Search results

 1. B

  Tuwe waangalifu na ushauri unaotolewa na wachumi wetu kuhusu ATCL baada ya report ya CAG kutoka

  Controller and Auditor General ametoa report yake ya mwaka jana juu ya utendaji wa shirika letu la ndege yaani ATCL. Katika report huyo ameaanisha kuwa kwa mwaka wa fedha uliopita shirika limepata hasara ya karibia shilingi Billoni 60!!! Hiyo ni hasara ya mwaka mmoja tu lakini shirika tangu...
 2. B

  Rais Samia Suluhu Hassan ameonesha umahili wake kwA kumteua Balozi Liberata Mulamula kuwa Waziri wa Mambo ya Nje

  Namsifia Rais Samia Suluhu Hassan kwa kunteua Balozi Libarata Mulamula si kwasababu ni mwanamke la hasha , namsifia kwasababu ya kutambua umuhimu wa uzoefu katika kutenda kazi. Huko nyuma hili halikuwa linatiliwa maanani kwani watu waliostaafu tulikuwa tunaona hawana mchango tena wa...
 3. B

  Kuna umuhimu kwa Msigwa wa Ikulu kuangalia upya utaratibu wake wa kuongoza hafla za Rais

  Nilihudhulia hafla ya kuapishwa kwa Mawaziri kule Ikulu ya Chamwino na nikaona jinsi press secretary Msigwa alivyoendesha lile zoezi la kuapishwa kwa mawaziri na Mheshimiwa Rais Samia. Ni vizuri kuwapa nafasi viongozi wachache kutoa neno moja au mawili katika shuhuri kama hizo lakini sio kila...
 4. B

  Waziri wa Mazingira na siasa za kuchimba mchanga jimbo la Kawe

  Hivi karibuni waziri wa mazingira akifuatana na mbunge wa jimbo la Kawe na Viongozi wengine wa wilaya ya Kinondoni walifanya mkutano na wadau kuhusiana na kuchimba mchanga kutoka vyanzo mbalimbali vya mito jimboni humo. Sababu ya kuitiswa mkutano huo ni malalamiko ya wenye magari ya kubeba...
 5. B

  Ukiwa Tanzania unaweza kuwekeza kwa kununua GOLD COINS?

  Ndugu wananchi, nikiwa Tanzania nnaweza kuwekeza kwa kununua GOLD COINS? Kama zinapatikana, ni wapi?
 6. B

  Mkuu mpya Mkoa wa Dar es Salaam ni mfano mzuri wa kuigwa kwa Wakuu wa Mikoa na Wilaya

  Nimefarijika sana pale nilipomsikia mkuu mpya wa mkoa wa Dar es Salaam alipokuwa anajitambulisha na kuongea na wazee wa mkoa. Huyu mteule anaonekana kutokana na maneno yake kuwa ni mtu wa busara na mwenye maono ya uongozi; amegundua kuwa wazee ni hazina kubwa kwa kiongozi yeyote yule kwani...
 7. B

  Uharibifu wa mazingira mto Ndumbwi unapoingia baharini

  Mto Ndumbwi huingia Bahari ya Hindi sehemu za Mbezi Beach. Mto huu una mikoko mingi sehemu hiyo na kama inavyofahamika miti hii ndio mazalia ya samaki hivyo ni muhimu kuhifadhiwa. Huko nyuma kama miaka miwili iliyopita marehemu mama Lwakatare[ R.I.P] alijenga nyumba yake ya kifahali pembeni ya...
 8. B

  Uzalendo katika sera za uchumu

  Mheshimiwa Rais Dr. Pombe Magufuli katika salaam zake za mwaka mpya wa 2019 kwa wananchi, amesisitiza sana suala la amani na uzalendo kama nyenzo muhimu zitakazoliletea mafanikio makubwa taifa letu kama zitadumishwa katika mwaka huu tuliouanza. Mimi niavyoelewa ni kwamba wananchi wataonesha na...
 9. B

  Diwani Kawe kando ya mto Ndumbwi kujipimia kiwanja

  Hivi karibuni diwani wa Kawe alikuja akiongozana na kundi la vijana na kuanza kufyeka sehemu kando kabisa ya mto Ndumbw;i sehemu moja baada ya kuvuka daraja linaloitwa la APSON , nyuma ya wauza maua. Inavyoonekana huyu diwani Lwakatare ana nia ya kupima sehemu hii ambayo iko karibu sana na mto...
 10. B

  Magufuli na uteri wa makatibu wakuu.

  Awali ya note sina bidi kumpongeza Rais Pombe John Magufuli kwa kazi nzuri na makini anayoifanya mpaka hivi sasa ya kutumbua majipu; kazi yake ni ngumu na anahitaji kila msaada kutoka kwa note tunaolitakia mema Taifa letu. Uteuzi wake wa makatibu wakuu na manaibu wao unastahili pongezi kwani...
 11. B

  Uteuzi wa DR. msemo kuongoza ORCI una utata

  Katika gazeti la Citizen la tarehe 16/3 kuna makala inayoelezea shuhuri za Ocean Road cancer Institute. Nilipata mshangao mkubwa sana pale niliposoma kuwa yule aliyekuwa msaidizi mkuu wa dr. Ngoma aliyestaafu ndio ameteuliwa kuchukua nafasi yake.!! Itakumbukwa kuwa viongozi wawili hawa yaani Dr...
 12. B

  Je ni kweli kuwa wanasiasa wa Tanzania ni wezi wa mali ya umma zaidi ya wakina Mobutu na Marcos?

  Nilikuwa nasoma mtandaoni leo gazeti moja la kiingereza lililoandika habari ya jinsi fedha zilizotarajiwa kufufua kiwanda cha nguo cha Urafiki lakini zikaliwa na wajanja!! Pia habari kama hizo hizo zimeeleza jinsi viwanda vyetu vilivyobinafsishwa kugeuzwa maghala na huku waliouziwa mpaka sasa...
 13. B

  Je ni kweli kuwa Waziri wa mazingira Theresa Huvisa aliondolewa kwa mafisadi kumshinikiza kikwete?

  Sio siri kuwa aliyekuwa waziri wa mazingira Theresa Huvisa alikuwa mwiba sana kwa wale wote waliokuwa wamejenga nyumba zao ufukweni kwa kuvunja sheria; alisimamia sheria na kusababibisha nyumba nyingi za matajiri kubomolewa kule ufukweni na hivyo kuchukiwa sana na hao waliohusika wakiwemo...
 14. B

  Madhara ya rais kuteua wanasheria wengi kwenye bunge la katiba

  Ingawa inasemekana kinadharia kuwa Rais ndio anayeteua wabunge watakaoingia kwenye bunge la katiba ukweli ni kwamba mawaziri wawili wa sheria [ wa sasa na aliyeanzisha mchakato] ndio watakaokuwa wahusika wakuu wa kuchambua majina ya waliopendekezwa. Hawa wawili wote ni wanasheria na ingawa kuna...
 15. B

  Dr. OTT afungwa miaka 20 Washington marekani kwa kuwanajisi watoto huko Kenya.

  Dr. Ott ni mmarekani aliyekuwa anafanya kazi ya udaktari huko Kenya. Muda wote alipokuwa anafanya kazi hiyo aliwanajisi watoto wengi kwa kuwadanganya na zawadi pamoja na wengine kuwalipia karo za shule. Wamarekani wenzie walisikia tetesi juu ya vitendo vyake na kuamua kuvifanyia upelelezi na...
 16. B

  Breakfast Debate juu ya gesi na Mwanaidi Maajar.

  Katika gazeti la Raia Mwema la tarehe 31/7/2013 kuna makala ya aliyewahi kuwa balozi wa Tanzania huko Uingereza na marekani kuhusu gesi iliyovumbuliwa nchini. Anatoa mawazo mazuri ya jinsi ya kuepukana na utajiri huu kugeuka kuwa laana ya maliasili !! Anampango wa yeye na taasisi anayofanyia...
 17. B

  It is not a hoax you can make money out of this!!

  Please try this while you are punching those keys and you can make money; go to IncomePart.com Earn Money by referral links - 1$ per visit
 18. B

  Mkuchika kama waziri hakumsaidia Rais, inafaa awajibishwe.

  Ripoti ya bunge ya serikali za mitaa imeonesha udhaifu mkubwa sana katika matumizi ya fedha na rasilimali nyingine zinazokadhiwa halmashauri. Mkuchika kama waziri alitakiwa achukue hatua stahiki pale ambapo mapungufu katika halmashauri hasa kuhusiana na matumizi mabaya ya fedha lakini hakufanya...
 19. B

  Katiba mpya na malengo ya Jumuiya Afrika Mashariki

  Jumuiya ta Afrika Mashariki ina lengo lake kubwa la kuimalisha uhusiano wa nchi wanachama katika siasa, uchumu , utamaduni , Utafiti , tekinolojia pamoja na mabo ya usalama. Hatima ya uhusiano wa nchi hizi wanachama ni kuwa na political federation. Sasa kama ni hivyo,je kuna umuhimu kwa sisi...
 20. B

  Ana Makinda afichua siri ya posho kwa wabunge

  Umewataja wanawake viongozi na madudu ya aibu waliyoyafanya katika nyadhifa zao lakini umemsahau kinara wao Gertrude Mongella , aliyekuwa mbunge wa Ukerewe na Rais wa bunge la Afrika na madudu aliyoyafanya yaliyoiaibisha nchi akiwa Rais wa bunge la continent!!
Top Bottom