Search results

 1. YNNAH

  Nimepata msiba.

  Habari zenu wapendwa, nasikitika kuwataarifu kuwa nimepata msiba wa mama yangu mkubwa. Amefariki jana jioni na tunatarajia kuzika leo saa kumi Muheza Tanga. Innalillah wainna illaih rajiuun
 2. YNNAH

  Happy birthday my dear JUDGEMENT

  My hubby napenda kuchukua fursa hii kukutakia heri ya siku yako ya kuzaliwa. Wapendwa wana Chithat tusherehekee kwa pamoja na mpendwa wetu Judgement. My love Judgement pokea na keki hii........... CC: Arushaone Madame B sosoliso Passion Lady Erickb52 Arabela KOKUTONA
 3. YNNAH

  Kanuni muhimu zaidi maishani

  1. Ukibadilisha mstari unapopanga foleni ule uliouacha unakwenda mbio zaidi. 2. Namba unayopiga kwa makosa daima haipo bize (busy) 3. Mikono yako inapokuwa michafu pua inaanza kuwasha ili uikune 4. Ukimdanganya bosi kuwa umechelewa kwa sababu gari lako limepata pancha kesho yake utapata...
 4. YNNAH

  Wakiwa Kanisani

  Wakiwa ndani ya kanisa mtoto alimuambia mamake,mama nataka kukojoa..mama akamjibu hio sio njia nzuri ya kusema.wakati mwingine ukiwa ndani ya kanisa na unaskia kukojoa sema unataka kuninong'onozea. Jpili ilofuata mtoto akiwa ndani ya kanisa akiwa na babake akajiskia kwenda kukojoa hivyo...
 5. YNNAH

  Mwanamke na Mwanamme

  Watu wawili, mwanamke na mwanamme walikwenda kwa daktari mtaalamu wa mambo ya uzazi. Daktari akawauliza, "Ninaweza kuwasaidia nini?" Mwanaume akamwambia, "Tafadhali daktari unaweza kututazama tukifanya mapenzi ili uweze kufahamu tatizo letu?" Daktari akashangaa. Hata hivyo akakubali...
 6. YNNAH

  Mambo 30 yanayokuonesha kuwa sasa umri umekutupa mkono....

  1. Huna muda wa kushinda na mpenzi wako kutwa nzima mkipiga stori za mapenzi 2. Ukihitaji kufanya mapenzi mahali unakokufikiria ni kitandani 3. Unaanza kujaza friji lako kwa vyakula zaidi kuliko pombe 4. Muziki unaoupenda unausikia ukiwa kwenye lifti ama kwenye gari lako ukienda na kutoka...
 7. YNNAH

  Funguka

  Kama kweli unampenda mpenzi wako na unajivunia kuwa nae, comment kwa kumtaja jina lake.
 8. YNNAH

  Ugua pole Judgement

  Habari wana Chit Chat, napenda kuwataarifu kwamba mwenzetu Judgement amepata ajali ya pikipiki siku ya ijumaa. Tumuombee apone haraka ili arejee kwenye mihangaiko yake ya kila siku.
 9. YNNAH

  Arusha mbarikiwe sana

  Napenda kuchukua nafasi hii kutoa shukrani zangu za dhati kwa wakazi wa Arusha. Kwa kweli mmenipokea vizuri sana sina cha kuwalipa ila mwenyezi mungu atawalipa mbadala. Erickb52 , Philipo , pakajimi daudi , fabinyo na wengineo ahsanteni sana.
 10. YNNAH

  arusha mpo?

  habari zenu wapendwa, kesho natarajia kuwa arusha mungu akipenda. Ningefurahi kuonana na members wa huko
 11. YNNAH

  Znz mpo?

  Habari zenu wapendwa, mungu akipenda leo nitakuwa huko.
 12. YNNAH

  Unamjua Nyerere?

  sikiliza mazungumzo ya baba na mtoto baba: mtoto mzuri unamjua Nyerere? mtoto: hapana baba baba: pumbavu.....kuwa makini na masomo yako. mtoto: baba na wewe unamjua Paul? baba: hapana mtoto: pumbavu.....kuwa makini na ndoa yako!!!!!
 13. YNNAH

  Hodi Iringa....

  Wakazi wa Iringa mpoo? Nategemea kuja huko mwishoni mwa wiki hii. Nipokeeni mgeni wenu
 14. YNNAH

  Wivuuu....

  Baba John aliona mkewe amepunguza mapenzi kwake,na hiyo yote ni baada ya mkewe kujifungua. Baba John akaamua kutafuta sumu ya kumuua mtoto.,akaamka mapema,akampaka mke wake sumu kwenye manyonyo ili mtoto akinyonya afe,akaondoka zake. Aliporudi baadae akakuta aliyekufa ni houseboy!!! Otea nini...
 15. YNNAH

  Apewa talaka kisa jina la kwenye kanga.

  Dada mmoja alikuwa kwenye mishemishe zake,mara akaona kanga inaning'inia dukani ikamvutia na kwenda kuinunua. Bila kuisoma jina akampelekea mama mkwe wake,kisha akaondoka zake. Huku nyuma mama mkwe akaifungua ile kanga na kukuta imeandikwa "GUBU LA MAMA MKWE LIMENICHOSHA". Akampigia simu mwanae...
 16. YNNAH

  Nawapenda sana.

  Wapendwa...yani nashindwa hata nielezeje. Ni furaha na faraja iliyoje mliyonipatia leo. Yani nimefurahi na kufarijika saaanaa tena saaanaa...... Mungu awabariki na kuwalipa mbadala.
 17. YNNAH

  Ahsante Mungu kwa kunifikisha siku ya leo.

  Habari zenu wana jf,sina budi kumshukuru mungu kwa kunifikisha siku ya leo...tarehe 7/2. Ni siku ambayo mama yangu mpendwa alinileta duniani,ahsante sana mama najua ni shida nyingi alivumilia mama yangu nikiwa tumboni kwake,mungu atamlipa kwa hilo. Napenda kujumuika nanyi katika siku hii ya...
 18. YNNAH

  Tafakari

  Kuna familia moja ilikuwa na mtoto tangu azaliwe hajawahi kuongea hadi anafikisha miaka 4. Siku moja akasema Bibi,kesho yake bibi yake akafariki. Ukapita muda kidogo akasema Babu,kesho yake babu akafariki. Akaaa tena,hata siku hiyo akatamka Baba,kesho yake dereva wa mama yake akafariki......
 19. YNNAH

  Jaribu kufikiria mazungumzo haya ya mke na mume

  Mke: hivi mume wangu mi nikifa utaoa tena? Mume: kwanini nisioe.? Nitaoa tu. Mke: huyo mwanamke ataishi humu ndani? Mume: ataishi humu na atakuwa anawatunza watoto wetu. Mke: atalala kwenye kitanda hiki? Mume: atalala hapa na mimi na tutakuwa tunaenjoy zaidi ya tunavyoenjoy sasa na wewe...
 20. YNNAH

  Ama kweli huwezi kumlipa mzazi...

  Kuna Toto lilikosa adabu,baada ya kupata utajiri lilimfuata baba yake na kumwambia,"Baba niambie vyote ulivyotumia kwa ajili yangu ili nikulipe na usinifuate tena." baba akajibu, "wala sihitaji vitu vyote nilivyotumia kwa ajili yako,nipe tu mkeo nimnyonye michuchu kama ulivyomnyonya mke wangu."...
Top Bottom