Kwa wiki mbili sasa mitandaoni inazunguka barua inayoonyesha ni ya askofu Desiderius Rwoma wa jimbo katoliki la Bukoba. Barua hiyo inahusu padre aliyeandika barua ya kuacha upadre akaenda kusikojulikana.
Barua hiyo inaonyesha kwamba padre huyo ametangaza nia ya kugombea ubunge jimbo la Nkenge...
Mapingamizi ya Wasimamizi wa Uchaguzi wa Kata yameitikisa Wilaya ya Karagwe, mkoani Kagera, inayoongozwa na Mkuu wa Wilaya aitwaye Godfrey Mheruka.
Kati ya wagombea 23, kuna wagombea udiwani 12 kutoka Chadema ambao wameenguliwa na Wasimamizi wa Uchaguzi wa Kata.
Takwimu zinaonyesha kwamba...
Wadau,
Nimepitia uzi wenye jina "Utumwa wa Tume ya Uchaguzi Tanzania" na kupenda mjadala ule ambao mpaka sasa umeshirikisha watu 9000. Pia nimepitia mabandiko mengine yenye kujadili mada hii tangu mwaka 2015. Hivyo nimeshawishika kuandika rasimu ya mabadiliko ya katiba yanayojadiliwa. Nayaweka...
Barua ya Wazi kwa Askofu Mkuu Yuda Thaddeus Ruwaichi
Askofu Mkuu Yuda Thaddeus Ruwaichi-DSM
Mpendwa Askofu Mkuu Yuda Thaddeus Ruwaichi! Kristu!
Sikupenda kabisa kuwasiliana na wewe kwa mfumo huu, lakini kwa vile sina jinsi nimelazimika kufanya hivyo. Nimejitahidi...
Wadau,
Kuna kisa naomba niwashirikishe kwa ajili ya tafakari na ushauri kwa vigogo wa vyombo vya ulinzi na usalama.
Ni Alhamisi 25 Aprili 2019, saa nne asubuhi, nashuka kutoka katika dala dala kwenye kituo cha mabasi cha Posta Mpya.
Ni kama meta 50 kutoka kituo kidogo cha Polisi kilichoko...
Hellow learned fellows,
I am a respondent in an Appeal to The High Court (Labour Division) representing myself, where the Appellant is represented by a professional Advocated.
What bothers me is not the fact that I don't have legal representation as I am proportionately competent to argue my...
Hivi karibuni, Shirika la Takwimu la Taifa (NBS) lilitoa ripoti inayoonyesha idadi ya watu katikaTanzania Bara. Hapa chini naweka takwimu za wapiga kura wa Majimbo ya Dar, na majimbo machache ya kikoani. Kwa data kamili tumia anwani ya mtandaoni ambayo ni hii...
Wanafunzi wote wanaomaliza Darasa la Saba mwaka 2017 wanakaribishwa kwenye programu ya Pre-Form One kwa miezi mitatu, itakayofanyika shuleni Bahari Beach High School kuanzia 11 Septemba 2017 mpaka 01 Desemba 2017. Kwa maelezo zaidi soma Kipeperushi kifuatacho:
=====================KARIBUNI...
VACANCIES AT HALI HALISI PUBLISHERS LTD
Hali Halisi Publishers Limited (HHPL) is a company limited by shares, registered in Tanzania on 3rd January 2005. The objectives for the establishment of the company were: publishing newspapers, journals, research reports, periodicals, brochures and...
Askofu Kilaini ametakiwa kumfunda JPM kuhusu matumizi ya kanuni ya siasa ya ujamaa na kujitegemea. Kwa maelezo zaidi soma hapa chini:
==============================================
Askofu Kilaini Atakiwa Kumfunda JPM Kuhusu Kanuni ya Sera Auni, kwa Maana ya,“The Principle Of Subsidiarity”...
Chadema kirudi kilikotoka
Na Kondo Tutindaga
MwanaHALISI
Toleo na. 371, uk. 3.
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimehitimisha ziara zake katika kanda tano, kati ya nane inaoziunda.
Kanda ambazo chama kimemaliza ziara zake ni pamoja na Kanda ya Kati(Dodoma, Morogoro na Singida)...
Baadhi ya kesi zinazomkabili Mkurugenzi Mtendaji wa Jamiiforums, Maxence Mello, zinatokana na msimamo wake wa kutetea sera ya kuhariri taarifa zinazoingizwa katika mtandao huu, yaani "Jamii Media's Editorial Policy." Kwa mujibu wa maktaba yangu, toleo la mwaka 2004 la sera hii linasomeka hivi...
Kama walivyofanya wanazuoni kadhaa miezi michache iliyopita, wakiwemo Mwalimu Sabatho Nyamsenda na Profesa Shivji, sasa Padre Karugendo pia amemtaka JPM kubainisha itikadi anayoitumia katika kubuni na kutekeleza sera za kitaifa. Makala yake husika imenakiliwa hapa chini. Endelea kujisomea...
Tuna kazi kubwa kujenga maadili ya Taifa
Padre Privatus Karugendo
Mwananchi
Toleo la 6 Agosti 2016
Tumempongeza Rais, wetu kwa kutumbua majipu, na tunaomba aendelee kufanya hivyo.
Sambamba na hilo la kutumbua majipu, tunapenda kwa nia njema kujikumbusha sisi wenyewe, kumbukumbusha Rais wetu na...
Utumbuaji majipu uimarishe uhuru wetu
By Privatus Karugendo,
Mwananchi,
Toleo la Jumamosi 30 Julai, 2016
Ni vigumu kuiongelea Tanzania huru, bila kumtaja Mwalimu Julius Nyerere.Ni ukweli kwamba watu wengi walishiriki kuleta uhuru wa Tanzania, lakini aliyekuwa na maono ya mbali ni...
Utumbuaji sawa, Bunge bubu hapana
Na Padre Privatus Karugendo,
Mwananchi (imeondolewa katika tovuti ya gazeti),
Toleo la 23 Julai 2016(uk.29)
Wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu wa Oktoba 2015, tulimuunga mkono mgombea wa urais wa CCM, John Magufuli, tulimpigania kufa na kupona.
Tulifanya...
Kama Rais john Magufuli angekubali kunisikiliza…
Na Padre Privatus Karugendo,
Mwananchi
Toleo la 20 Julai 2016.
Chama cha Mapinduzi (CCM), kitakuwa na mkutano mkuu maalumu hivi karibu na kazi kubwa ni mwenyekiti wa sasa Rais mstaafu Jakaya Kikwete kuachia kiti hicho na bila shaka kitakaliwa na...