Search results

 1. bobby_Barbosa_9

  Msaada: Laptop yangu inasumbua

  Cooling fan haifanyi kazi kwa usahii, inatoa sauti ambayo imekuwa kero, tatizo hili limeanza juzi. Nimejaribu kufanya mawasiliano na fundi ninayemuamini ila yuko busy. So nimeona nije kwenu kwanza na kama kuna fundi yuko Dodoma mjini basi tutafutane leo.
 2. bobby_Barbosa_9

  NAUZA: turubai zenye ubora kwa bei ya jumla.

  Habarini wakuu.. Nauza turubai aina tofauti tofauti, ambazo zinaweza kutumika kwa shughuli mbali mbali kama vile kuanikia mazao (mpunga n.k) Turubai nyeupe (size 4/5) 50,000/= Katon Turubai za blue (size 4/5). sh 55,000/= @ katon Turubai za blue kubwa (size 4/6 kg 18) 100,000/= Katon...
 3. bobby_Barbosa_9

  Unatumia njia zipi kupunguza ama kuondoa mawazo na hali ya kuwa bored!

  Kama kuna chochote kile kimewahi ku'kukuta kati ya haya mambo, 1.kufukuzwa kazini/kukosa kazi. 2.kuumizwa na mapenzi kama vile kuachwa. 3.kufiwa na mtu wa karibu. 4.kuumia ama kuumwa. 5.kupoteza mali yako km vile simu. N.k Naomba tu'share njia ambazo unazitumia/ulizitumia ili kuondoa mawazo...
Top Bottom