Search results

 1. Juma sele

  Walimu wa Vyuo vya Utabibu kuweni na mpangilio

  Walimu wa vyuo hasa hivi Vyuo za utabibu jaribuni kuwa na mpangilio mzuri wa ufundishaji maana kuna baadhi ya wanafunzi wanakua wanarudi nyumbani kutokona na mpangilio mbaya wa mtaala na ratiba ndani ya chuo.
 2. Juma sele

  Weka mawazo yako juu ya hili

  Kuna baadhi ya wanafunzi tulichaguliwa na TAMISEMI Kwenda chuo lakin hatuku verify kutokana na kutokua na uelewa na changamoto nyng za kimaisha, nn kwa namna gani tunaweza fanya kutudisha nafasi zetu kwa huu mwaka
 3. Juma sele

  Kuna ambaye kakutana na tatizo kama hili tusaidiane

  Mim nilichaguliwa na TAMISEMI mwaka 2019 kwenda chuo cha utabibu maswa, lakini sku verify kua ntafika chuoni apo kutokana na kutokua na ufahamu na simu yenye kushika internet. Kama na ww umekutana na tatizo kama hili weka mawazo tuone tunafanyeje au wenye ushauri tusaidie
 4. Juma sele

  Jamn naombeni msaada kwa anae kijua chuo cha mafinga cha iringa

  Nataka kujua ada ya chuo hicho na taratibu nyngine za kujiunga na chuo
 5. Juma sele

  Nawezaje endesha maisha kwa kutumia simu yangu ya mkononi?

  Nawezaje mudu mahitaji yangu na kupata kipato kwa kutumia simu yangu ya mkononi
 6. Juma sele

  Nashida na notes za environmental health naombeni msaada kwa alizo nazo

  Mwenye nazo naomba anisaidie mimi ni mwanafunzi naye soma nahitaji msaada
 7. Juma sele

  Wapi tunakwama Watanzania mpaka soka letu haliendelei kama wenzetu?

  Mimi nahis bado serikali yetu haijaweka kipaumbele katika michezo kama inavyoweka kweny masuala mengine, na kama kungekua kuna kipaumbele sana katika michezo Tunisia ilikua ni ya kuifunga 2 kwa 0.
 8. Juma sele

  Jamani TAMISEMI tunawaomba mtusaidie kwa hili tunahangaika mnoo na ndoto zinafifia

  Mimi kwa majina naitwa JUMANNE SELEMAN JUMANNE NI kijana wa umri wa miaka 17, Nmemaliza kidato cha nne mwaka jana 2019, Baada ya hapo nlichaguliwa na TAMISEMI kujiunga na chuo cha utabibu Maswa- SIMIYU. Sasa, sku naenda kureport chuoni nkaambiwa na msajili kua sku verify( confirm) kua mimi ni...
Top Bottom