Search results

 1. Saguda47

  Maisha yamenishinda, vita imenishinda

  Mhh that's a foolish statement! Ugumu wa maisha hauwezi kutatuliwa eti mama yupo madarakani. Mshauri kimaisha achana na siasa! Sent using Jamii Forums mobile app
 2. Saguda47

  Kila nikirejea kuangalia Mechi za AS Vita Club dhidi ya Al Ahly kule Misri na Kwao Congo DR napatwa na uwoga kwa Mkapa Jumamosi

  Utopolo wanateseka Sana[emoji23][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
 3. Saguda47

  Yanga mna la kujifunza kuhusu mechi za nyumbani

  Ndege siyo tatizo ila pesa huwa zinaisha pia, Unaweza ukawa na jumba zuri na mpaka gari ila mipango ikienda hovyo utapaki gari lako halina mafuta na hata ya kula nyumbani inaweza kuchenga. Hata hivyo kwa Sasa As Vita hawaifikii Simba kwenye ulipaji mishahara na ubora. My take: kumiliki asset...
 4. Saguda47

  Chama cha CNN-FDD cha Burundi cha mpongeza Dr. Mpango kuteuliwa kuwa Makamu wa Rais

  Una uhakika Huyo JIWE ndiyo alimteua mgombea mwanza? Msimtwishe maoni yenu kuwa vitendo vya hayati Magufuli. Sent using Jamii Forums mobile app
 5. Saguda47

  Nape Nnauye: Rais Samia Suluhu aendelee mpaka 2030

  Foolish arguments, hatutaki Rais wa Zaidi ya miaka kumi ya kugombea kikatiba! Sent using Jamii Forums mobile app
 6. Saguda47

  Ni pombe gani hutakuja kuisahau maishani mwako?

  Noma Sana aisee! Sent using Jamii Forums mobile app
 7. Saguda47

  Simba SC: Kwanini tusibebe CAF Champions League?

  Kwani hata tukifungwa na Al Ahly mechi ijayo tuna hasara gani? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Unaelewa lakini kinachoendelea CAF CL? Utopolo mnamatatizo Sana! Sent using Jamii Forums mobile app
 8. Saguda47

  Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

  I award you 5% [emoji23][emoji23][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
 9. Saguda47

  FULL TIME: Simba Sc 4-1 AS Vita | CAFCL | Mkapa Stadium

  Acha uongo, kwenye mpira Hilo linawezekana mbona! Sent using Jamii Forums mobile app
 10. Saguda47

  Simba tuliwaambia hamna hatimiliki ya hiyo timu tena

  Akilini mwako ndilo ujualo[emoji122][emoji122][emoji122] Sent using Jamii Forums mobile app
 11. Saguda47

  FULL TIME: Simba Sc 4-1 AS Vita | CAFCL | Mkapa Stadium

  Wewe! Levo zenu mlandege ya visiwani Zanzibar [emoji23][emoji23][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
 12. Saguda47

  Kocha wa AS Vita: Tumefungwa na timu bora Afrika kwa sasa

  Utopolo nakuona unachambua [emoji23][emoji23][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
 13. Saguda47

  Simba tuliwaambia hamna hatimiliki ya hiyo timu tena

  Ni Bora aimiliki Mo anayetoa pesa, kulipa mishahara ya wachezaji na kuifanya kuwa klabu Bora kuliko kutumiwa na waganga njaa wa kibongo wasio na faida yoyote! Sent using Jamii Forums mobile app
 14. Saguda47

  Natafuta kazi yoyote ya kunipatia kipato, naishi Dar

  Mtazamo wangu tu, ila ukienda kwenye interview ukakiri kuwa uliwahi kwenda University halafu ukadisco Basi utakuwa huna sifa ya kuajiriwa kwa sababu inaonesha hauko makini na mambo muhimu. Sent using Jamii Forums mobile app
 15. Saguda47

  Natafuta kazi yoyote ya kunipatia kipato, naishi Dar

  Kudisco Ni moja ya dalili kuwa hauko committed na kazi unazofanya. But Mungu akutangulie bwana mdogo! Sent using Jamii Forums mobile app
 16. Saguda47

  Single mother anahitajika Umri 29-39

  Dogo kabebe zege acha kujikiuka mwenyewe, Bado uko energetic guy kafanye kazi, tafuta msichana mwenye miaka 20 au 21 oa. Acha kuchangia wanawake na baba zako! Sent using Jamii Forums mobile app
 17. Saguda47

  RC Mghwira aagiza mkuu wa kituo cha polisi kuchukuliwa hatua

  Yaani ungekuwa kiongozi halafu uruhusu biashara holela Basi usingefanikiwa lolote, biashara za magendo huua uchumi wa nchi na huchochea uhalifu na uuzaji wa Mali za wizi pamoja na madawa ya kulevya. Mama Yuko sahihi, kikubwa tu waandae utaratibu mzuri baina ya pande mbili. Sent using Jamii...
 18. Saguda47

  Mamlaka ya hali ya hewa (TMA) yatahadharisha ujio wa mvua kubwa kwa siku tano kwa mikoa ya pwani

  TMA siku hizi wanajitahidi Sana mambo mengi ya utabiri wao yanakuwa sahihi, Watu wa Dar na viunga vyake jiandaeni kwa bogi la kufa mtu! Sent using Jamii Forums mobile app
 19. Saguda47

  Malalamiko hayatoshi tusinunue vocha

  [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] angekuwepo hayati jiwe angetukanwa kila Aina ya tusi, Sasa hivi chumvi imemwagikia kidondani[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wacha tuisome vizuri [emoji16] heshima irudi. Sent using Jamii Forums mobile app
Top Bottom