Search results

 1. Mr possibility

  Wakuu mniombee

  Naam salamu wakuu wa jf Lengo hasa la uzi naomba mniombee Nasikitika kwamba kwa muda wa miezi minne nitalazimika kuzima simu na hivyo kuikosa JF kwani narudi shule.. Mimi ni form six na mwezi wa tano tunakabiliwa na mtihani wa taifa hivyo ni miezi minne tu imebaki Mniombee sana ili niweze...
 2. Mr possibility

  Telegram nini kinaendelea?

  Ni hivi nimedownload app ya telegram sasa huko nimekutana na links wanazoshea ni za magroup na sikujua ni ya nini Japo mengine wanasema ni ya movies nk ila baada ya kujiunga nilichokutana nacho ni balaa Hapa nawaza sijui app yenyewe niifute duh ni zaidi ya hatari
 3. Mr possibility

  Kilichonikuta ndani ya Daladala

  Nakumbuka tulikuwa tumetoka Kibaha tukashuka pale mbezi stend kuu ilikuwa ni mida kigiza ndio kinachukua nafasi yake kuelekea kukamilisha siku Sasa bhana tumesubiri zile coaster za kuja huku mjini tukakosa na zilikua hazipaki pale stend maana zilikuwa zimeshajaa kabisa hadi kwenye seat ya...
 4. Mr possibility

  Ushauri tafadhali

  Moja kwa moja kwenye mada Wakuu mimi kwa sasa niko singular so huwa nawaza kutafuta mamiloo wa kunipa kampani ila naghairi kwa kuanza kuwaza kuwa "acha nitafute kwanza hela" Mawazo hayo ni kwa kuhisi kuwa ikiwa sitakuwa na hela ya kutosha mahusiano yanaweza kuleta shida na vitu namna hiyo Nb...
 5. Mr possibility

  Hii mistari ni Moto🎤🎤

  Aliyekupa wewe hajanisahau Nina imani hatakama mda bado Kukata tamaa kwangu nishasema mwiko Bado nipo,jana na leo mmmhh🎤🎵🎵 Tunapambana japo nasi tuwe mbali🎼 Na matatizo tumeyageuza morali🎶🎶 Iwe kwa hali au hatari Sawaaaa🎤 Vipi niendelee??
 6. Mr possibility

  For you💝💝

  Mmmh hellow Mmmh hellow X2 Ningependa nikuulize swali Japo sitaki kukukwaza Ningependa kujua uhali Ningependa kujua japokuwa uko mbali Ni wazi unafahamu Kuwa tumetoka wote mbali.... Kwanini lakini Siku hizi umekuwa hujali... Uh nimepigwa na butwaa Kwa shida zile zote na hali Tulivumilia...
 7. Mr possibility

  Suala la usafi katika majiji makubwa limekosa ufumbuzi?

  Habari wanaJF, Katika hali ua kaqaida ambayo imechukuliwa kama mazoea nyuzi hasa zihusuzo siasa zimekuwa zikipewa kipaumbele katika suala zima la majadiliano humu jf. Na ni katika hali kama hii masuala nyeti kabisa yanayoshikilia nguzo muhimu kwa upande wa afya ya jamii naam afya imekuwa nadra...
 8. Mr possibility

  Naomba msaada wa kuunganishwa na wadau mbalimbali wa masuala ya muziki

  Acha niende moja kwa moja kwenye point Wakuu nahitaji msaada wa connection kwa wadau mbalimbali wanaojishughulisha na suala la muziki namaanisha producers nk Shukrani 🙏
 9. Mr possibility

  Penye nia pana njia

  Salam wadau wa JF Lengo kuu la thread ni kuomba ushauri Pamoja na msaada wa kimawazo ikiwezekana.. Ni kuwa mimi niko kwenye harakati za kufanya Muziki(baadhi ya wadau ambao wamepata kunisikiliza wananipa moyo sana kuwa muziki nauweza ukianzia kwenye uandishi wa nyimbo..nk) Tatizo ni kuwa...
 10. Mr possibility

  Filamu ya Cannibal Holocaust

  Wadau tuliojaribu kufuatilia japo kwa juujuu tu je Nini hitimishi juu ya ukweli wa hii filamu ya miaka ya 1980s ya kuitwa Cannibal Holocaust mojawapo ya filamu ya aina yake katika industry ya filamu duniani!? Binafsi najaribu kusoma maelezo yake Ila inavoonekana Kuna mkanganyiko na wahusika...
 11. Mr possibility

  Kuelekea Uchaguzi Mkuu

  Kama hujaelewa hilo sio kosa, kosa ni kwa atakayeelewa!
 12. Mr possibility

  Mawazo yako ndio wewe mwenyewe

  Pasipo msaada wa maelezo ya hapo chini ulikua umeona kitu gani?
 13. Mr possibility

  Kinachoendelea nchini Burundi (mazishi ya hayati Nkurunziza)

  Pierre Nkurunziza aliyekuwa rais wa Burundi amezikwa Gitega Denise NKurunziza yavuze ko umuhisi Nkurunziza yarangije neza kandi yapfuye mu mahoroCHANZO CHA PICHA, AFP Maelezo ya picha, Denise Nkurunziza amuomboleza mumewe Pierre Nkurunziza Mke wa rais wa Burundi, Denise Nkurunziza amesema mume...
 14. Mr possibility

  Refresh relax

  Salamu wakuu Kama una picha yoyote mpya ya kuchekesha sio mbaya Kama ukiitupia ili wote turefresh maana life kenyewe ndio Kama mnavyojua.....
 15. Mr possibility

  Warembo wa JF

  Mimi:mambo mrembo Mrembo;poa mimi;Nimeona kuna sehemu umechangia binafsi nimetokea kukuelewa,upo vizuri Mrembo;mmh ahsante Mimi;yap, unaishi pande za wapi ? mrembo;mologolo Hadi sasa nimegoogle lakini wapi...😟
 16. Mr possibility

  Duuhh 😥😥😥😥😥

  Aise
 17. Mr possibility

  Sina usemi mimi

  Angelia make mwema huyu kabisa lakini ndio hivyo Tena😥😥😥😥😥
 18. Mr possibility

  ✍️✍️✍️👊👊

  Salamu wadau mnikaribishe Mimi mgeni??? Mr possibility
 19. Mr possibility

  Msaada wakuu nimesahau pattern ya App

  Kuna app moja niliiwekea lock kwa kutumia pattern Sasa pattern yenyewe nimeisahau hivyo app haifunguki hata nikitumia pattern ya kufungulia simu lakini wapi! Msaada wakuu nifanyeje
Top Bottom