Search results

 1. V

  Kipi ni chuo bora kwa kozi za Engineering kati ya UDSM,DIT na MUST ?

  Hivi kati ya vyuo tajwa hapo juu kipi kinanoa vizuri wanafunzi kinadharia na vitendo katika kozi za engineering?,hasa Electrical engineering.
 2. V

  Unatumia mbinu gani ili kuongeza downloading speed kwenye Uttorent?

  Habari wapendwa.. Mara ya kwanza nilivodownload uttorent app,ilikuwa inadownload movie kwa speed sana.. Ila siku hizi speed imeshuka mpaka 2kb/s.. Nikacheki YouTube wanashauri kutumia VPN..VPN app zenyewe in majanga tu..Je wewe unafanya trick gan kuboost speed ktk Uttorent Kwenye Simu??
 3. V

  Hivi ESR METER zinapatikana KARIAKOO?

  Naomba kujuzwa kama mita zinazopima Equivalent Series Resistance(ESR) of capacitor zinapatikana kariakoo?
 4. V

  Njoo tujadili ufundi wa vifaa vya umeme kama vile tv,redio n.k

  Jamani,Tujadili matatizo na suluhisho la vifaa vya umeme kama vle tv,feni,redio n.k
 5. V

  Alikiba ana views chache youtube.Je ni nini kinamuangusha?

  Alikiba a.k.a Mfalme wa bongofleva alitoa nyimbo ya AJE,may 19,mpaka sasa ina 4,855,844+ views. Yeye ni mwanamuziki mkubwa hapa Tz na Afrika kiujumla.Ana mashabiki wengi sana.Sasa kama yeye ni mfalme mbona ana views chache/? Je ni kwa sababu, 1.Nyimbo zake ni mbaya? 2.Mashabik wake...
 6. V

  Naamini kuna wasanii wanafanya muziki mzuri kuliko hata Diamond na Alikiba

  Uwepo wa timu za kishabiki ndio unaofanya wasanii wengi wasing'are. Ila kiukweli wasanii kama Darassa, Ben Paul, Barakah, Jux, Barnaba wanafanya mziki mzuri kuliko uwepo wa timu za kishabiki ndio unaofanya wasanii wengi wasing'are. Timu zao zitaua mziki wetu hawa mafahali wawili.
 7. V

  Kipi bora kati ya kuacha shule na kwenda kujiajiri au kuendelea na masomo ili baadae uajiriwe?

  Najua wadau mna mitazamo tofauti. Je kati ya hivyo viwili kipi ni bora?
 8. V

  Mashabiki tunajifunza nini kutoka kwenye mistari hii ya wimbo wa 'Sumu' ya Fid Q?

  Anasema: "Hawaamini kwenye kuunda Diamond au Kiba wawili. Wanachoamini ni kumshusha mmoja ili mmoja awe dili" ======= Sumu Lyrics by Fid Q [Verse I:] Alieniumba alinipa mdomo hovyo nina haki ya kuongea/ ni bahati nimeotea..safi… Kamwe siachi kuishea/ hamtaki niwe fair…? Trust me.. Me huwa...
 9. V

  Duuuh Diamond kweli sio mtu wa mchezo mchezo!

  Aaah simba hapo akiunguruma
 10. V

  Tangu awamu ya 5 ianze kuna kauli nyingi sijazisikia

  Kauli hizo ni kama vile 1.Laki si pesa 2.Pesa makaratasi hivi ni kwa nini?
 11. V

  Naomba kujua historia ya tamasha la FIESTA

  1.Neno FIESTA lina maana gani? 2.Tamasha hili lilianza mwaka gani? IMOOOOO!!!
 12. V

  Ni nini kimewakumba TABIBU TV?

  Chaneli hii ilianza vizuri kwa kutuwekea mamuvi kila siku,lakini sasa inazingua kinoma.
 13. V

  Ulifanya ishu gani baada ya kumaliza kidato cha nne?

  Baada ya kumaliza mtihani wa kidato cha nne ulipiga ishu gani kwenye ile likizo ya miezi 6?
 14. V

  Naomba kujua kuhusu mapokezi ya viongozi wetu kwenye nchi nyingine

  Hivi viongozi wetu wa nchi huwa wanapokelewa kama tunavyowapokea viongozi wa nchi nyingine kwa mfano wao wakija huku wanapigiwa ngoma n.k?
 15. V

  Je unajiweza kwenye Kiswahili? Jibu swali hili..

  Toa maana tano(5) za neno FUTA
 16. V

  Naomba kujua Jinsi ya kubadilisha profile picture kwenye JF

  Naomba kujua Jinsi ya kubadilisha profile picture kwenye JF,kwa 7bu sijaona option ya kubadilishia
 17. V

  Naomba kujuzwa bei ya trei moja la mayai

  Naomba kujuzwa bei ya trei moja la mayai kwenye maduka ya jumla
 18. V

  Igizo la DHAMIRA linalorushwa ITV

  Igizo hili limehusisha mandhari ya kijijini na mjini.Ni zuri sana kwani linaelimisha kuhusu uongozi mbaya,kutafuta haki,matumizi mabaya ya fedha,uhuni n.k. usikose kuangalia ni kila jumamosi saa 3:00 usiku.Je wewe unalifuatilia?,unalionaje?
 19. V

  Igizo la DHAMIRA linalorushwa ITV

  Igizo hili limehusisha mandhari ya kijijini na mjini.Ni zuri sana kwani linaelimisha kuhusu uongozi mbaya,kutafuta haki,matumizi mabaya ya fedha,uhuni n.k. usikose kuangalia ni kila jumamosi saa 3:00 usiku.Je wewe unalifuatilia?,unalionaje?
 20. V

  Tamthilia ya LA TEMPESTAD inayorushwa na TV1 kila jumatatu mpaka alhamis saa 2:30 usiku

  Uzi huu kuhusuiana na la tempestad,tutakua tunajadili mwenendo wa tamthilia yetu pendwa ambayo inahusisha wakali kama Captain Damián Fabré, Marina Reverté Artigas de Fabré,Magdalena Reverté Artigas,Mercedes Artigas,Fulgencio Salazar,Beatriz vda. de Reverté,Úrsula Mata,Esther "Esthercita"...
Top Bottom