Search results

 1. mambali

  Kuna madhara yoyote ya kunyoa nywele za kifuani(GARDEN LOVE)?

  HABARI WAKUU MBALIMBALI; Kuna mdau kanielezea yeye hapendi nywele za kifuani so toka zimeanza kuota amekuwa na tabia ya kuzinyoa kila ikifikia level flani ni kwa muda sasa amekuwa akifanya hivyoo, anauliza je kuna madhara yoyote yanayoweza kutokea hapo mbeleni???
 2. mambali

  Naweza trace Smart TV iliyoibwa kama tunavotafuta simu?

  Habari wakuu, nimeibiwa smart TV je ku a nmna naweza itrace kama tufanyavo kayika simu na je na vitu gan vinahitajikaa kama huo utaratibu upoo?
 3. mambali

  Msaada jinsi ya kuset/kuweka password katika briefcase

  Habari wakuu mbalimbali nimenunua briefcase kwa ajili ya kuweka vitu vyangu vya siri lakini nimeshindwa kuset password ili niweze kufungua kwa namba mmi peke angu naomba mwenye ufahamu na hilii aweeze kutupatia msaada naimani wengi wetu hatufahamu so itasaidia sana .natanguliza shukrani
 4. mambali

  Kesho ni kazi kama kawaida

  habari kesho tumetangaziwa hatuna mapumziko ni kazi kama kawaida pia tuvae sare zetu
 5. mambali

  Ni taratibu gani zinatakiwa baada ya kumpata mwenza hadi kufunga ndoa?

  Habari wana jamvi, Naomba nipate utaratibu ni hatua gani zinatakiwa zifuatwe baada ya kumpata mwenza hadi kufikia hatua ya kufunga ndoa namaanisha baada ya wazazi kuwatambua ni hatua gani zinafuatia kwa mtiririko! Nitashukuru sana kwa msaada wenu upande wa ni wakristo thehebu katoliki upande...
 6. mambali

  Anayepajua Mpanda mjini vizuri anielekeze

  Jamanii nipo Mpanda mjini yaani Mkoani Katavi. Lakini sioni sehemu nzuri palipochangamka ambako kuna nyama choma na wasichana wazuri wa kuhudumia naomba nwenyeji anielekeze anayepajua.
 7. mambali

  Uchaguzi S/Mitaa: Mgombea wa CCM kijiji cha Isanzu Nzega auawa kwa kukatwa mapanga

  Mauaji ya kinyama yametokea katika kijiji cha Upambo kata ya Isanzu, mgombea wa CCM pamoja na mkewe usiku wa kuamkia leo wamekatwa mapanga na watu wasiojulikana hadi kufa. Siasa ya Nzega inataka kuwa na changamoto nzito. Ninatoa pole Kwa wafiwa wote ndugu na jamii nzima ya kijiji hicho.
 8. mambali

  Haijapata kutokea CCM Nzega kupata aibu kubwa leo mbele ya mh Said Nkumba

  Leo katika viwanja vya parking mjini Nzega CCM maarufu hapa mjin nzegakama iyenaiyena imepata aibu ya karne kufuatia kuzomewana na wananchi wa nzega huku wanachama wa UKAWA wengine wakionesha ishara ya vidole viwili hayo yametokea mbele ya mbunge wa sikonge ndg said nkumba na mwenyekit wa CCM...
 9. mambali

  Tatizo nini Simu yangu ipo busy muda wote ?

  Kuna rafiki kaniomba niwaombe msaada wanajamvi wezangu yeye anatumia simu aina ya techno anasema watu wanaompigia wanamwambia simu yake ipo busy kwa maana simu yake ipo bize mda wote je tatizo ni nin ? Msaada unahitajika.
 10. mambali

  Bunge kuendelea saa tatu asubuhi hii

  Taarifa rasmi nilizonazo ni kuwa kikao cha bunge kitaendelea leo saa tatuasubui hii chondechonde Tanesco msifanye yenu kwa muongozo wa waziri muongo
 11. mambali

  Mwenge wa uhuru waingia katika mkoa wa mwisho leo

  Habarin wadau, Kwa sasa tupo katika harakati za kuupokea mwenge na kuutembeza katika mkoa wake wa mwisho Tabora,leo utapokelewa hapa wilayani Nzega na viongozi wa kimkoa kisha kutembezwa katika Wilaya saba za Mkoa wa Tabora kabla ya kuzimwa hapo tarehe 14 na Rais.
 12. mambali

  Mercury inauzwa

  wadau nina mercury au zebaki inauzwa kwa bei cheee kama vp nipm
 13. mambali

  Pombe aina ya viroba kupigwa marufuku

  katibu mkuu wa viwanda na biashara amesema atazifungia pombe zote zinazotengenezwa na kuwekwa kwenye vifuko vya plastiki almaarufu viroba ikiwa hazina viwango na pia usalama wake kwa mtumiaji ni mdogo ameyasema katika siku ya viwango iliyoshirikisha wadau mbalimbali.
 14. mambali

  Kwa wewe uliyeomba nafasi za kazi uhamiaji tegemea yafuatayo

  Usaili utaanza tarehe 09/06/2014 hadi tarehe 26/06/2014 saa mbili asubuhi ktk ukumbi wa baraza la maaskofu kurasini, barabara ya Nelson Mandela wote walioitwa wanatakiwa kufika kwa tarehe walizopangiwa, hawa ni costable na coplo tu, tangazo limetolewa na kamishina mkuu wa uhamiaji, waombaji...
 15. mambali

  Morogoro: Gari lafeli breki na kuingia ndani ya benki

  Tukio hilo limetokea leo katika benki ya CRDB Morogoro mjini baada ya gari aina ya Prado kuacha njia baada ya brake kushindwa kufanya kazi na kuvamia ukuta wa kioo wa benki hiyo na kuingia hadi ndani.
 16. mambali

  Hivi ni halali DC kufanya kazi za kiserikali akiwa na mtoto wake?

  Hii imetokea huko wilayani Korogwe ambako mkuu wa wilaya hiyo Mrisho Gambo alienda katika kazi za kiserikali katika kijiji cha Kalalani akiwa na mwanae mdogo kabisa. Je ni sahihi?
 17. mambali

  Je, Karatasi za kwenye mifuniko ya bia ni hatari kwa afya?

  Wadau naomba kujuzwa hasa na wataalamu wa afya za binadamu, kuna bia aina mbili ambazo vizibo vyake vimefungashwa na makaratasi kuzunguka mdomo wa chupa. Je, karatasi hizo hazina madhara kwa watumiaji?
 18. mambali

  Msaada :TECNO P 3 nikipigiwa eti Namba Busy!!!!

  habari wana jamvi,simu ya rafiki yangu imepatwa na tatizo kwamba kila mtu anayempigia anaambiwa namba is bize naomba mwenye kujua tatizo atufahamishe aina ya simu ni tecno p 3.nitashukuru sana kwa ufumbuzi wa tatizo hili
 19. mambali

  Dr. Kigwangalla ashikiliwa lupango

  Muda huu mbunge wa Nzega, dr. Kigwa yupo lupango hapa Nzega hii ni kufuatia shinikizo lake la kutaka serikali wilayani Nzega ifungue machimbo ya wachimnaji wadogowadogo eneo la Mwanshina maarufu kama namba saba. Taarifa kamili itawajia hivi punde.
 20. mambali

  Dawa za kupunguza unene

  habarini wadau,,, kuna jamaa angu amekuwa akiniulizia anaweza kupata wapi dawa za kupunguza unene kwani anaona anapoelekea siko na yeye hapendi unnene kabisa msaada wa kitabibu,kiushauri unahitajika!!
Top Bottom