Search results

 1. Tajirimsomi

  Ulishawahi kula tunda kimasihara?

  [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] pole ndugu yetu mi aliniomba nisimwache sababu kila akilala na mwanaume uwa inaishia hapo nilishindwa kumwambia ukweli nikabaki kumsifia tu
 2. Tajirimsomi

  Ulishawahi kula tunda kimasihara?

  jumamosi kabla ya pasaka nilikaa na binti kwenye daladala kutokea msimbazi center mi nilikua nashukia tazara nilimkuta anakula ice cream za bakhresa(ukwaju) [emoji848][emoji848] mazungumzo yalikua hivi mimi: Ndo unavyonyonya hivyo? Binti: Unataka nikupe? mimi : sitaki namimi ninayo inataka...
 3. Tajirimsomi

  Marais ninaowapenda zaidi

  magufuli Gaddafi iddi Amin kim Jong hitler fidel Castro shijimping
 4. Tajirimsomi

  Dkt. Mpango simama kwenye safu yako, mwache Rais afanye kazi yake

  you are free to criticize but not to that extent watch out
 5. Tajirimsomi

  Makampuni ya simu yadharau agizo la Serikali (TCRA)

  Bado sana. IT wapo kazini kuchange vifurushi sio fasta kiasi hicho hii ni programming
 6. Tajirimsomi

  Namtafutia mamdogo wangu Mume wa kumuoa kisiri bila yeye kujua

  shida yake sio ndoa ni mtoto kasubiri sana hadi kachoka kaamua hata azae tu
 7. Tajirimsomi

  Namtafutia mamdogo wangu Mume wa kumuoa kisiri bila yeye kujua

  tunataniana sana na yuko open kwangu ndo maana mpaka naandika hapa najua shida yake
 8. Tajirimsomi

  Namtafutia mamdogo wangu Mume wa kumuoa kisiri bila yeye kujua

  nadhani ni suala la kuongea naye mi hatujapanga ili suala ila namkutanisha na mtu bila yeye kujua
 9. Tajirimsomi

  Namtafutia mamdogo wangu Mume wa kumuoa kisiri bila yeye kujua

  iyo ni nyinyi binafsi mkionana
 10. Tajirimsomi

  Namtafutia mamdogo wangu Mume wa kumuoa kisiri bila yeye kujua

  hizo ni sifa za muhusika soma vizuri
Top Bottom