Search results

 1. Kabaizer

  Computer4Sale pc samsung R439

  processor i5 @2.67GHz RAM 4GB HDD 500GB INVIDIA GRAPHICS 4GB(gaming pc) BATTERY 2HRS (ni gaming pc na ndani ina games 2 fifa na need for sepeed) pc haina tatizo ila nnashida na kodi bei 250000 cont: 0653957095 loc: DSM
 2. Kabaizer

  Naomba kujuzwa kuhusu hizi ajira

  Wakuu naomba kuuliza hivi zile ajira 10000 zilizotangazwa na serikali wiki iliyopita katika kada mbalimbali ikiwemo ualim wa shule za msingi na secondary,mahakama,wauguzi n.k, tunasubiri watoe post au ndio tunaenda wilayani na kuomba? taarifa zinasema wataanza kuripot mwez wa 8 sasa naomba...
 3. Kabaizer

  Exchange deal s6 edge plus(64GB) gold... With iPhone 6s plus(64GB).

  Mimi natumia s6edge + imetumika wiki 2 sasa na haina tatizo lolote.... Nahitaj kutumia iPhone kwa vile Samsung huwa sizikubali Sana Kama iPhone mwenye nayo na yenye sifa tajwa hapo juu tuwasiliane kufanya biashara
 4. Kabaizer

  S6 edge+ (64GB),for 800k

  Cm nzima haina tatizo lolote na ndio nnayotumia. Price fixed.... Exchange only with iPhone 6+(64GB)
 5. Kabaizer

  samsung galaxy grand prime H-530

  imetumika miez 4 haina tatizo lolote inaenda kwa 200k....pm kwa maongez zaid
 6. Kabaizer

  Modem ya airtel inahitajika

  wakuu poleni na tinga tinga nahitaj modem ya airtel hizi new model nyeupe 3g mwenye nayo tuwasiliane!
 7. Kabaizer

  New samsung note 3, with 4g&32GB storage@cheap price!

  bei 480 maelewano yapo
 8. Kabaizer

  Galaxy S4(i9500) for cheap price

  wakuu cm natumia mwenyewe haina tatizo lolote na sababu ya kuiuza nahitaj kubadili cm,cm yangu galaxy s4 ina android version 5.0.1,ina internal memory 32GB,kama unaswali lolote usisite niulize N.B: sim ni original haina tatizo lolote na bei ni tsh 350,nakupa uikague kabla ya kufanya...
 9. Kabaizer

  Earphones needed

  Nahitaj earphones za samsung galaxy s4 zenye mziki mzuri, weka bei na mawasiliano yako jion njema
 10. Kabaizer

  Wapi wanaprint tshirt kwa dsm?

  Naomba kufaham wapi wanaprint tshirt kwa daresalaam maeneo ya kkoo au popote unapopafaham kwa kutumia maandish ya plastik na sio rangi? Msaada wako tafadhali
 11. Kabaizer

  Wap nitapata nguo nzuri za kiume katika maduka ya kkoo

  Naomba msaada maana mimi huwa naishia yale maduka yaliyopo mitaa ya bigborn sasa kama unafaham mitaa mingine naomba msaada nguo za dukani only. NB,nguo quality na sio quantity
 12. Kabaizer

  Ps2 inauzwa

  Wakuu kwema? Nauza ps2 ina pad moja, inatumia memory haitumii CD ina games ambazo ni saved kama fifa 14, mortal kombat, burnout na bikehill. Nauza kwa 130k
 13. Kabaizer

  Naomba uniuzie Samsung Galaxy S4 kwa TSHS 300k (Serious Seller)

  Nahitaj msaada najua hizo cm sio bei zake ila nina shida na kahela kenyewe ndio hako kama unaweza kunisaidia kijana mwenzio na mimi nitumie kizur kama unachotumia wewe niuzie ila pia kama dau dogo basi mniambie wakuu ili nikazichange tena maana hizi nimezitafuta ndan ya miez 4,kwa wale...
 14. Kabaizer

  Nikinunua kitu ebay napokelea wap??

  Wakuu habar,nahitaj msaada kwa mfano nimenunua cm online kupitia ebay hiyo cm nitaipolea wap?? Au nakua najaza kabisa sehem ambayo nitapokelea?? Mfano kama ni posta au bandalini??
 15. Kabaizer

  Naulizia dawa ya Upara (uwaraza) kama ipo?

  Wakuu, Msaada maana naona nina dalili za kupata kiwalaza na nina miaka 20 sasa kuna dawa yoyote? Nawasilisha
 16. Kabaizer

  Cheti cha housekeeping kinahitajika

  Msaada wakuu kwa yeyote anaeweza kugushi cheti cha housekeeping au anacho cha kwake anauza naomba tuwasiliane kwa pm......hata kama unasota lakin hakikisha unaenda mbele!
 17. Kabaizer

  Msaidie huyu dada hana elimu lakini ana experience

  Jamani wakuu habari zenu poleni na majukumu ya hapa na pale. Kuna dada amenifuata na kuniomba msaada na namfahamu kwa muda kidogo anatafuta kazi lakini kutokana na mimi kuwa na uwezo duni nimeona sio mbaya nikilifikisha kwenu wakuu ili mumsaidie japo hata kwa mawazo. Huyu dada kusema kweli...
 18. Kabaizer

  Baada ya matokeo ya ualimu je kunauwezekano wa kupelekwa jkt?

  Wakuu kwanza nawatakia eid mubaraka ila cha pili nilikua naomba kujuzwa kama ndugu zetu walimu baada ya matokeo yao kuna habar zimezagaa kuwa wanapelekwa jkt,je kuna ukweli wowote tafadhali naomba kujuzwa
 19. Kabaizer

  Mhitimu wa Chuo cha Ualimu, natafuta tempo

  Kwanza kabisa nawasalimia! Mimi kijana ambae nimemaliza chuo cha ualimu mwezi mei mwaka huu, nilikua naomba msaada wenu wakuu nipate japo tempo wakati nikisubiria matokeo yangu. Nina uwezo wa kufundisha awali mpaka darasa la tano masomo yote, na kama unahisi unakibarua chochote ambacho...
 20. Kabaizer

  msaada kutoa lock huawei e1550

  wakuu poleni na laz ila kijana wenu nimekwama nahitaj mwenye kode za moderm yangu huawei 1550 yenye imei 352965048727232 anisaidie nawaomba sana,usiku mwema
Top Bottom