Jamani wahusika soko la uyole ni hatari kwa wananchi serikali ya jiji mmeshindwa kujenga choo na kilichopo ni cha shimo na kimejaa kama picha inavyoonyesha hapo chini (samahani kwa picha ila ndo hali halisi) na cha ajabu zaidi hili ndiyo soko la pili kwa ukubwa jijini mbeya . Na lipo mtaa wa...
MIMI NI KATIBU MWENEZI ACT MBEYA MJINI NINACHOFURAHI NI KWAMBA NIMEWASHINDA CCM ....CHADEMA NYIE NDUGU ZETU NA MARAFIKI WETU NA WENGI WENU TUNAISHI VIZURI ADUI YANGU NI CCM.... HATA HIVYO HIVYO KUNA SIKU TUTAFANYA KAZI PAMOJA CHA MSINGI TUITOE CCM
Jamani kama mtanzania nahitaji kujua msimamo wa chadema kuhusu hali inayoendelea Burundi ukizingatia chanzo cha ghasia zote nchini humo ni suala la mkuu wa kaya wa kule kubadili katiba ili agombee mara ya tatu.
Na suala hili limewahi kufanywa na mwenyekiti wa chadema kwa chama chake hivi...
Wakati watu wengine maeneo mbalimbali duniani wakifa na njaa watu wanaosemekana ni TANESCO mkoani mbeya wilaya ya Mbeya vijijini kijiji cha Izuo na kijiji cha Iyunga mapinduzi kata ya Iyunga mapinduzi tarafa ya Mbalizi wamefyeka mahindi ya wananchi yaliyokaribu na kukomaa yaani bado mwezi...
Katika kudhihirisha chadema kweli ni wezi siku ya ijumaa tarehe 26/9/2014 walilazimika kukabidhi kadi na bendera walizoiba kwenye ofisi ya ACT-TANZANIA ya mkoa wa mbeya iliyopo eneo la uyole mwanzoni mwa mwezi wa sita mwaka huu.Jambo hilo litukia baada ya msako mkali wa jeshi la polisi na kukuta...
Matokeo mwambigija kashinda tena huku mwenezi akichukua baraka kyabula na mwandishi wa siku nyingi nyanyembe akishinda ujumbe wa kamati tendaji nafasi ya mwenyekiti bavicha kashinda moses mwaifunga na ujumbe mkutano mkuu akishinda bwana fransis
Uchaguzi ngazi za bavicha,bawacha na wazee tayari sasa wajumbe wanaingia kuchagua wajumbe kamati tendaji na m/kiti na viongozi wengine wa juu wa wilaya
mwanasheria wa kanda anatoa hutuba fupi na kusisitiza waliozidi miaka 30 hawaruhusiwi bavicha.MBUNGE AMESHAWASIRI UKUMBINI NAYE MJUMBE KIKATIBA NA SIO MGOMBEA