Search results

 1. Calfornia

  Sikuwahi amini, kumbe haya mambo ni halisi?

  Kuna jambo binafsi nimekuwa siliamini sana kama lipo, labda sababu kuona ni kuamini. Kuna 'sista' wangu mmoja leo ame-share nami kitu kilichonishangaza kidogo, wenye ndoa wenzangu labda mnaweza fumbua macho pia. Huyu 'sista' alimuattend dada mmoja, baadae akaombwa namba yake ya simu kwa kigezo...
 2. Calfornia

  Tupige story

  Hii ni story tu kama story zingine, ila unaweza isoma. Tunapata uzoefu wa maisha kupitia watu na story zao. Yote ya hapa ni story tu. Ila si mbaya ukasoma. Ina sehemu tatu, sehemu ya pili ndio mzizi wa story hii. Ila tuanzie kwenye kutano. KUTANO Miaka michache kabla ya utawala wa jk kuisha...
 3. Calfornia

  Msaada: Flat Screen ya LG inasumbua kuwaka

  Habari ya jioni wanaJF. Shida ya TV hii, nikiconnect kwenye umeme, inaonyesha kuwa iko power on, kisha inatokea Logo LG (kuonesha kama inataka kuwaka) halafu inakata. Inabidi niiache kwa muda wa kama masaa matatu, kisha ninanurudia tena zoezi hilo la kuizima na kuiwasha (naweza tumia nusu...
Top Bottom