Search results

 1. ijoz

  Ushauri kati ya magari haya mawili

  Wana wema wa MUNGU, ninahitaji kununua kati ya Spacio au IST second generation (almaarufu new model) kwa ajili ya mizunguko ya kawaida ya kwenda kwenye shughuli zangu ambazo ni takriban km tisa kutoka makazi yangu, kati ya hizo takriban km nne ni vumbi, nyingine ni lami. Nimependezwa na uimara...
 2. ijoz

  Je, kati ya Nuhu wa safina na Genghis Khan nani apewe heshima ya kuwa baba wa vizazi ulimwenguni?

  A bit off the topic, but just to be curious; Hao walioua wenzao ili kuficha siri za mahali alipozikwa Khan ni akina nani nao waaminike kuwa wasingeweza kutoa siri mahali alipozikwa?
 3. ijoz

  Jifunze namna ya kujikinga dhidi ya radi

  Wakati wa utoto wetu, tulikuwa tunafurahia sana mvua na ule mwanga, tukiamini kuwa ule mwanga MUNGU alikuwa akitupiga picha, ila zile ngurumo tulijua shetani anaburuza mapipa sasa yanagongana (sikumbuki tuliwaza nini hadi kuamini hivyo). Nakumbuka radi ikimulika tulipenda kusema, MUNGU tupige...
 4. ijoz

  Jifunze namna ya kujikinga dhidi ya radi

  Ahsante, lakini ningefurahi kama ukielezea kuhusu matumizi ya simu yanavyohusiana na athari za radi.
 5. ijoz

  Arsenal (The Gunners) | Special Thread

  Naona ile thread ya "nimeacha rasmi kuishabikia Arsenal" itakosa wachangiaji kwa muda. Ni pamoja na zile hashtags maarufu.
 6. ijoz

  Wazo limekataliwa sababu nimegoma kumwita waziri "Mheshimiwa Waziri" RC naye ameni "reject" with the same reason

  Hahaha, tena hawa Madiwani ndo ukitaka ukorofishane naye usianze kwa kutamka hilo neno. Tena wale wa viti maalum na wake wa madiwani wa kiume wamejimilikisha jina la mama mheshimiwa!
 7. ijoz

  SHINYANGA: Diwani ampa kichapo Nesi mbele ya Wagonjwa

  Huu ni upumbavu sasa. Tuone nguvu ya vyama vya wafanyakazi, siyo kula asilimia mbili ya mishahara ya watumishi tu.
 8. ijoz

  Mkuu wa wilaya aamrisha nesi kuwekwa ndani kwa kosa la kuuza nguo kazini

  Lakini huyo DC kaenda mbali sana. Hospital kuna katibu wa Afya, kuna nurse in charge, mganga mfawidhi, bado ktk halmashauri kuna DMO, afisa utumishi na Mkurugenzi. Ina maana alishindwa kutoa maagizo ya utawala kudeal na hilo jambo hadi afanye yeye? Henry Fayol alieleza umuhìmu wa kufuata chain...
 9. ijoz

  Mkuu wa wilaya aamrisha nesi kuwekwa ndani kwa kosa la kuuza nguo kazini

  Labda kwa kuwa hajalipa kodi ya hiyo biashara, kwamba pengine alitakiwa kutafuta eneo maalum, amuweke mtu wa kuuza ili serikali ipate chake, na Mtz mwingine mmoja kupewa ajira.
 10. ijoz

  Jerry Muro Mtani kaishangilia Simba leo, nimeshangaa?

  Huyo anamfuata Makonda, si unajua Mheshimiwa Makonda ni Simba damu?
 11. ijoz

  Yanga na Simba nani ana nafasi kubwa ya kupindua matokeo ugenini?

  Nyie mashabiki wa yanga mnajipa matumaini. Kwanza timu lenu bovu linatuaibisha tu. Na kama yanga angekutana na Al masry angepokea kipondo hevi. Simba is going to prove you haters wrong. The mighty Simba Sc is known for its record breaking history, and this time our Simba Sc is going to make it.
 12. ijoz

  Mpenzi wa Harmonize amnunulia saa ya milioni 600

  Kwa thamani yeyote ya hiyo saa, ngoja masela wamuotee! Wakileta kwangu wataniambia tu "mwana cheki mzigo wa kishua huu, kama vipi we tuachie elfu hamsini, ila sema nini mwana, hata twenty siyo mbaya wanao tukajilipue"
 13. ijoz

  Mpenzi wa Harmonize amnunulia saa ya milioni 600

  Nimekuja kusoma comments tu...
 14. ijoz

  RC Mnyeti atengua agizo la Kigwangalla la kuwataka wakazi wa Kimotoro mkoani Manyara kuhama eneo la hifadhi

  Sijui kwanini nahisi kuna mtu atatumbuliwa siku si nyingi...
 15. ijoz

  Sheria 17 za mpira wa miguu, Soka

  Sheria nyingine zote hazichanganyi, ila hiyo namba 11. Kwanza tukio lake ni la haraka sana, linalohusisha mpira, na wachezaji wa timu zote mbili. Embu fafanua zaidi hiyo sheria, labda nitaelewa.
 16. ijoz

  Serikali kuwarejesha kazini watumishi wote waliondolewa kimakosa nchi nzima

  Mbona nafasi zao zimekuwa covered, mfano maafisa watendaji. Sasa wao wataenda kufanya kazi gani na wapi?
 17. ijoz

  Al Masry wawasili salama Dar tayari kupambana na Simba SC

  Messi ana kamwili kadogo lakini vitu anavyofanya dunia yote inasimama. Go go Simba Sc. Mpira ni akili, nguvu waachiwe wapasua kokoto.
 18. ijoz

  Al Masry wawasili salama Dar tayari kupambana na Simba SC

  Embu nyie Yanga kuweni wazalendo basi. Kesho tushirikiane kuishabikia Simba, dhidi ya waarabu... Sisi sote ni Watz, na huu ni mpira tu. Michezo ni furaha wajameni.
 19. ijoz

  Uwanja wa Taifa :Yanga 1-2 Township Rollers, Klabu Bingwa Afrika

  Dah, japo sijawahi kuishabikia Yanga, lakini nilitegemea ingefanya vyema leo. Matokeo haya yana uhusiano mkubwa na kuongeza morale ya hao waarabu wa Misri.
Top Bottom