Leo nilitamani sana nile nyama nyama flani hivi yakuchoma[emoji39][emoji39][emoji39],bajet ikanifelisha ndo nawaza hapa mwisho wa mwezi ndo nitatimiza azma yangu
Mkuu sikubaliani na wewe kwa sababu,umesema mtoto anaweza lia akiwa tumboni mwa ***** hiyo ni big NO aseee ataliaje akati akiwa tumboni mwa yake anakuwa amezungukwa na maji????
Duuuh mkuuu huyoo mtoto hakikuwa atakuwa wa namna gani, , viboko ni lazima hakikosea pia kwenda kanisani ni lazima sio hiyari....mwanangu atafata sheria zangu mpaka atakapo kuwa!
Yaani aliavoanza kulalamika nikashangaaa huyu si alihamua kunipotezea monyewe huyuu....sa hivi anatuma tu msg zake huko dm sijawai mjibu hata mara moja
Nimewai kuachwa kimya kimya, nikahamua ku move on, siku nakutana nae hakuamini alitegemea atanikuta nimepauka....nikaja kuonana nae tena nikiwa mjamzito hapo ndo alichoka kabisa alinitafuta kwenye mtandao wakijamiii nakuanza kulalamika bila sababu nikampotezea sikumjibu.
Hamna sio tabia mbaya mkuu ilikuwa mapenzi yakishule shule tuu ila tulikuwa tunakiss alinifundisha yeye how to kiss asa hile wanayoita french kiss[emoji3][emoji3][emoji3]
Sawaaa nimeelewa point yako bhasi hapo bila bila mkuu...manake hata sisi muda mwingine tunakubali tu, sababu kiafrica mtoto wakike kutongoza haileti picha nzuri!
Aaah wapi kwa nyie wanaume ndo rahisi zaidi kumpata humpendae, kuliko sisi wanawake, manake sisi tunachaguliwa na nyie mnachagua....ukipojihamini ni uzembe wako tuu
Nikaaanza kumkwepa kila ninapomuona naona aibu namkimbia, , bwana bwana weee siku moja huyuu hapa macho kwa macho, anataka jibu lake aseee sio kwa jasho lilee .....nilikuja kumkubalia badaee sanaa