Mheshimiwa sana Ndugae nime msikia mwenyewe kwenye Azam Tv akisema madaraka aliyo nayo ni zaidi yayaliyo andikwa kwenye kanuni na sheria zote.Yaani yeye ni yote katika yote.Ndiyo maana alimwambia Zito Kabwe anauwezo wa kumfungia kwa kipindi chote cha maisha ya bunge hili.Sijui sasa kamaiko hivyo...
Huyu mheshimiwa ni mjanja sana, anaelewa vizuri kuwa watu wanateseka sana na maisha.Amefukuza wafanyakazi kwa kile alichokibatiza kama vyeti feki,ili amudu kulipa mishahara.Lakini amekumbwa na tatizo lingine la upungufu wa hao wafanyakazi tena.
Mama mmoja aliyekuwa nurse alijuta alipoliona jina...
Tokea amri ya kusimamisha shughuli za kisiasa kilicho tokea ni tofauti sana na mtarajio ya wafutaji wa siasa.Kwa taarifa nilizo nazohata baadhi ya viongozi wa ccm hawajaridhishwa kabisa na hatua hiyo nilimkuta mmoja amerudi kijijini na kuanza kujishughulisha na kilimo cha nyanya kijijini.alisema...
Ukipita katika mitaa ya manispaa ya Iringa lazima utakutana na habari hii. Watu wanashangaa kilichotokea maana hata ushindi wa usafi kitaifa ilikuwa kazi ya mkurugenzi huyu akishirikianana baraza lake la madiwani.
Nimewashuhudia watu wakisema mtu huyu alikuwa habagui mtu anaweza akamsikiliza...
Miaka yote wateule wa Raisi anaye gombea uchaguzi ndio huwa Returning officers katika chaguzi zote.Namna hii hufanya matokeo kupinduliwa na hawa wateule wa Raisi.
Hata ushindi wa wapinzani ukiwa wazi vipi mara nyingi hucheleweshwa ili kutafuta namna ya kupindua matokeo.
Mara nyingi ili mgombea...
Wakuu kwa haraka haraka sijawaona mabalozi wa nje,ina maana nao wamesusia kama CUF?Pia kwa haraka haraka hata marais wa staafu sijawaona.Lakini wakuu kama mmewaona mnijuze.Pia mama Karume naona ajipumzikie tu.Kusema kura 6000 katia nani ni kuchoka kufikiri tu.kwani hata hiyo 299000 aliyo pata...
Jinsi tulivyoshuhudia upatikanaji wa spika wa bunge hapa Tanzania haipendezi kwani kila siku atatoka kwa wabunge waliowengi Bungeni, hali ambayo inanyima haki kwa wachache.
Tumeshuhudia Bunge la Anna Makindi lilivyokuwa la hovyo kwa kuangalia wengi wanasema nini, na ndicho kilicho igharimu CCM...
Mimi nimefanikiwa kuusoma unabii wa Askofu mkuu Zakaria Kakobe ulio kuwa unakionya chama tawala CCM kwamba Mungu amekiona kuwa kimepotoka na sasa anakitaka kiingie katika toba vinginevyo kita kumbwa na mgawanyiko mkubwa.
Walimpuuza Kakobe sasa wanaona jinsi walivyo sambaratika.ni jambo ambalo...
Katika kipindi hiki kigumu kwa ccm chenye mashaka ya kutosha kurudi madarakani,ni rahisi kufikiri wanaweza kuwa nunua watu wowote katika kujaribu kudhoofisha nguvu za ukawa labda yamkini wafufue matumaini tena.Lakini hali ilivyo ni ngumu muno kuibadili.Watu wengi wenye ufahamu wa kawaida tu wana...
Kama umewahi kutoa mzigo pale bandarini utakuwa ume ona bank moja iitwayo M bank ambayo hukusanya mabilioni ya fedha za walipa kodi.
Hiyo bank haina kazi nyingine bali kukusanya kodi.Kwa nini ipo kwenye jengo la mapato ya serikali?.Kwa hakika ni ya mtu binafsi sasa niya nani?
Haiingii akilini...
Wakuu, nilishuhudia mchakato washindano la kupewa computer kwa shule za sekondari. Zipo shule kadhaa zilizoshinda nakumbuka mojawapo ni Mpanda girls.
Waliwaita walimu kutoka katika kila shule zilizoshinda wakafundishwe kutumia toka mwaka jana.Wakawaambia mkifika tu shuleni tayarisheni...
Katika hali ambayo ujio wa Lembeli umezidi kufichua madudu ya CCM,tuna elezwa Mafisadi wa CCM walitaka kumhonga Lembeli afiche uhalifu huo.
Hayo tume ya sikia katika taarifa ya habari ya ITV wakiwa Bunda wakijitambulisha.
Kimsingi huyu mzee alikuwa anaonekana hata akiwa huko huko CCM kuwa...
Katika taarifa ya habari Channel ten vijana wamesema wanajiandikisha kwenye daftari la kudumu ili kumuunga mkono Lowassa.
Wanasema wanajua amekatwa lakini wao watashikamana na baba yao Lowassa.
Kwa ujumla wake tukiongezea na mkolezo wa Kingunge japo yeye Lowassa hajasema kitu kwa sasa hali ni...
Katika kipindi cha Asubuhi cha cha jana ITV alialikwa Askofu wa kanisa Katoliki ambaye alinishangaza kwa jambo jipya.
Alisema wala tusishangae yanayo fanywa na serikali ya CCM ni matokeo ya Mwalimu Nyerere kwenda kwa mashehe fulani wa Bagamoyo ambao walifanya tambiko ili Nchi ipate uhuru chini...
Kuna kauli kadhaa ambazo Mh Membe amekuwa akizitoa, katika harakati zake za kusaka wadhamini mikoani ambazo zina tia shaka kubwa uwezo wake.
Kuna siku nimemsikia ITV ana sema kama jina lake likikatwa apite Mark Mwandosya.
Siku nyingine katika ituo hicho hicho kwenye taarifa ya habari ana sema...
Nina jaribu kuwaza uharaka wa kutengeneza sera inayo wezekana tu kwa Rais ajae wakati alikuwa na miaka kumi asiijaribu,sasa anambambika Raisi ajae Si ange anza katika utawala wake?
Kufuta ada shule za sekondari ni wimbo unao weza kuujaribu mwenyewe siyo kumuamuru Raisi mwingine.Serikali...
Ni jambo tofauti kidogo huku wote tukiwa wanadamu tu,wenzetu hawana utani na maisha yao hadi wanafanikiwa kurusha chombo anga za juu sana kiasi cha mile bilion 6,kinatua leo baada ya kusafiri miaka kadhaa.
Wenzetu hawako katika enzi za kufoge mambo ili kundi fulani liendelee kukaa...