Msaada kwa anayejua kile kifaa cha kupimbia mimba( preginacy test) huwa kinaanza kuonyesha mimba ikiwa na week ngapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiv kwa wale wanawake wanaoingia period yaan mzunguko mrefu kipind cha cha siku 35 siku za hatar zinakuaga sawa na Kwenye mzunguko mfupi au wa kawaida?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi ni kwel mtu akiwa analamamba asali inaboresha kizazi yaani mfuko wa uzazi unakuwa imara kumpelekea yeye kupata mimba kwa haraka kwa wale wenye uzazi wa shida?
Sent using Jamii Forums mobile app