yan muda unavyozidi kwenda nazid kuwapuuza wakenya (poor rating).
hv kwel nyie mnatumia Amerika km indicator ya kufanikiwa vita vya Corona...!
be serious, take a data of how many Kenyan wanaweza enda America na kutumia fulsa hyo ya kutopimwa Corona wakat wa visa.
Achen kutegemea mabepari kwa...
Mi namuelewa Mhe. Kenyatta, kapanic flan hivi.
kachukua hatua alizoshauriwa na wataalam wake km kufunga mipaka, lockdown, kufunga shule na kuchukua mkopo kwa mabeparu ili tu atokomeze corona, ila mwisho hajapata matokeo chanya.
Ss akisikia wapiga kura wanataka achukue hatua km za Tz lazma awe...
Samahan,
Unataka kununua ndege au umekosea,
Hiz specification hazitakusaidia, we lipa kanauli kako, beba kabegi kako ka adidas panda uende, haya mengne ni mbwembwe tu[emoji125][emoji125][emoji125]
Ha ha ha,
Kwa hyo umefikiria mpk mwisho, ndo ukaamua kuja na hii[emoji1][emoji1][emoji1],
Hivi umeenza linj kuwa mjinga hv.
Njoo na idea positive, kulalamika tuuu kila siku.
Habari wanajamvi,
Leo baada ya kula chakula cha mchana, nlichukua toothstick na kukikata kipande kikubwa kias na kusafisha meno kwa kutoa mabaki ya chakula yaliyojishikiza kati ya jino na jino,
Nkiwa na wadau napiga story, nliomba maji ya kunywa huku stoothstick ikiwa mdomoni,
Sielewi ikawaje...
ni uzi mbovu kwa siku ya leo,
came with facts plz.
how sure wali relax ?, unajua walifikia hatua gan ktk kufuatilia issue ya Mo..?
Jaman watz mnalalamika sanaa, afu mnajifanya mnajua kiiila kitu, kuanzia upelelezi, kuendesha ndege, mpk kwenda mwezini.
emh acheni vyombo vifanye kazi yake nyie...
Ila pamoja na ulegelege wetu ndo tunawafundisha ujanja na ukakamavu, mkija na mamisuli yenu, tunawaingiza mjin, mnalia wiki nzima afu tunawakopesha nauli ya kurud kijijin kwen.
Kume kuwa na katabia kuwa wanaume wa Dar ni wazembe, watoto wa mama, mara wengi kama hatujui majukumu ya kiume. Ila nataka kuwadhibitishia wanaume wa Dar ndo tunaongoza kwa kuchakarika na Maisha, kukubalika na warembo tokana na ustarabu wetu na uungwana.
Hivi ni mwanaume gani anavaa kwa...