Search results

 1. J

  Askari wa barabarani tendeni haki msilazimishe makosa kwa Wananchi

  Salamu wandugu, Kwanza ni wapongeze Askari wa barabarani kwa kazi kubwa wanayofanya usiku na mchana. Hoja yangu ni juu ya operation mnazofanya barabarani zimekuwa na usumbufu na kero kubwa yaani, ukamataji magari hata kama huna kosa wanatafuta makosa kwa lazima Napenda kuwashauri askari wa...
 2. J

  mtoto wa mwaka kutapika

  habari wana jf naomba ushauri mwanangu wa kiume umri mwaka mmoja anatapika akila uji au chakula kingine akinyonya hatapiki tatizo nini wenye uzoefu tafadhali hospital nilimpeleka wamenopa dawa ya malaria ya mseto ila hawajampima cha ajabu anachangamka vizuri ila kula anatapika
 3. J

  Nyumba inauzwa na eneo heka mbili

  Habari wanajamii forums. Nyumba ya kawaida ipo Vikindu kwenye barabara inauzwa million 20 ukubwa wa kiwanja chake ni 20 kwa 20 ina mpangaji mmoja.Alafu kuna heka mbili zipo Vikindu Magenge 20 zinauzwa. kwa maelezo zaidi piga 0786056569 dalali hatakiwi.ni mnunuzi tu.
 4. J

  Je kuna madhara kuinyanyua juu gari

  habari wana jf Gari yangu iko chini sana inagonga kwa chini kwenye matuta nk sasa nimepewa ushauri wa kuinyanyua .Je endapo ntainyanyua kuna madhara yeyote yanaweza tokea kwenye gari yangu naombeni ushauri na uzoefu wenu.asanteni
 5. J

  Je kuna Madhara yeyote ya kubadili rim size ya tyre

  habari wana jf je kuna madhara yeyote unapobadili rim ya tyre size 14 kwenda size 15 ili gari inyanyuke.naombeni mawazo yenu
 6. J

  Nilichokikuta baada ya kupekua chumbani kwa dada wa kazi

  Habari wanaJF, Leo jumamosi nimeshinda home kwangu wife na binti wangu wa kazi wakatoka kidogo nikajisikia leo nipekue chumbani kwa dada wa kazi cheki mabegi nk . Mpaka chini ya kitanda hii inaitwa intelijensia ya nyumbani du nikakuta dada ameficha soksi zangu nzuri chini ya kitanda chake tena...
 7. J

  Nauza samaki( pelege )wa kufuga

  habari.nauza mbegu za pelege yani tilapia ni size ya kati sh 200 kila samaki.ni kwa wanaotaka kufuga.karibuni
 8. J

  Jinsi ya kufanikisha malengo yako

  Habari wana JF mwaka 2013 unaisha je umewahi kutathimini ni mambo mangapi umefanikiwa? mangapi umeshindwa? kwa nini?naomba niwashirikishe uzoefu wangu ktk maisha. Jua hv hakuna jambo lolote linalotokea bila KUPANGA.kupanga ni kuamua unataka ufanye nini....na kama hujapanga ni vigumu kujua...
 9. J

  kupewa vyakula na mke wa mtu

  habari wa ndugu nina mdogo wangu nyumbani ni wa kiume (30yrs) kuna tabia ya tofauti nimeiona nayo ni kupewa vyakula na mazawadi na mke wa jirani yangu wakati mwingine anaenda huko na kuongea yani hii tabia inanitia wasi wasi haswa hili swala la kupewa chakula nakuta mahot pot maziwa nk nyumbani...
 10. J

  Dada wa kazi

  Habari ba ndugu, Wife hayupo nimebaki na house girl cha ajabu anatoa best customer service ukarimu wa hali ya juu mpaka magoti anaponinawisha da sio kawaida yake anapokuwepo mke wangu sasa najiuliza hii huduma nzuri ninayopata nirudipo home ni ya kweli toka moyoni au ni tego mbona akiwepo wife...
 11. J

  Lusinde: Katiba si mwarobaini wa matatizo ya watanzania!

  anaponda katiba na maoni ya wapinzani anadai katiba sio mwarobaini wa matatizo ya watanzania anaendelea kuongea tbc jioni hii
Top Bottom