Search results

  1. M

    siku ya 18 ya uzazi

    Wapendwa herini ya krismas Naombeni msaada kwa yeyote anayejua mimi nilijifungua leo ni siku ya kumi na nane na uchafu bado unaendelea kutoka je kuna tatizo kiafya?
  2. M

    Natafuta mpenzi

    .Mimi ni msichana umri 21-22 natafuta mpenzi: sifa; 1.awe na kazi inayotambulika. 2.asiwe mchoyo wala m'binafsi wala mpekee. 3.awe mrefu mnene kiasi na mweusi kiasi 4.awe msafi wa ndani na nje. 5.awe msomi kiasi na anayejielewa kimaisha. 6.anayependelea kumcha mungu. 7.awe mpenzi xa...
Top Bottom