Search results

 1. chineke

  Balozi wa Marekani atuasa kuhusu Demokrasia

  Huyo barozi aanze yeye kuimarisha demokrasia ubalozini kwake. Visa kupata ni longo longo. Hata uwe na sababu genuine unanyimwa tu.
 2. chineke

  Unlimited internet Inauzwa kwa mwezi mzima sh 10,000 tu

  Kwa wateja wa iPhone je?
 3. chineke

  Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

  Najiuliza, nani zaidi kati ya Magufuli na Membe? Mie nadhani Magufuli ana advantage sana maana Membe kwanza ataathirika na kundi la Lowassa, pili Membe ana makundi magufuli hana, Tatu kashfa ya membe kuwa ktk familia ya mkuu wa kaya yaweza muondolea sifa hiyo, lakini pia ukilinganisha utendaji...
 4. chineke

  Taarifa ya habari channel ten ina lengo la kuchafua nchi

  Agreed. Hata mimi nimeshangaa sana.
 5. chineke

  Buy HD premium Receiver: The best MPEG4 receiver with Free IPTV For Bein Sports & 1year TV1 CCcam

  Mkuu mimi nina decoder ya Humax kutoka abudhabi, nyungo 2 wa futi 6 na mdogo wa dstv, siwezi pata huo mpango?
 6. chineke

  Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

  Mkuu nimependa sana, niliwasiliana na ndugu yangu ili anunue yeye anitumie, akasema, lazima nilipie ushuru na mambo kibao, ila pia sijajua gharama za kutuma kuja huku haiwezi kuwa very expensive? Na mzigo kama tv, unaweza kufika bila kuharibika kweli? Naomba unijuze mkuu!
 7. chineke

  Pata smartphone yenye ubora stahiki

  Aliyekwambia huu ni msaafu au biblia ni nani? Ya kuwa haibadiliki hii mada? Usikariri
 8. chineke

  Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

  Asante sana kwa ushauri mkuu!
 9. chineke

  King'amuzi cha contineto cha settelite

  Unatumia king'amuzi gani?
 10. chineke

  Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

  Wana jamvi, hivi naweza kuagiza tv moja tu ya samsung toka nje ya nchi? Kama ndio wapi pa kuagiza na utaratibu ukoje?
 11. chineke

  Namchukia mume wangu kwa sababu amenifanya niwe malaya

  Kitu nnachokiona hapo ni binti mwenyewe. Binti anaonekana ana penda luxury life.. Hawa wadada wa vyuo vikuu nawafahamu sana nimeishi nao mabibo hostel muda mrefu.. Pengine mumewe ana plan future sasa huyo binti anapenda maisha matamu. Anaonekana akienda kwa rafiki zake aliomaliza na chuo akijuta...
 12. chineke

  King'amuzi cha contineto cha settelite

  Hivi naweza kupata LED Samsung Tv series 5 si 6 inch 51 to 60 wapi? Nna bajeti ya 2 mil.
 13. chineke

  King'amuzi cha contineto cha settelite

  Huwezi kutumia dish moja kwa ving'amuzi viwili. Maana kitendo cha kubadili angle tu utakuwa ume disturb hiyo ya dstv. Cha kufanya hapo lazima uwe na dish 2 na king,amuzi chenye kuweza kupokea cards zote mbili, then unkuwa na switch ya kupokea LNB signals mbili zote na ku combined kwenda ktk...
 14. chineke

  King'amuzi cha contineto cha settelite

  Oooh sawa, nimekupata! Mie mwanzoni nilikuwa na hiyo card ya aljazeera, sasa nimebakiwa na card moja tu ya abudhabi... Maana hii decoder ni malaya, ina slots 2 pia inakubali hadi cards za dstv inasoma, pia na channels za free to air napata tu!
Top Bottom