Search results

 1. MtuHabari

  Je, mwisho wa zama za unafiki, kujipendekeza, uongo na ukatili ndio zimefika?

  Tuko msibani, lakini kwa dunia ya sasa hilo hakizuii kusema ya moyoni ili kujiweka sana na kutumia msiba kama funzo muhimu. Awamu hii ya tano sehemu ya kwanza chini ya Marehemu Rais Magufuli tulishuhudia mambo niliyotaja hapo juu yalishamiri na kuwa ndio mfumo halisi wa nchi yetu. Uongo...
 2. MtuHabari

  Kwanini BAWACHA (CHADEMA) Imeshamiri Kuliko UWT (CCM) Katika Siku ya Wanawake Duniani?

  Ukiangalia siku ya Dunia ya wanawake march 8 mwaka huu utaona kwa uwazi kuwa jumuia ya wanawake CCM (UWT) imedorora au kwa usahihi kabisa imejifia wakati wenzao ambao hawana fedha wala support ya Dola wame shine ki sawasawa. Nini tatizo? Je, hamasa ili ya zamani ndani ya UWT imefia wapi? Kina...
 3. MtuHabari

  Hakika Tumemkosa Rais mwenye maono, leo hii tusingechangisha madarasa na vyoo

  Kwa ukweli bila ushabiki wa kisiasa au kejeli, nchi hii imemkosa Rais ambaye alikuwa na fikra chanya nafasi ilipo patikana ya kufanya hivyo Oktoba 2020. Ukimsikiliza Lissu alivyozungumzia huo mpango wa elimu yetu utaona kuwa alikuwa na vision kubwa tofauti na tunavyo pelekwa na matukio kwa sasa.
 4. MtuHabari

  Spika Ndugai na Katibu wa Bunge wapelekwe Mahakamani kwa kutoiheshimu Katiba waliyoapa kuitetea

  Kutoheshimu katiba ya nchi unayo apa kuifuata na kuilinda ni kosa kubwa la pili baada ya uhaini na mauaji. Spika wa Bunge Job Ndugai na Katibu wa Bunge wanapaswa kupelekwa mahakamani kama sio leo basi baada ya utawala huu unaowalinda kuondoka madarakani. Sakata la Wanachama wa CHADEMA...
 5. MtuHabari

  Hii Ngoma ni Kali Mno na Kiwango

  Ngoma inaitwa BABA na imeimbwa na STAMINA, Profesa J na ONE SIX. Hakika iko kiwango na video yake ni nzuri ikimshirikisha mama Kanumba ambaye kaonyesha kipaji cha hali ya juu kabisa. Hizi ndio ngoma za kupewa TUZO sio zile zinazodumu wiki mbili na kuchuja.
 6. MtuHabari

  Katika makosa makubwa yaliyofanywa nchi hii ni kitengo kupanga orodha ya Wabunge

  Nimejaribu kuangalia mwenendo wa nchi kwa sasa baada ya uchaguzi mkuu uliohujumiwa wa 2020. Kikubwa ambacho kama nchi tutakuja kukijutia na "kitengo" watajua kuwa hawajui ni kwa kuingilia mchakato wa wananchi kupata wabunge wao na kitengo kuwapangia wabunge wawe kina nani. Kama walitaka...
 7. MtuHabari

  Rais Magufuli, baada ya uhakiki wa wastaafu Aprili, waongeze Pension walau iwe KCC

  Uhakiki unaofanyika kwa wastaafu wa Serikali unaoanza mwezi huu unahusisha watumishi wa umma yaani waalimu, wanajeshi, madaktari na wauguzi, makarani hadi maofisa wa juu wa serikali waliostaafu serikalini 1997 kwenda nyuma. Kwa maana hiyo ni zaidi ya miaka 23 iliyopita na zaidi. Kulingana na...
 8. MtuHabari

  Mkutano Mkuu UTPC; Mtihani Mkubwa kwa Press Clubs

  Nikiri kuwa Mimi ni mwanachama wa moja ya Press Club za mkoa ulio mashariki mwa nchi hii lakini pia miaka ya nyuma nilikuwa pia mwanachama wa Mwanza Press Club hadi miaka ya karibuni nilipohamia kwenye chombo cha habari chenye makao makuu yake huku Mikoa ya Pwani. Hizi Press Clubs ni vyama...
 9. MtuHabari

  Uchaguzi 2020 Uchaguzi huu Waandishi hatujatimiza wajibu ipasavyo

  Kuna tofauti kubwa sana iliyojitokeza jinsi tulivyo ripoti taarifa za uchaguzi za 2015 na hali ya sasa tunavyo endelea kuripoti. Kwanza tumetawaliwa na woga usiokuwa na sababu, na woga huu ukiangalia ni kutokana na vyombo vyetu vya usimamizi kama MCT, TAMWA, JUKWAA LA WAHARIRI hata ile taasisi...
 10. MtuHabari

  Uchaguzi 2020 Urais wa Lissu sio wa CHADEMA bali wa mageuzi nchi nzima. Viongozi Upinzani fanyeni haya

  Amueni kwa nia moja kabisa kuwa kupata kwa Tundu Lissu ushindi sio kupata kwa CHADEMA bali kwa Watanzania wote wapenda maendeleo na demokrasia. Adhima ya kuiondoa CCM yenye ukandamizaji na ukatili madarakani ni ya wote bila kujali ni wachama gani, hivyo watu washirikiane katika kuzika msiba huu...
 11. MtuHabari

  Uchaguzi 2020 Nini kinampa Kheri James wa UVCCM kiburi cha matamko hatari?

  Kabla ya hata uchaguzi na harakati zake kuanza, mwenyekiti wa Vijana wa CCM, Kheri James amekuwa akitoa matamshi hatarishi yenye viashiria vyote vya ugomvi. Ajabu ni kuwa hata sasa wakati wa kampeni za uchaguzi zikiendelea huku viongozi mbalimbali wa serikali, vyama, dini na hata wanadiplomasia...
 12. MtuHabari

  Hii Ndio Hali Halisi ya Wana CCM Mtaani

  Polepole na Bashiru mnapaswa kujipanga upya. Hali halisi ya huku mtaani kwa wanachama wenu wamama, vijana na wazee ni hivi kwa sasa. Yaani furaha kwa kila wasikiapo kuhusu Chadema bila hata kujali wamevaa mavazi waliyogawiwa na CCM. Hii ni dalili kuwa chama kimewatoka moyoni na tusije shangaa...
Top Bottom