Search results

 1. PSPA Pure'12 udsm

  Nakwenda Dodoma kuhakikisha kuwa Mama Samia anaukwaa Uenyekiti wa CCM bila tatizo lolote. Mama anaweza

  Napenda sana litokee kundi moja ndani ya CCM litake mabadiliko ya kutenganisha kofia ya Rais na Mwenyekiti wa Chama. Yaani mwenyekiti aongoze chama na kuisimamia serikali kwa kupush yaliyomo kwenye ilani yatekelezwe. Na Rais wa nchi awajibike kutimiza ahadi za chama na kuwajibika kwa chama na...
 2. PSPA Pure'12 udsm

  UTEUZI: Rais Samia ateua Katibu wa Rais, Mnikulu na wasaidizi wake wa Uchumi, Sheria, Siasa, Diplomasia n.k

  Kwanini unabadilisha wakati sisi tuliokuwepo tuna uzoefu hapa hapa Ikulu?
 3. PSPA Pure'12 udsm

  Makamba: Kurekebisha alichofanya Hayati Magufuli sio usaliti. Dalili nilizoanza kuziona si nzuri

  The guy is smart up stairs, ila wana filosofia walishakataa kwamba hakuna "mawazo huru/free philosophy". Huyu ndugu haoneshi kumponda Mwendazake, wala hamsifii. Yeye anajiweka katikati. Napenda ajitambulishe tumjue na kumhukum kwayo. Hatujasahau wakati ule alivotutumbukiza kwenye " cyber law "...
 4. PSPA Pure'12 udsm

  Spika Ndugai: PhD zina manufaa kwenye kufundisha na kutafiti lakini siyo bungeni, Dkt. Ndugulile aliwahi kumuita Waziri Profesa Ziro

  Ni bahati mbaya kwa hii nchi. Spika wa bunge na mkuu wa mhimili kupuuza Elimu 'PhD'. Sio ajabu kama nchi tuna wasomi wengi wenye weledi lkn wanatumika na nchi nyingine ama taasisi za binafsi.
 5. PSPA Pure'12 udsm

  Zitto Kabwe: Bandari ya Bagamoyo itapokea mameli makubwa ambayo hamjawahi kuyaona, tusipoteze hii fursa jamani

  Wazo la huo mradi ni zuri la lenye manufaa makubwa kwa nchi, hilo tunakubaliana wote kabisa. Kama tumeona mapungufu kwenye majadiliano ya mkataba wa mwanzo kwa watangulizi, sisi kwa nafasi yetu tuna jukumu la kuboresha na kuutekeleza Mara moja. Sio kuuzika moja kwa moja kwa hoja za kuwepo dosari.
 6. PSPA Pure'12 udsm

  Jifunze fursa 6 za biashara mtandaoni

  Mi napenda sana siasa. Na nimesome Siasa pia. Nikiangazia kwa upana ktk malaka yako, sijaona ni kwa namna gani #Siasa yangu nitaiuza kupitia mtandao. Ndio kusema biashara ya mitandaoni imeiacha nje siasa?? Au siasa sio ajira??
 7. PSPA Pure'12 udsm

  Tundu Lissu amzushia kifo mlinzi huyu wa Rais Magufuli?

  Mei mosi tunasusia matumizi yoooote ya huduma ya internet kutoka mitandao yote ya simu TZ mpaka washushe bei zao
 8. PSPA Pure'12 udsm

  Tanzania na Vifurushi vipya vya Data na Sauti (Aprili 2021) - Mwitikio wa wananchi

  Kuanzia Mei mosi tususie huduma zao zote za internet. Wasituone sisi wajinga kutuibia pesa zetu za ngama tukawaacha hivi hivi....we must respond! Mark the date, Mei Mosi
 9. PSPA Pure'12 udsm

  Tanzania na Vifurushi vipya vya Data na Sauti (Aprili 2021) - Mwitikio wa wananchi

  Na sisi kama watumiaji lazima tufanye Counter attack. Tuhamasishane Mei Mosi kususie huduma zao zote za internet mpaka watakaposhusha bei.
 10. PSPA Pure'12 udsm

  Dkt. Bashiru piga moyo konde na usonge mbele

  Unamtetea bure,ila ukweli Dr.Bashiru ni Mwizi. Kaiba kura kwenye chaguzi kubwa na ndogo. Amepoka haki na kushamirisha dhuruma kwa wanyonge. Kilio cha wanyonge, hujibiwa na Mungu instantly
 11. PSPA Pure'12 udsm

  PLO Lumumba: Tundu Lissu ni muongo, nimefika Chato Hayati Magufuli hana utajiri wa kumlinganisha na Mobutu Sese Seko

  PLO Lumumba hawezi kuwa msemaji wa Watanzania. Kama yeye ni muumini wa Sera za magufuli,itoshe kusema wenye nchi hatujawahi kuridhika naye. Chato kaipendelea kwa vingi sana ndani ya miaka 5 tu ya udikteta wake; kajenga Airport, kaweka mataa ya barabarani, kajenga hospitali ya kanda, kajenga...
 12. PSPA Pure'12 udsm

  TSN yawasimamisha kazi waliofanya uzembe wa kuandika Rais Samia amefariki

  Shida hapo ni Lugha tu. Tangazo lingekuwa la Kiswahili kusingetokea shida kubwa kama hiyo. Lkn kwakua tangazo lilikuwa kwa Lugha ya kimalkia, basi wasamehewe tu maisha yaendelee. Uzuri mama mwenyewe ni muungwana sana.
 13. PSPA Pure'12 udsm

  Tanzania ya Samia bado ni ya Magufuli: Acheni Kujitoa Ufahamu Ndugu zetu

  Mh.Rais mama Samia anajulikana toka akiwa m/kiti wa binge la katiba ni mtu wa Fairness. Anapenda haki. Anaeona hana tofauti na Jiwe atasubiri sana meli ubungo.
 14. PSPA Pure'12 udsm

  Pale Bungeni simuoni Mbunge wa kuichambua ripoti ya CAG baada ya kukosekana Zitto Kabwe na wabunge wa CHADEMA

  Bwashee acha dharau; Babu Tale yupo, Kibajaji yupo, FA yupo, Msukuma ypo, Deo sanga ypo...hao wote watalisaidia Taifa kuichambua report.
 15. PSPA Pure'12 udsm

  Aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati Dkt. John Magufuli azikwa Chato mkoani Geita

  To be honest, sijasikitishwa na kifo chake. Kama ambavyo sikufurahishwa na utawala wake. Namshukuru Mungu kwa yote na namuomba ampokee kiumbe wake. Sote njia ni moja, ila yeye katangulia tu.
 16. PSPA Pure'12 udsm

  TANZIA Rais John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

  Anaenda kuongoza malaika mbinguni kama alivotamani akiwa hai? COVID-19 is not a joke! R.I.P JPM
 17. PSPA Pure'12 udsm

  Zuio la mahindi kuingia Kenya, ni kwasababu makamu wa Rais anataka soko la mahindi yake

  What are going to do with our maize here in Tanzania. While thinking of it, we have to stop importing anything from Kenya as well.
 18. PSPA Pure'12 udsm

  Othman Masoud Othman Sharif ateuliwa kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar

  Kama ndio jina ambalo maalim Seif aliacha mezani mwake kabla ya kutwaliwa, basi ni mtu muafaka zaidi, Kama ni jina lilipendekezwa na kamati ya uongozi wa ACT kwa muda huu mchache, basi kamati ina jicho la mbali. Yanayobaki ni Othman Masoud mwenyewe kuprove beyond reasonable double kuhusu uwezo...
 19. PSPA Pure'12 udsm

  Bei ya Saruji ilipanda kutokana na kufungwa kwa kiwanda cha Dangote

  Watanzania tusisahau kwamba tumeingia uchumi wa kati. Sarufi kuuzwa 35000/ ndio hasaa bei halisi ya uchumi wa kati. Ile 13500, ilishapita. Wacha tuisome namba, CCM mbele kwa mbele MITANO TENA KWA JPM.
Top Bottom