mie nimejiunga majuzi tu na jf na nikakutana na hadithi niliyoipenda sana mwandishi akiwa ni Truth guy,hadithi inasema...
 4. T

  Ni rahisi kutajirika kuliko kupata mwanamke sahihi

  Ni tukio ambalo kamwe sitalisahau katika maisha yangu. Mke wangu Maria Benard, umenivumilia kwa mambo mengi sana kiasi kwamba a fake wife can't stand those episodes. Wewe ni mrembo kupindukia,kuliko mtu yeyote anavyoweza fikiri, ila na hayo yote umejionyesha kiasi gani wewe ni mwanamke, sioni...
 5. T

  Pikipiki ilivyookoa roho yangu,Part-15.

  Nilitafuta sehemu yenye kichaka nikijificha,ule mwanga mkali wa gari ulizidi kukaribia mahali nilipokuwepo,niliomba sana ili wasiweze kuniona,maana sikujua lile gari lilikuwa ni la watu gani,dakika 3 baadae niliweza kushuhudia lile gari likipita karibu yangu kabisa,pikipiki nilikuwa nimeilaza...
 6. T

  Barrick yamfukuza kazi kijana kwa kumtongoza mwanamke wa kihindi

  Ni tukio la aina yake lililojaa kila aina ya ubaguzi wa rangi,ni wiki iliyopita kijana aliyekuwa akifanya kazi ktk mgodi wa Bulyanhulu wa Barrick,amefukuzwa kazi baada ya kuonyesha hisia zake kwa binti wa kihindi raia wa South Africa,ambaye naye ni expart wa mgodi ule. Walipeana namba za...
 7. T

  Kingsley: Serikali haiwezi kunifanya lolote.

  Yule mfadhili wa ujambazi Tz na raia wa Nigeria, Kingsley O.Ugiagble ameondolewa nchini huku akitamba kuwa serikali haiwezi kumfanya lolote. Kingsley alikuwa akilindwa na maofisa vigogo walioko ikulu na idara ya uhamiaji,baada ya habari zake kuanikwa hadharani na chombo kimoja cha...
 8. T

  Pikipiki ilivyookoa roho yangu,ningeuawa kikatili,Part -5.

  Kitendo cha yule mwanamke kunyakua rasket yangu ambamo ndani yake kulikuwemo na laptop, pamoja na camera ya kisasa aina ya Minolta,kilinifanya nipagawe kabisa,hata hivyo nikajikaza kiume na kumvaa yule bazazi wa kike ili kuokoa vitu vyangu vya thamani. Sekunde ile ile nilirusha teke kali...
 9. T

  Pikipiki ilivyookoa roho yangu, ningeuawa kikatili...

  lugha aliyokuwa akiongea yule mrembo,sikuweza kuielewa ila nilihisi anaongea kitutsi,alipomaliza kuongea,aliniambia kuwa yeye hajui popote kunakopatikana silaha,alinidadisi mi ni nani hasa? mwishoni alijiridhisha kuwa lazima nitakuwa askari mpelelezi,ktk chunguzi nyingi nilizowahi kufanya,nikiri...
 10. T

  Pikipiki imeokoa roho yangu,jana ningeuawa kikatili sana.

  Ni tukio ambalo kamwe sitakaa nilisahau ktk maisha yangu,nilikuwa natokea ktk kazi ya uchunguzi ambayo nimejiteua mwenyewe,nilikuwa rusumo mpakani mwa TZ na rwanda,nilienda huko kuchunguza genge hatari linalosemekana kuuza bunduki za kivita aina ya AK 47,risasi na mabomu ya kurusha kwa wahalifu...
 11. T

  kumbe Fungwe aliuawa mgodini,hakujinyonga,ni tukio liliondaliwa mapema.

  yule kijana aliyekuwa kapotelea mgodini na baadae kuonekana akiwa kajinyonga chini ya shimo la shaft haikuwa hivyo,aligongwa na gari la wakandarasi wa Bynercut wa Australia,ambao wanafanya kazi kwa pressure ili BARRICK ipate matofali mengi ya gold kwa wiki,mara baada ya kugongwa walimbeba na...
 12. T

  Mliokuwa mkimtetea Flora Mbasha mko wapi? mteteeni tena

  Nilikuwa mwana JF wa kwanza kutoa uzi wa tuhuma nzito kwa Flora Mbasha kwa jinsi alivyokuwa amejipanga kumfunga mumewe,ili awe free kuendelea na mambo yake, uzi ule ulivutia wengi,na wengi wao wakiwa upande wangu,ni wachache walinipinga akiwemo sam love,masai dada,nadhani kila mmoja sasa hivi...
 13. T

  Kwa nini namtuhumu Deo Mwanyika?

  Mara baada ya kuweka uzi wa tuhuma nzito kwa Deo Mwanyika,wengi wamenikashfu sana badala ya kutaka nithibitishe,mwaka 2007 wakati wa mgomo wa wafanyakazi wa BARRICK BULYANHULU,Mwanyika kupitia kituo cha runinga cha ITV,kwa makusudi kabisa huku akijua anaongea uongo mbele za Mungu na taifa...
 14. T

  Natafuta mke wa mtu,asiye na amani na ndoa yake.

  mke wa mtu yeyote aliye na mtafaruku na ndoa yake,awe mrembo,aje kwangu nimliwaze,karibuni mni PM.
 15. T

  Deo Mwanyika na pesa za laana

  Ni rais wa Barrick Africa,mtanzania mwenzetu,amenunuliwa na kampuni hii ya kitapeli duniani,ndiye hawa matapeli Barrick wanamtumia kuwatesa watanzania na kudhulumu haki zao. Mshahara wa Mwanyika kwa mwezi ni TSh 33,000,000 na huo ni nje ya marupurupu, kazi kubwa ya Mwanyika ni propaganda dhidi...
 16. T

  Uwezo Wa Kufikiri Wa Serikali Umeishia hapa?

  Ndugu zangu,hii zaidi ya fedheha kwa taifa letu,mara ya kwanza tulidhani labda kwa sababu ni pombe ,na sigara,serikali inapandisha kodi ili watu waache kutumia,maana ni hatari kwa afya,kumbe serikali haina pa kutoa pesa,kali zaidi ni serikali kuanza kutegemea vifo vya watu wake ili apate...
 17. T

  Mwigulu Nchemba,vua skafu ya Tanzania,vaa skafu ya CCM.

  Unafiki unaolifanyia taifa letu pendwa,sasa umefika tamati,wewe mwigulu huipendi Tanzania,unaipenda ccm,ungekuwa na uchungu na taifa lako usingeenda ccm,wewe ni kijana mdogo sana ambaye unaleta ushabiki wa taarabu,namshangaa sana rais wangu kikwete kukupa wadhifa mzito ambao kamwe you deserve...
 18. T

  Tanzania,taifa ambalo jinai ni chai ya asubuhi,bora uwe na pesa.

  Taifa hili limefika mahali ambako mtu anatenda kosa na bado sheria inapindishwa,fikiria kuna kundi kubwa la watu limeibuka kukopesha pesa za riba bila ya kuwa na kibali maalumu cha BOT,na halilipi kodi ya serikali na linanyanyasa watu litakavyo maana linakula na police,mtindo huu upo wilaya ya...
 19. T

  Duh! kumbe ma police,mahakimu wana mishahara minono hivi?

  Hawa mahakimu,mapolice wametoa wapi pesa za kujenga nyumba za kifahari hivi ktk eneo moja kahama hadi limeitwa "mahakama"yaani nyumba yenye gharama ndogo ni mil 20,kwa mshahara upi? na hawana biashara,ukibahatika kufika eneo hili kamwe hutaamini kama hayo majumba ya gharama kubwa yaliyopangana...
 20. T

  Suala la muuaji Kingsley si la kisiasa,serikali ina taarifa zake.

  Baada ya kuandika habari za huyu jambazi toka Nigeria,wengi wameninyoshea kidole hasa baada ya kusema analindwa na baadhi ya maofisa ikulu,nataka mfahamu kuwa,ikulu ni kubwa sana na ina vitengo vingi,wakati mwingine kuna mambo yanatendeka kwa siri na rais asijue,si watumishi wote ni...
Top Bottom