Search results

 1. The Infinity

  Tukio la kihistoria: Wanasayansi Marekani wafanikiwa kurusha helikopta ndogo kwenye sayari ya MARS

  The American space agency has successfully flown a small helicopter on Mars. The drone, called Ingenuity, was airborne for less than a minute, but Nasa is celebrating what represents the first powered, controlled flight by an aircraft on another world. Confirmation came via a satellite at Mars...
 2. The Infinity

  Ahadi ya kupungua kwa Gharama za Vifurushi vya Mitandao imeishia wapi?

  Habarini wana jamvi, Hivi jamani hii kitu imeishia wapi maana tuliambiwa tusubiri sijui tarehe 28 Feb mambo yatakuwa fresh, Ila hadi now naona holaa Hivi wanasiasa wanatuonaje sisi 🤔🤔 Au kuna ambaye kwa upande wake kashaanza kupata unafuu baada ya hio tar 28? Daah 😌😌
 3. The Infinity

  MKWEPU JR: Mgonga "Like" bora wa muda wote JamiiForums

  Habari zenu na poleni kutokana na jitihada za kujikinga na ugonjwa wa kukosa pumzi Huyu jamaa mkwepu nimetokea kumpenda bure tu jamani yaani kila post au koment nayoiona mjamaa kashaitembelea tayari yaani ni spidi ya the flash 😁( prove me wrong) Hebu bwana Mkwepu jitokeze utupe siri ya...
 4. The Infinity

  Je, ni kweli hakuna Corona Tanzania?

  Kwa miezi kadhaa sasa serikali ya Tanzania imekuwa ikisisitiza kuwa hakuna ugonjwa wa Covid-19 - na hivyo hakuna mipango yoyote ya kuwachanja wananchi wake. BBC imezungumza na familia moja ambayo inaomboleza kifo cha mume na baba ambaye anadhaniwa kuwa alipata maambukizi ya corona. Hofu iliyopo...
 5. The Infinity

  MICHEL LOTITO: Mfahamu jamaa aliyepata kula ndege ya abiria na kuimaliza yote

  MICHAEL LOTITO : MTU PEKEE DUNIANI ALIYEKULA NDEGE YA ABIRIA (aeroplane) Sijajua ni jina gani unaweza ukampa mtu huyu baada ya kusoma kisa chake, ila huko kwao Ufaransa wanamuita bwana mla vyote au mla kila kitu (Mr Eat All) Najua sio mara ya kwanza kusikia mtu anayekula vitu vya ajabu hata...
 6. The Infinity

  Mchumba wangu ameniacha. Nipeni ushauri

  Jamani habarini Kama uzi unavyosomeka, Mimi ni (Me) mchumba wangu ameniacha bila sababu ya kisa eti simtafuti sana, na sababu nyinginezo. Pia, tupo dini tofauti. Jamani na alivyo mzuri vile roho inaniuma vibaya sana ingawaje sijawahi ku😋 Ila nachat naye mara chache tu tena kama rafiki wa...
 7. The Infinity

  Lisa Montgomery: Mwanamke pekee aliyekabiliwa na adhabu ya kifo amenyongwa Marekani

  Lisa Montgomery - mfungwa pekee wa kike aliyekuwa anakabiliwa na hukumu ya kifo nchini Marekani- amenyongwa baada ya kutekeleza mauaji. Alidungwa sindano ya sumu katika gereza la Terre Haute, Indiana, baada ya Mahakama ya Juu Zaidi nchini Marekani kuamua kuondoa agizo la kuzuia kunyongwa katika...
 8. The Infinity

  Uchaguzi wa Uganda 2021: Jinsi Museveni alivyoitawala Uganda miaka 35

  Waganda wenye umri chini ya miaka 35 -wanamjua rais mmoja peke yake na zaidi ya robo tatu ya wakazi wa nchi hiyo ni vijana. Yoweri Museveni, aliingia madarakani baada ya kutoka katika mapigano ya msituni mwaka 1986, na anatambulika kuwa kiongozi amedumu kwa muda mrefu zaidi barani Afrika. Rais...
 9. The Infinity

  Sankoré University: Among the oldest in Mali Empire and West Africa

  Modibo Mohammed Al-Kaburi was a distinguished scholar and professor at the Sankoré University, Mali Empire, in the 14th Century. The Sankoré University was capable of housing 25,000 students and had one of the largest libraries in the world with roughly 1,000,000 manuscripts Modibo Mohammed...
 10. The Infinity

  Sayansi ya uumbaji ndani ya Qur'an/Koran: Sehemu ya 01

  Je wajua kuwa Sikio ndio kiungo cha kwanza kuumbwa kwa mwanadamu? وَهُوَ الَّذِي أَنشَأَ لَكُمُ السَّمْعَ وَالْأَبْصَارَ وَالْأَفْئِدَةَ ۚ قَلِيلًا مَّا تَشْكُرُونَ [ AL - MUUMINUN - 78 ] Na Yeye ndiye aliye kuumbieni kusikia na kuona na nyoyo za kufahamu. Ni kuchache mno kushukuru kwenu...
 11. The Infinity

  Barabara ya kutoka Mabibo NIT hadi sokoni kuingia Morogoro Road ni Kero Mno

  Watumiaji wa hio barabara wataniunga mkono ni kipande kidogo tu(Chini ya 500M) nafikiri, Lakini ni kero mno Barabara ni:- 1) Nyembamba(njia 2) 2)Imepakana na soko la mabibo, hio vurugu lake nje usiombe watembea kwa miguu, wafanyabiashara n.k 3)Mbovu, yani ina mashimo utafikiri mabwawa...
 12. The Infinity

  Fahamu kwanini mwaka haumaliziki saa sita usiku wa Desemba 31?

  Vifijo, nderemo na sherehe zisizo na kifani ni baadhi ya utamaduni kwa mamilioni ya watu kote duniani ambao hukusanyika kusherehekea saa sita usiku wa Desemba 31 ambapo mara nyingi watu huwa wamekusanyika na hata kuhesabu kadiri muda unavyokaribia kuingia mwaka mpya. Kile watu wanachoamini...
 13. The Infinity

  Sanaa kubwa ya uumbaji wa Mungu kwa binadamu

  zijue faida mbali mbali za vitu vilivyo kwenye mwili wako ulizokuwa huzijui Ulishawahi kukaa ukaifikiria dunia? Ukafikiria Uwepo wa Mungu na ukubwa wake... Au ulisha wahi kufikiria Binadamu.... Achana na mwanzo wa kuanzwa kwake kuishi tumboni na Hadi anapotoka Ulishawahi kufikiria umbo la...
 14. The Infinity

  Unakijua kisa cha Mapenzi Bikra? Leyla na Majnun

  Leyla na majnun ni kisa maarufu duniani kilichotokea kweli katika eneo la uarabuni... Na kwa kisa hiki kimepelekea kutungiwa mashairi mbali mbali duniani.... Wengine hukiita kisa hiki kama "Romeo na Juliette wa mashariki".....ni kisa chenye mafunzo kwa makubwa Qays ibn al -Mullawah alipendana...
 15. The Infinity

  Uchaguzi Uganda 2021: Wanahabari wasio na vyeti vya kuangazia Uchaguzi wazuiwa Uganda

  Wanahabari wasiokuwa na idhini ya kuangazia uchaguzi mkuu wa Uganda wamezuiliwa kufanya hivyo. Katika taarifa iliyotolewa Jumatano usiku na Inspekta Jenerali wa polisi nchini humo, Meja Jenerali Paul Lokech amesema agizo hilo litaanza kutekelezwa kuanzia Desemba 31. Lokech amesema polisi wote...
 16. The Infinity

  Nyoka mwenye macho matatu agunduliwa nchini Australia

  Maafisa wa wanyama pori wamesambaza picha za nyoka mwenye macho matatu aliyepatikana katikati ya barabara kaskazini mwa Auustralia. Shirika la huduma kwa wanyama pori na bustani za wanyama Northern Territory Parks and Wildlife Service wameeleza kwamba nyoka huyo ambaye picha zake zilisambaa...
 17. The Infinity

  Hii picha inafikirisha sana

  Hatuna Budi kujikita kwenye Ibada ova
 18. The Infinity

  Vodacom Tanzania mlichonifanyia Mbeya(Chimala) Mungu ndio atanilipia

  Jamani Habari zenu wote Yaani hii mitandao naona imejikita kwenye wizi sasa Mwaka huu miezi michache iliopita tulikuwa mbeya(field) tunapiga 'chepe' Nimezoea kujiunga kifurushi cha Dar super uni huku dar es salaam ila kule kuna kifurushi cha kusini Offer balaa sasa najiunga vizuri lakini...
 19. The Infinity

  INAUZWA Sabuni za (Kigoma/magadi/gwanji/mawingu) kwa bei nafuu

  Habarini wakuu, Poleni na majukumu yenu ya kila siku Kama kichwa kinavojieleza tunauza sabuni za magadi za Kigoma kwa bei Ndogo kabisa ya Tsh 1,000 kwa mche. Ofisi zetu zipo Karume, Kariakoo, na Manzese. Vilevile ukihitaji kwa maeneo ya Dar utafanyiwa delivery popote. Unaweza kuwasiliana...
 20. The Infinity

  Njia pekee ya kuinyofoa CCM madarakani

  Awali ya yote; Kidumu Chama cha Mapinduzi, Kidumu chama Tawala. Niwape njia pekee ambayo wapinzani njaa wa Tanzania wanaweza kuiondoa CCM madarakani bila hata kubadili katiba wala kuwa na Tume Huru ya uchaguzi. Nimefikiria hii njia ambayo ni "Long term process" Sidhani kama wapinzani wetu...
Top Bottom