Search results

 1. Wanu

  Natafuta fundi wa welding mwenye generator na machine ya welding

  Kichwa cha habari kinahusika, Natafuta fundi wa welding mwenye generator na machine ya welding. Mi Naishi mpiji magoe mbezi ya kimara ambako umeme haujafika ninakazi ya siku moja. Ninatafuta fundi atakae kuja na vifaa vyake aje afanye kazi kwa masaa 8 na atakuwa kamaliza. Alietayari anichech...
 2. Wanu

  Natafuta mtu wa kufungua nae maabara ya physics, chemistry na biology.

  Husikeni na kichwa cha habari hapo juu, natafuta mtu wa kufungua nae maabara kwa ajiri ya tution ya vijana wa secondary ngazi zote, sifa ya mtu huyo awe ni mwalim mwenye ujuzi na issue hizo, au mtu yoyote atakae kuwa na uelewa na issue hizo, location ya maabara tutajadili nae kulingana na demand...
 3. Wanu

  Battery yangu ya solar inaisha nguvu haraka

  Habari wana JF? Battery yangu ya solar imekuwa ikipoteza nguvu ndani ya masaa mawili baada ya kuwa full charged, ni battery ya maji (acid) na pia nimeshawahi kuiongezea maji(acid) mara mbili kwa kipindi tofauti ila hakuna improvement. Je kuna utalaamu wowote naweza kufanya ikarudia hali yake...
 4. Wanu

  Wafanyakazi hawajalipwa mishahara kwa miezi 6

  Msaada kwa wanasheria. Kuna kampuni moja mdogo wangu anafanya kazi kampuni hiyo inaitwa KIMANI MINERALS ofisi zake zipo ubungo plaza gorofa ya kumi. Mmiliki wake ni mwalim wa chuo kikuu cha Dar es salaam. Kampuni ni kubwa sana ila inaelekea kufirisika, wafanya kazi wake hawajalipwa mishahara...
 5. Wanu

  Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Geita amchapa viboko mzee wa miaka 85

  Mwenyekiti wa CCM wilaya bwana Mhoja mapande amemchapa viboko vya nguvu babu wa umli wa miaka 85 baada ya kumkuta akikojoa njia panda ya kuelekea nyumbani kwa mwenyekiti huyo. Ilikuwa tarehe 21 mwezi huu saa 1 jioni. Hawa maCCM wamechanganyikiwa na kuweweseka. Kweli huyu jamaa ni std seven hata...
 6. Wanu

  Naombeni ushauri wana jf

  Mimi sina kazi ila nilibahatika kufanya kazi hapo miaka ya nyuma nikajenga nyumba ya vyumba vitatu, Maisha yamekuwa magum sana nimewaza kuigeuza nyumba yangu niifanye guest house ili niwe napata at least 15,000/= kwa kila chumba then mi nikapange. Je nitakuwa sahihi.? Natanguliza shukran.
Top Bottom