Search results
1. Villky_J
Navutiwa zaidi na majimama kuliko mabinti
Habari zenu, jukwaa pendwa la MMU, Kama kichwa cha habari kinavyoeleza hapo juu. Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27 tu. Jambo la kushangaza nimekuwa nikivutiwa zaidi kimapenzi na wamama watu wazima waliozidi umri mbali pengine wenye uwezo hata wa kunizaa. Tahadhari, hapo sio kwamba...
2. Villky_J
Naombeni ushauri: Nikimwambia ombi langu atanichukuliaje?
Habari zenu wadau, Kuna kitu kinanitatiza, kufanya maamuzi maana naogopa fedhea maana tahadhari ni nzuri zaidi kuliko kukurupuka. Mimi ni mfanyabiashara wa muda mrefu kidogo..nina kama miaka mitano hv tangu niamue kujiajiri kwani hapo awali nilikuwa mtumishi wa serikali katika sekta fulani...
3. Villky_J
Nauza deep freezer futi 3
Kwa mawasiliano zaid piga simu no. 0627929637
Sent using Jamii Forums mobile app...
4. Villky_J
NAUZA DEEP FREEZER YAINA YA BOSS FUTI 3
Kama mnavyoiyona hp wadau..bado ni mpya kabisa, imetumika miez 8, haina tatizo lolote ni nzuri kwa biashara bei ni
Tsh 580,000/= kama unahitaji njoo PM tuzungumze biashara. Kwa mawasiliano zaid piga simu no. 0627929637 Sent using Jamii Forums mobile app
5. Villky_J
Jamani msaada wa haraka
Habar zenu humu. Mke wangu ana tatizo mm niko mbali nae kutokana na shughuli zangu. Ila tokea usiku wa kuamkia leo damu zinamtoka puani mpaka sasa hv hazijakoma ingawaje wamempeleka hospital amechomwa sindano na kupewa dawa za kumeza. Nina wasiwasi jmn maana si kawaida. .nisaidieni tafadhali...
6. Villky_J
Digital camera inauzwa
Brand:SAMSUNG Megapixels:16.2 Bright Lens:2.5 Optical Zoom: 5x Focus: 45-22.5mm 1:25-6.6 25 mm Haina shida yoyote. Ukitumia frequently inaweza kukaa na chaji masaa 48. Bei ni Tsh. 120,000/= Sent using Jamii Forums mobile app
7. Villky_J
Happy birthday brother
Mungu akuongezee umri mrefu kaka yangu
8. Villky_J
Hivi ni kitu gani cha ajabu ulishawahi kufanya ukiwa peke yako?
Habar wana jamii forum. Kwenye maisha kuna mambo mengi, kuna wakati unaweza fanya jambo la ajabu ila kwa kuwa uko mwenyewe inabaki kuwa siri yako. Mimi upande wangu. Kuna nyumba nilikuwa nimepanga miaka kadhaa iliyopita. Hiyo nyumba ilikuwa na wapangaji tusiopungua 12. Sasa hiyo nyumba ilikuwa...
9. Villky_J
Tumeachana lakini mwenzangu ananitafuta ugomvi kilazima
Habari wandugu wa jamii forum. Yupo binti mmoja tuliyekuwa na mahusiano ya kimapenzi hapo..awali kutokana na sababu mbali mbali tukajikuta kila mtu anashika njia yake. Upande wangu, sikuwahi kumtukana wala kafanya chochote cha kumuuzi. Cha ajabu mwenzangu ameanza kunitukana mitandaoni...
10. Villky_J
Tunapendana sana ila hakuna anaemwambia mwenzie.
Habari wadau. Mitihani ya Dunia haiishi. Mimi nipo sehemu nimepanga nina takribani miezi minne tangu nihamie...yupo binti mmoja nilimkuta kwenye hiyo nyumba yani mpangaji mwenzangu ila yeye anaishi na dada yake, mwanzon sikuwa na hisia zozote juu yake..ila kadri siku zilivyo kuwa zikienda...
11. Villky_J
Navutiwa kufanya kazi ya ushauri na unasihi
Habari wana jamii forum. Kwa muda mrefu Sasa nimekuwa nikuvutiwa sana na kazi ya ushauri na unasihi jambo lilonifanya kuwa mdau mkubwa na mfatiliji wa makala, vitabu na maandiko yanayohusu Elimu ya saikolojia na unasihi. Hivyo nimejikuta napenda kukutana na watu mwenye matatizo yanahitaji...
12. Villky_J
Ukweli ni huu: Wasichana na wanaume wanatakiwa kushtuka
Ambacho mabinti wanatakiwa kustuka , ni kwamba wengi wataolewa na bodaboda, wafanya biashara, ukibahatika mwanasiasa, kwa sababu wasomi hawana ajira, hivyo atakwambia nisubiri nipate kazi , utazeeka unamsubiri *Lakini pia kumbuka binti mzuri ni miaka 22,23,24,25.* Kwa mliofika chuo kikuu basi...
13. Villky_J
Elimu ni bora kuliko mali
CHUKUA HII Jamaa wamevamia benki kuiba, mkubwa wao akawaambia wateja wote na wafanyakazi ndani ya benki: Laleni chini na kila mtu atulie jinsi alivyo. Hela ni mali ya serikali, uhai ni mali ya Mungu. Nyie hamna chenu. Kila mtu akasalimu amri akalala chini. Hiyo inaitwa: "Falsafa ya kubadili...
14. Villky_J
Nauza deep freezer ya foot 3
15. Villky_J
Tahadhari kwa watumiaji wa mitandao
Jana usiku nimetoa taadhari kwenye moja ya taasisi za umma juu ya Global Cyberattack - Uvamizi wa kutisha wa udukuzi wa mifumo ya kompyuta - uliotokea jana nikiwataka wachukue hatua za haraka kujilinda. Hata hivyo nimeona niweke maelezo na ushauri wangu kwenye public maana jambo hili ni...
16. Villky_J
Ugumu wa maisha unachochea ongezeko la upungufu wa nguvu za kiume
Habari wanajamii, Unaweza kujiuliza ni jinsi gani ugumu wa maisha unawezaje kuhusiana na upungufu wa nguvu za kiume? Basi ngoja nikufafanulie hili, upungufu wa nguvu za kiume umekuwa ni tatizo kubwa linaloikumba jamii kwa sasa. Tafsiri halisi ya upungufu wa nguvu za kiume: Ni ile hali ya...
17. Villky_J
Ni mavazi gani unaweza vaa siku ya kwanza kukutana na mpenzi wako?
Habari wanajamiiforum. Leo tushirikiane katika hili. Kumekuwa na utata mkubwa sana kwa pande zote mbili husasani siku ya kwanza kukutana na mpenzi wako, ambae labda kwa muda mrefu mlikuwa mkiwasiliana bila kuonana ana kwa ana. Wengi wetu huwa tunazidisha madoido mpaka tunaboa kiasi kwamba...
18. Villky_J
Msaada kwa simu yangu wapendwa.
Kwanza niombe radhi, nafahamu hii forum siyo ya mambo ya technician ila tatizo langu la simu nahitaj ufumbuz wa haraka ili niweze fanya maamuz coz nimepost kule naona wanachelewa kunijib, simu yangu ni samsung S4 leo asubuh kuna tatizo limejitokeza haioneshi indicator ya LED light wala ile alama...
19. Villky_J
Naombeni msaada kwa simu yng samsung S4
Habar wandugu, simu yng inatatizo hainipi notification ya kuonyesha kwamba charge inaingia, sio indicator ya LED light wala alama ile ya zigzag inaingia kimyakimya tatizo hilo limeanza asubuh hii ...nisaidieni tafadhali.
20. Villky_J
Hivi nyie mabahalia mna nini lakini....
Habari wanajamii forum, leo nimekuja na hii thread kuhusiana na hawa wanajihita mabahalia ingawaje sio wote ni baadhi yao. Nasisitiza tena sio wote maana naogopa nisije shambuliwa hapa nikashindwa pa kuelekea. Mm ni mkazi wa mkoa wa Dar es salaam, nimekuwa nikishangazwa sana na kundi moja la...
Top Bottom