Habari wana jamvi,niende moja kwa moja kwenye mada bila kuwa chosha.
kwa kuwa uandishi wangu sio mzuri ila najua mtanielewa.
kuna jirani yangu mmoja anaitwa mama Juma ambae yeye anakaka yake ambae yeye anafanya biashara kariakoo,sasa kaka akamwoba msaada kwa dada yake ambae ni mama Juma...
Habari wakuu,
Niende kwenye kisa moja kwa moja.
Hapa jirani yangu kuna kijana alikuwa ana jishughulisha na kazi ya wizi,sasa si mnajua siku za mwizi ni 40, sasa jana kaingia sehemu mbaya wakambananisha, akala kichapo heavy hadi kupelekea Kifo
Sasa tukiwa msibani mara kibaka kafanya jaribio la...
Habari wakuu.
Hivi nyie ma HR mnapenda sana rushwa kuliko kuangalia taaluma ya mtu, yaani mtu ana vigezo vyote lakini mnakosesha kazi kweli?
Juzi kati nilipata jamaa akanipa mchongo wa kazi, na kuniunganisha na HR lakini HR anakazania hela ya maji, namuuliza shilingi ngapi anataka laki mbili...
Jamani niende moja kwa moja kwenye maada.
Hivi chanel ya kitafa kama Tbc wanashindwa wapi kurusha mechi za kimataifa kama Taifa star wanacheza?
Mbona nchi jirani wamefanikiwa katika hilo?
Natumahi humu kuna maafsa wa Tbc ebu mtujuze.
Mbona kampeni mnalusha live na shughuli za kiserikali?