Search results

 1. mwallu

  Furahi day - Be Happy

  Haiijalishi nilivoamka Hainipasi kusikitika Ujasiri nimejivika I decided to be happy Mwili wangu u - dhaifu Ila nampa Mungu utukufu Sitakuwa,wala sina hofu I decided to be happy Nimechagua kua na furaha Nimechagua kua imara Duo-cot niache,usinipe hasira I decided to be happy Happy happy...
 2. mwallu

  Tupe uzoefu wako!!!!

  Nashukuru Mungu kampeni dhidi ya ukatili wa kijinsia imepamba moto,pengine itasaidia kufuta kabisa ukatili dhidi ya wanawake na watoto.Mie nachukia sana ukatili dhidi ya mtu yeyote bila kujali jinsia. Kuna huu ukatili kwa mwanamke kipindi cha ujauzito: kuna wanawake wengi wamepitia ukatili huu...
 3. mwallu

  Tumbo kubwa..nilipunguze vipi? kwa njia ya vyakula lakini

  Nile vyakula gani ili tumbo langu lipungue yaani lirudie hali ya u flat kama zamani mazoezi huwa najaribu lakini nashindwa kuendelea nayo kiukweli msaada juu ya hili maana linanikera sana wakati mwingine
 4. mwallu

  Ivi najaribiwa na muovu au nini?

  Ni saa tano na nusu bado nimejilaza hapa kitandani.Naangaza kila pembe ya chumba changu lakini sioni mabadiliko yoyote chumbani.Moyo unanidunda dunda sana japo najua siumwi. Mara ''ngo ngo ngo,sister mwallu watoto wamefika'' Ni sauti ya doto,mtawa mwenzangu....kha! ndo nakumbuka nina...
 5. mwallu

  hodi wenyewe

  mi mgeni hapa..
Top Bottom