Search results

 1. John Amigo

  Natafuta Mwanamke atakayekuja kuwa mke wangu

  Kwema wanazengwe, Kama apo juu palivyo Mungu akijaalia baadae awe wife umri kuanzia 25yrs angalau. Mimi ni Christian, muajiriwa, my age 28 sina vipengele vingi lakin awe tayari kupima afya cha kwanza lakin asiwe mchaga Asante Sent using Jamii Forums mobile app
 2. John Amigo

  Nauza Toyota Chaser #DH

  Toyota chaser ,year 2000 ,mileage 127000 ,vvti 1990cc ,full Ac ,duty paid. Gud condition ,call / watsap 0782873637 Sent using Jamii Forums mobile app
 3. John Amigo

  Nyumba Mbez beach For sale

  Nyumba inauzwa ipo mbez beach kituo makonde ina vyumba viwili ,jiko ,choo ,sebule ,pia nyuma kuna nafasi kuongeza vyumba viwili zaidi bei ni 26mil kwa mawasiliano 0742597424
 4. John Amigo

  Pickup Doublecabin

  Toyota Hilux Double cabin for sale ,Injin petrol 2Y ,manual ,gud condition ,price 10Mil ,Location Dar es Salaam ,serious buyer call 0742597424
 5. John Amigo

  Toyota Rumion

  Toyota Rumion ,petrol ,1490Cc ,automatic ,Full Ac ,very gyd condition naiuza 14mil serious buyer contact 0742597424
 6. John Amigo

  Nissan Double Cabin

  Nissan Datsun ,Automatic ,Petrol ,Sun Roof ,2380CC ,four cylinder ,Duty paid ,Full Ac ,very gud condition ,price 14mil ,serious buyer call 0742597424
 7. John Amigo

  Printer mpya kwenye box

  Ina scan ,print ,copy ,wifi ,ni mpya kwenye box ina kila kitu chake mawasiliano 0742597424 nipo Dar
 8. John Amigo

  Nauza kiwanja Kigamboni kina hati

  Kama kichwa cha habari kilivyotangulia, Nauza kiwanja changu kipo Kigamboni kina square mita 600 kimepimwa na kina hati kipo jirani na Avic town bei ni mil 10. Mawasiliano 0742597424
 9. John Amigo

  Nauza Toyota Voltz

  Toyota Voltz ,@11mil ,Full Ac ,Engine Vvti ,mawasiliano 0623252097
 10. John Amigo

  Mlio na watoto kuweni makini na mnayofanya mbele yao

  Nina mpangaji wetu hapa kapanga nyumba kitambo kipindi hicho msela kaanza maisha hajawai kutusumbua, akaja analeta msichana, mchizi akanipanga huyu manzi mimi ndio boyfriend wake wa kwanza weekend anakujaga mara moja moja then anaondoka. Miaka kama mitatu baadae yule yule msichana akaja kuishi...
 11. John Amigo

  Nahitaji mke wa kuoa

  Mimi ni kijana umri 30 nahitaji mwanamke umri 25-30 asie na mtoto kama ana mtoto basi mzazi, mwenza labda asiwe duniani maana akiwa hai atapoteza sifa ya kinyang'anyiro. Karibuni elimu sio lazima
 12. John Amigo

  Kipimo cha wema ni nini?

  Kipimo cha wema wako anaejua ni yule ambae unayemtendea huo wema na kama umetenda wema ambao ndani yake una hira (ukiritimba )usitarajie kulipwa fadhira kamwe .Usijivune umefanya mema wakati mema yako yana hira [emoji362]
Top Bottom