Search results

 1. Akhy D

  EFD mpaka kwenye daladala.....?

  *You get what you work for not What you wish for*
 2. Akhy D

  Naomba kueleweshwa kuhusu hizi picha mbili.

  Hembu nisaidieni kuelewa hizi picha mbili
 3. Akhy D

  Daktari afungwa jela kwa kuambukiza watu virusi vya UKIMWI takribani 200

  Daktari aliyewaambukiza wagonjwa 200 virusi vya ukimwi nchini Cambodia amehukumiwa jela. Daktari huyo bandia alipatikana na hatia ya kuwaambukiza takriban watu 200 virusi vya ugonjwa wa Ukimwi amehukumiwa kifungo cha miaka 25 jela kwa makosa yake. Baadhi ya wahasiriwa wa makosa hayo wamekwisha...
 4. Akhy D

  Hii stori kuna mahala niliikuta nikaona tukashare ili kuongeza siku

  NAMNA WAZAZI WA NAVYOONGEA NA MABINTI ZAO KATIKA UMRI TOFAUTI! Miaka 13: Usipende wavulana ni wabaya. Miaka 18: Sitaki nikuone na yule mvulana tena! Miaka 23: Lini utatuletea mchumba wako? Miaka 26: Wenzio wanaolewa. Miaka 30: Tumekuambia kwamba acha kuchagua sana wanaume, hutaki kusikia! Miaka...
 5. Akhy D

  Msaada kubadilisha lugha laptop

  Habari za muda huu wana JF, kuna jmaa yangu flani anafanya biashara za vifaa vya electronics vilivyotumika maarufu kama used, juzi nilipita nikakuta kaingiza mzigo mpya katika kuchagua nikakutana na laptop moja ya ukweli ikiwa na windows yake na haina loki wala nini. ila tatizo ni kua hiyo...
 6. Akhy D

  Daktari feki akamatwa Mtwara

  Jeshi la Polisi mkoani hapa limemkamata na kumfikisha mahakamani Halima Sanga au Halima Hamadi mkazi wa jijini Dar es Salaam, kutokana na kosa la kughushi vyeti na kujipatia ajira serikalini ya udaktari wa daraja la pili kwa njia ya udanganyifu, akijulikana kwa jina la Dkt. Sarah Matuja...
 7. Akhy D

  Msaada katika version ya JF 3.1.8

  Naombeni msaada wa matumizi ya version mpya ya JF kwenye iPad. kwani nashindwa kupost topic zangu.:israel:
 8. Akhy D

  Jifunze kitu hapa.....

  Kuna dada mmoja alikua antoka kazini mida Kama saa nne na nusu usiku, ghafla njiani akakutana na vijana wanne wa kiume wakampiga makofi na kutaka kumbaka. Yule dada kuona vile ikabid ajiteteee. dada: jamani mnataka kufanya nini..? kijana 1: nyamaza wewe msh*** kijana2: uanjifanya hujui tunataka...
 9. Akhy D

  Mwanzo mgumuu

  Ziro Ndio nambari inayoanza kabla ya moja, lakini ukiiweka kabla ya moja husomeka moja (01) na ukiiweka baada ya moja husomeka kumi (10).
Top Bottom