Search results

 1. Yales

  Kwanini Viongozi wengi hawafi Natural Death Je ni Karma au?

  Ukipanda mahindi usitegemee kuvuna mpunga, Nimefatilia kwa undani vifo vya viongozi wengi wale waliofikia vyeo vya Juu vifo vyao vimegubikwa na Utata mkubwa sana Huku Uhalisia wa taarifa juu ya vifo vyao vikibaki Kuwa classifieds kwa viongozi wanaobaki, Kuongoza Watu ni kazi sana kiasi kwamba...
 2. Yales

  Una post picha Una Dripu hospital mitandaoni?

  Wakuu kuna watu akili zao zinawatosha wenyewe tu, Yani kuna ndugu yangu hapa kapost picha yuko na madripu Hospital Facebook huku akiomba Aombewe huu ni ulimbukeni au? Kuna Wa mama wa makamo tu wanahangaika kweli na social network kutwa kuchwa kupost picha marq wako bar mara wako vyumbani kwao...
 3. Yales

  Taswira ya Jina Daudi limechafuka kweli?

  Aisee hili jina hata wazazi kuwaita Watoto wao imepungua sana mimi hata nikutane na mtu Anaitwa Daudi nakuwa sina imani nae, Ni kama Jaydee alivokuja kuchafua jina la Yahaya Kuna jamaa angu anaitwa Daud Albert hahaha Ndio simuamini kabisaaa
 4. Yales

  Podium aliyosimama mkuu wetu

  Wakuu, Kuna Team inayoambatwna na Rais nafikiri ama kwa kukosa ubunifu au uharaka basi wanatengeneza Podium ya kawaida mno. Nimekosa kiswahili cha Podium ila ni Ile sehemu anayosimama raisi akihutubia. Inakuwa na Presidential standard seal sasa emu tazama hii aliyosimama mkuu wakati yupo...
 5. Yales

  Nimesikia Aibu wana TEHAMA wa Rwanda Kuja kutufundisha Computer

  Kikao baina ya IGP wa Rwanda National Police na Wetu Tanzania Police Force Kilijadili mambo kadhaa zikiwemo Joint operation za Mipakani huku na mambo wa kadhaa ambayo naona Yako sawia na hayatishii usalama wetu, Nilishitushwa baada ya IGP wa RNP kusema ataleta police wa kinyarwanda ili waje...
 6. Yales

  Computerization and Centralization Mifumo ya Serikali.

  Wakuu, technology ndio kila kitu kwa sasa Pia kupitia Tech data collection na Management imekuwa Rahsi sana, Tunahitaji mifumo Sophisticated ya Kukusanya Data zote za Taasisi zinazofanana na Kuwa zu central Online ili Wenye access ya kuziona wazione kwa wepesi kuliko kusubiri pepa report ambazo...
 7. Yales

  Motorschutz Controller

  wakuu nimekutana na hii switch ktk mashine ya kuchana mbao iko kama regulator how it works na installation zake zipo vipi muongozo wadau
 8. Yales

  Vietell special number

  Wakuu nauliza namna ya kuchonga special number kupitia hawa halotelk je ni mpaka freelancer au naeza chonga mwenyewe then nkaisajili kama ilivo kuwa tigo?
 9. Yales

  Aiseeee

 10. Yales

  Kampuni ya Yamaha kuja na Robot lilaloendesha Pikipiki

  Kampuni ya Yamaha Motors imefichua kwamba inaunda roboti ambayo itaweza kuendesha pikipiki ambazo hutumiwa kwenye mashindano ya pikipiki. Kampuni hiyo kutoka Japan ilionyesha mfano wa roboti hiyo katika maonyesho ya magari na pikipiki ya Tokyo Motor Show.Ingawa kwa sasa roboti hiyo inategemea...
 11. Yales

  Wafuasi wa UKAWA kwanini mnajificha Uvunguni?

  Wafuasi hawa bwana, Hawaeleweki wanataka nini
 12. Yales

  Generator and Motor Special Thread

  Wanaukumbi. Habari za wasaa huu Nawakaribisha Ma Technian tushare uzoefu wa vifaa hivi ambavyo ni usefull sana katika application mbali mbali 1. Motor is electrical machine which convert electrical energy into mechanical power 2. Generator yenyewe inafanya tofauti na motor yenyewe inatoa...
 13. Yales

  Msaada kwenye Tuta

  Wakuu mwenye link ya latest Ogwhatsapp ani direct au alternative ingine
Top Bottom