Search results

 1. ijoz

  Ushauri kati ya magari haya mawili

  Wana wema wa MUNGU, ninahitaji kununua kati ya Spacio au IST second generation (almaarufu new model) kwa ajili ya mizunguko ya kawaida ya kwenda kwenye shughuli zangu ambazo ni takriban km tisa kutoka makazi yangu, kati ya hizo takriban km nne ni vumbi, nyingine ni lami. Nimependezwa na uimara...
 2. ijoz

  Nimependa mfumo wa ufungaji ndoa wa Waislamu ulivyo simple

  Miye ni Mkristo kwa maana ya kuzaliwa, kukua na kuamini. Na nimeshuhudia ufungaji wa ndoa nyingi za kikristo ukiwa na complications nyingi, ambapo kwa sehemu mkubwa maandalizi kwa maana ya kamati huchukua si chini ya miezi mitatu, watu hufikia hadi hatua ya kukopa kwa wadau tofauti kwa lengo la...
 3. ijoz

  Naombeni msaada wa mawazo kwa wafugaji wa kuku wa nyama

  Wazoefu wa ufugaji wa kuku wa nyama habarini za kazi. Naomba mnisaidie ufafanuzi kwenye masuala haya ambayo nimekosa majawabu ya hakika. 1. Kuna tofauti gani ya gharama ya ufugaji na pia ubora wa nyama ya kuku ambao ni pure broilers ukilinganisha na ile ya machotara kama SASSO ambao utaamua...
 4. ijoz

  Vyombo vyetu vya habari vinatuharibia lugha ya Kiswahili

  Ni ajabu kwa vyombo vyetu vya hapa nchini vinavyokosea kuandika lugha adhimu ya kiswahili. Baada ya Mechi kati ya Simba na Kagera Sugar, Azam Two kwenye yale maandishi wameandika Chersea 3 ( badala ya Chelsea), MPILA (badala ya mpira) unaendelea. Channel Ten jana tarehe 14/10 (nadhani kwenye...
 5. ijoz

  Ukuaji wa lugha ya Kiswahili: Neno Mbashara

  Sikuwahi kufahamu kuwa katika kiswahili kuna neno linaitwa mubashara, likimaanisha "matangazo ya moja kwa moja yaani live". Jana kwa mara ya kwanza nilivyoona hilo neno chini ya nembo ya ITV nilidhani ni kifupisho cha maneno fulani. Hivyo tuendelee kujifunza lugha yetu adhimu: Mbashara (si...
 6. ijoz

  Wenye usahihi wa uwingi wa maneno haya naomba wanisaidie

  Viongozi, napata shida sana kufahamu, usahihi wa uwingi wa maneno haya hapa chini, usahihi wake ni upi? Mbuzi/kuku/ng'ombe/samaki wangu au Mbuzi/kuku/ng'ombe/samaki zangu??? Nasikia wengine wanasema ng'ombe wangu, wengine ng'ombe zangu.
 7. ijoz

  Yanga nao kwa utetezi...

  Ziliporejeshwa zile tatu wakasema walijiamini sana. Leo wamepigwa tatu moja kocha kasema walijiamini kupitiliza. Hivi nyie yanga,mnafikiri pale uwanjani mnacheza peke yenu hadi mjiamini namna hii. Sasa nasema muwe mnapigwa tu ili mbadilishe utetezi...
 8. ijoz

  Ushauri: Biashara ya duka la pembejeo za kilimo

  Wadau,naomba kwa wenye ujuzi/wazoefu wa biashara ya pembejeo za kilimo na mifugo (kama vile madawa,mashudu n.k) anijuze taratibu za kufuata ili kuanzisha duka ikiwa na vigezo vya kitaalamu kama vipo. Natanguliza shukrani zangu.
 9. ijoz

  Eti wadau,kuna ukweli kuhusu hili?

  Kwamba yupo samaki ambaye juu ni mtu,chini ni binadamu?
 10. ijoz

  Vipi wazo la kuanzisha betting point?

  Amani kwa kila mmoja. Natambua kuwa moja ya mbinu ya kutambua wazo la biashara ni pamoja na kuangalia mahitaji ya jamii husika. Miaka ya karibuni watu wengi(wakubwa kwa wadogo) wanafanya betting kwenye michezo mbalimbali hususan football. Sasa wajuvi,inawezekana kuwa wakala kama wa premium...
 11. ijoz

  Tafsiri ya neno poke kwenye fb

  Jamani wadau amani kwenu. Sina uhakika kama hili ni jukwaa lake,ila ninauhakika nitapata jibu la swali langu. Nikiingia kwenye facebook nakutana na neno "poke". Sasa mwenye ujuzi anisaidie maana ya hilo neno na matumizi yake kwenye facebook. Natanguliza shukrani. Wasalaam ijoz
 12. ijoz

  Wenye uwezo tupieni vitu vipya jukwaani

  Jukwaa hili ndilo lilinifanya mimi niifahamu JF. wadau wamekuwa wanaleta hoja/mawazo yanayoleta msukumo chanya wa maendeleo ya mtu binafsi kwa kutoa mawazo mbalimbali ya kumwezesha mtu kupiga hatua. Lakini naona jukwaa hili siku hizi limepoa sana,au wote wamehamia kwenye siasa na MMU,maana...
 13. ijoz

  Mimi nitashabikia mtu,siyo chama chochote

  Huwa nashangaa watu wanavyoshadadia CCM,CDM,CUF na vyama vingine kana kwamba waliopo humo ni wema tu. Kwa dhamira ya moyo wangu nilishajiapia, kuwa nitamshabikia mtu siyo chama. Naweza nikampigia kura mgombea A wa chama X kwenye urais,lakini ubunge nikampa mgombea wa chama Y,na nikihisi wote...
 14. ijoz

  Bei ya seiko

  Viongozi amani kwenu, Tafadhali,mwenye kufahamu bei ya seiko 5 (21 hadi 25 jewelles) kwa Dar naomba anijuze,ninahitaji kununua. Wasaalam, ijoz
 15. ijoz

  Membe live on Chanel ten akijadili tathmini ya uchaguzi wa Zimbabwe

  Wadau,Bernad Membe yupo live on Chanel ten akitoa tathmini ya uchaguzi mkuu wa Zimbabwe. Anasema uchaguzi kwa maana ya zoezi zima la kupiga kura ulikuwa fair,lakini kwenye kampeni STATE MEDIA HAIKUTOA FAIR COVERAGE. Anasema kuwa mwaka 2008 Mugabe alishindwa,na Tanzania ilimlaani Mugabe kwa...
 16. ijoz

  Bado TBC

  Habari zilizotangazwa na BBC SWAHILI zimesema kuwa katika jitihada za kujikwamua na mdororo wa uchumi,Serikali ya Ugiriki imefunga shirika la Habari la Ugiriki 'TBC ya Ugiriki' (inaitwa ERT) baada ya kuona kuwa linajiendesha kwa hasara. Kwamba,imebainika kuwa ni watu wachache wanafuatilia...
 17. ijoz

  Tanzia: Mama yangu mzazi ameaga dunia

  Wadau,kwa huzuni na majonzi makubwa nasikitika kuwajulisha kuwa mama yangu mzazi ameaga dunia majira ya saa tatu na nusu usiku wa tar. 29/04/2013. Ikumbukwe kuwa mnamo tar. 17/03/ mwaka huu niliandika post ya kumbukumbu ya miaka miwili ya kifo cha baba yangu mpendwa. Leo tena naanza safari...
 18. ijoz

  Maneno maarufu secondary za bweni

  Wakuu,amani kwenu... Ningependa tukumbushane maneno maarufu yaliyokuwa yanatumika shule za secondary hasa boarding. Mi nakumbuka maneno kama: 1.Njuka,kitimoto,mkia,nyoya=form one 2.Kufufuka=kuamka usiku kusoma. 3.Kuwa Mongwe= Kuishiwa pesa. Sifongo=Uji usiokuwa na sukari. 4.Kuchoma=Kuingia...
 19. ijoz

  Tofauti kati ya company na Limited

  Jamani wadau, mwenye kufahamu tofauti ya Company na limited , na ipi ni kubwa kuliko nyingine, faida ya kufungua company/limited over limited/company na taarifa zozote muhimu anijuze. Natanguliza shukrani.
 20. ijoz

  R.i.p my lovely dad

  Siku kama ya leo tar.17/3/2011 baba yangu aliaga dunia. Alikuwa ni mume mzuri kwa mama yangu,baba mzuri kwa sisi wanawe,mtani mzuri kwa wajukuu zake na watu wengine na mshauri mzuri kwa jamii. Alipenda kuishi kwa mifano,alijenga misingi ya sisi kujitegemea. Hakika siwezi kumsahau baba...
Top Bottom