Search results

 1. al abry

  Tafakuri

 2. al abry

  nahitaji Msaada wenu wanajamvi.

  Mie nipo intrested na kufanya kazi katika oil and petroleum industry hasa katika nchi za kiarabu.nahitaji msaada wa contacts au maelekezo yoyote kuhusu any trusted workers agency aneweza kuniunganisha bila kanjanja kwa yeyote anaefaham.napokea ushauri pia ahsanteni.[emoji7]
 3. al abry

  Akimaanisha rest in peace my doughter.

 4. al abry

  Muhenga.

 5. al abry

  Msaada: Je wamiliki wa telebox Tanzania app ni matapeli?

  Habarini za wakt huu wana jamvi,najitokeza humu asubuh ya leo nina kero moja. Kutoka playstore ya hzi smartphone kuna app mpya inaitwa TELL BOX TANZANIA ina husu ku hack namba ya sim ambayo mtu huichagua baada ya kudownload.baadae utatakiwa kulipa elf 45 kweny namba iliyopo kwenye maelekezo...
 6. al abry

  Sina hakika na hili..

 7. al abry

  Nalia na NSSF

  Ndugu zanguni habarini za asubuhi!!. Naam bila shaka wengi tupo salama na tunaendelea na majukum yetu ya kupush gurudumu la maisha kama kawaida, ni jambo la kushukuru. Najitokeza hapa kwa mara ingine nikiwasilisha uzi wenye kilio kuhusiana na mfuko wa taifa wa hifadhi ya jamii(NSSF).Kwanza na...
 8. al abry

  Napenda kujua kuhusu North Korea

  Habari zenu wadau wa siasa hizi za kimataifa. Kama heading yangu inavyoeleza,natamani saana kupata historia japo kwa kifupi kuhusiana na NORTH KOREA,kwa mwenye uwezo nayo tafadhali naomba msaada katika maeneo haya; 1.Historia yao,geographia yao, mfumo wao wa kiutawala,wamewahi kuwa koloni...
 9. al abry

  Ni muda gani mwanamke anaweza kupata ujauzito baada ya kujifungua?

  Habari za muda huu wakuu?najitokeza kwa upande huu ikiwa ni mara yangu ya kwanza nauliza hivi..nikipindi gan hasa mama aliejifungua anaweza kushika ujauzito?nipo kwenye contradictinlon kubwa ndugu zanguni naombeni majibu urgent kama itawezekana. Asanteni.
 10. al abry

  Kwetu Kakola na Msalala

  Habari za muda huu wadau? Napenda kuwaleteen japo kidogo taarifa fupi kuhusu maendeleo katika wilaya yetu ya msalala na kijiji cha kakola. Licha ya kuwa ni wilaya yenye uwekezaji mkubwa katika sekta ya madini namaanisha uwepo wa kampuni kubwa ya uchimbaji wa dhahabu inayomiliki mgodi wa...
Top Bottom