Search results

  1. kajirita

    Ving'amuzi vina kamera za kumchunguza mmiliki?

    Habari wana JF. Jana nilitembelea nyumbani kwa rafiki yangu wa siku nyingi tuliyesoma wote shule ya sekondari, ambae tulikutana mitaani baada ya kupotezana miaka mingi iliyopita. Yeye ni mtaalamu wa mambo ya IT (Mifumo ya mawasiliano). Nilifika kwake mida ya saa kumi na moja za jioni...
Top Bottom