Search results

 1. K

  Vifo vingi vya Marais wa Kiafrika vinatia mashaka

  si yeye , atakuwa alifanyiwa mambo ya kiswahili, sio kitu cha kawaida rais kwenda vitani front
 2. K

  Ushuhuda binafsi: Awamu ya tano niliishi kwa hofu

  Mpira ukijaa Sana hupasuka
 3. K

  Ina maana Mbowe hana wahasibu na washauri wa kodi katika kampuni zake? Tusiichafue TRA kwa faida binafsi za kisiasa!

  Umeandika bila aibu, waandamizi wanasema kuna ukiukwaji wa kutumia manguvu bila akili kwenye Kodi ikapelekea watu kufungiwa na kufunga biashara, Sasa wewe ndio uliyetumika kuwadhuru watu?
 4. K

  Mtozi Alloyce Nyanda: Kuna watu wanamtumia Swai kumchafua Sabaya

  SABAYA UMEHARIBU SANA, HATA HIZI ACCOUNT UNAZOTUMIA KUJISAFISHA NI ZAKO SABAYA ZIPO HUMU KIMKAKATI, UKIZUNGUMZWA NA WATU KWA MEMA BASI MBELENI HUWA KWEMA.....ONA MAMA SAMIA-RAIS WA JMT ALIZUNGUMZWA VYEMA NA WALIMWENGU ONA LEO ALIPO, NA SIO HAPO TU ANAELEKEA AFRICA NA ULIMWENGUNI WEE MWENYEWE UTAONA
 5. K

  Tubadili majina ya Daraja la Mfugale na Kijazi

  Roho mbaya, acheni
 6. K

  Dkt. Kigwangalla: Mashine ya nyungu iliyo Muhimbili ivunjwe, viongozi wavae barakoa

  Kingwala ngwala.....kazi inaendelea. Nyosha kidole ...aaaadela
 7. K

  Ally Happi unakumbuka maneno yako haya?

  Madogo walikosa adabu na kuonyesha ushamba wa kudharau dharau kila mtu kisa ni mmoja waliyemwabudu.
 8. K

  Ole Sabaya: Rais Samia Suluhu ameleta tumaini jipya katika wakati bado taifa likiwa kwenye maombolezo ya Hayati Magufuli

  Hawa vijana wanaishi kijanja janja wanaishi kwa kujitia utahira wa kujikombakomba ili siku zao ziende, wako radhi waue watukane wadhalilishe ili wapate mkate kwa watawala, makonda alisujudu kwa samueli sita baadae kageuka akawa kwa jk, akageuka akawa kwa jpm na kuponda ya kikwete leo baba...
 9. K

  Utawala wa Hayati Dkt. Magufuli ulijaa kiburi, majigambo na uonevu, ufitinishi na visasi

  shudada shwee, abi shetani ....mwayetu kagenda kwa God
 10. K

  Je, Profesa Mark Mwandosya alipomtuhumu Rafiki yake J Kikwete alikuwa na majina ya Urais mfukoni alikuwa sahihi?

  Jk anajikosha kujirudisha kwenye reli , anaongea haya baada ya bingwa kuzimika,alikuwa wapi kujitutumua kuwa yeye ndie alimuweka bingwa no.1
 11. K

  DC Ole Sabaya: Jabali amelala Hayati Dkt. Magufuli

  Awaombe msamaha mkuu wa mkoa, na wote aliowadhihaki kwamba yeye anaripoti direct,kubwa jinga kabisa, aliamini binadamu akawa Kama umbwa Kichaa anayevamia vamia watu ovyo ovyo
 12. K

  Ni aibu kwa Serikali ya Tanzania na ni fedheha mbele ya Wageni kushindwa kuwatambua wapinzani kwenye msiba wa Dkt. Magufuli

  YAANI KATIKA MAMBO YA MAGUFULI MAZURI YOTE YALIHARIBIWA NA TABIA YA UBAGUZI Tu, alikuwa mbaguzi wa wazi wazi bila hofu ya Mungu, miradi na mengine ya maendeleo ninamkubali sana, Ila UBAGUZI NA VISASI MUNGU AMSAMEHE... ETI NIMEKUPA GARI MSHAHARA..ALAFU UKAMTANGAZE WA UPANDE ULE, ....NA KUPOTEA...
 13. K

  Baada ya Kifo cha Dkt. Magufuli, Jerry Muro ahofia kunyang'anywa cheo chake

  HAFAI, HANA HESHIMA NA MWENZAKE SABAYA, HAWAJUI URAIS NI TAASISI, NI SYSTEM, HOFU ZAO NA KUHUSU KIONGOZI ANAYEFUATA ZIWAONDOE KWENYE VITI, ALAFU ANATAJA NA MAKABILA, HAWA NDIO WALIOSABABISHA GOVT IKACHUKIWA CHUKIWA KWA MATENDO YA CHUKI ZA OVYO KWENYE JAMII
 14. K

  Je, Rais Magufuli alikuwa na Pacemaker au Defibrillator? Ilidukuliwa?

  WEE BWANA UNA FIX....UNATUNGATUNGA VITU....WEE NI AFANDE SELE NINI? ......ULITAKIWA KUONGELEA JUU YA MAMBO YA KUJENGA BINGWA WETU ALIYAFANYA....TUNAENDELEAJE KUTOKANA MAONO YAKE KWA UTEKELEZAJI...TUPE NAMNA.....SIYO UNATUJAZA HASIRA ZA KIGOMBANISHI....HATUITAGI FIKRA ZA KIVISA VISA....TWENDE...
 15. K

  RC Chalamila: Nimeupokea msiba wa Rais Magufuli kwa mikono miwili, kazi ya Mungu haina makosa

  Huyu jamaa ana asili ya upunguani punguani.....hanaga aibu,kubwa jinga fulani
 16. K

  Baada ya Kifo cha Rais Magufuli: Nani anafaa kuwa Makamu wa Rais Tanzania?

  Apewe daudi albert malyangili bashite
Top Bottom