Search results

 1. MR.NOMA

  Vyuo vinavyotoa Online Masters degree

  Wana JF habari za Weekend? Naomba kufaham orodha ya vyuo vya Ulaya, Marekani, Asia etc. vinavyotoa online masters courses hasa kwenye masuala ya social science na kozi zingine za management. Vyuo hivyo viwe vinatambulika na TCU.
 2. MR.NOMA

  Je, wafahamu benki gani hukopesha mtu/ mwajiriwa fedha kwa dhamana ya salio lake lililopo kwenye mifuko ya Hifadhi ya Jamii?

  Wakuu habari za Jumapili!? Ninaomba kufaham. Nimekuwa nikisikia maneno/ tetesi ambayo kwa hakika sijabahatika kuonana na mtu akanipa taarifa za kuaminika juu ya hili. Jambo lenyewe ni niliwahi kusikia kuwa kuna Baadhi ya bank hapa nchini zinautaratibu wa kukopesha mtu/ mwajiriwa fedha kwa...
 3. MR.NOMA

  DAWASCO Kimara fungueni Maji, Hali ni Mbaya

  Habari wanabodi, kama Kuna mtu anamfaham Meneja wa DAWASCO Kimara, tafadhali amjulishe kuwa afungue maji mchana huu kwani Hali huku mtaani ni Mbaya Sana. Siku ya 4 leo inaenda maji hakuna, na hata watu wanaouza toka kwenye matanki yao wameishiwa maji, hivyo, Hali sio ya mchezo kabisa. Kuna...
 4. MR.NOMA

  Je ushawahi kuhisi kurogwa/ kufanyiwa ushirikina na ukapata madhara?

  Wakuu Kwema? Pole yetu sote kwa Janga la Morogoro. Nauleta huu uzi Kwenu ili tushare uzoefu na solution tulifanyaje. Swali ni ulishawahi kuhisi kufanyiwa ushirikina/ kukubwa na kitu cha kichawi na hasa kilikupata? Ulifanyaje mpaka ukapona? Kwa upande wangu niliwahi kupatwa na tukio ambalo...
 5. MR.NOMA

  Daah! Kuwa Uyaone Jirani yangu ambebea bisu mwanamke mwenzie mchana kweupe, majirani wamnyanganya,ampiga ngumi za kutosha- Kisa Usagaji

  Wakuu! Habari za jioni ya Leo! Hivi karibuni nikiwa mtaani kwetu uswahilini huku dar, mchana kweupe nikasikia nyumba ya jirani Kuna kelele za ugonvi mata pap nikatoka kufika hapo nakuta wanawake wa umri usiopungua miaka 35 hivi wakikabana na kugalagazana hapo chini, Huku mwingine akiwa na...
 6. MR.NOMA

  Siku ya nne bila maji Kibamba, Dar (Juni 9, 2019)

  Wakuu Kwema!!? Pamoja na Tangazo linalosambaa la DAWASCO kuwa kulikuwa na itilaf kwenye mitambo ya maji huko RUVU, Sasa hii ni Tanzania pekee wananchi wamekosa huduma ya maji kwa siku nne mfululizo, huku mtaani wamama wanahaha kwelikweli, wengine wamelazimika kuuziwa maji yasiyo salama ya...
 7. MR.NOMA

  Konyagi ya kupima Italimaliza Taifa- ni heri Kiroba kilichopigwa matufuku

  Wananzengo Habari za Jumapili! Natoa wito kwa Serikali hasa mamlaka husika kwa kuangalia viwango vya vinywaji na vyakula kutoa tamko haraka na kupiga marufuku kabisa biashara ya Konyagi ya kupima/ k va t ya kupima, maana hi kitu tayari watu wameanza kunyweshwa gongo na uchafu mwingine bila...
 8. MR.NOMA

  Pasaka imenipotezea rafiki yangu kipenzi

  Ni wiki moja tu imepita, Tulichati kwa whatsap.Tulikuwa tukicheka madakika yakapita.Sikujua Kama Ulikuwa waniaga, Umeondoka mkuu.Pumzika kwa Aman Kaka Fred,Mungu akupokee. Mpaka Sasa sielewi na pia siamini Kama kweli umetutoka, nawaza na kujifariji labda kesho utaamka.Taarifa za kifo chako...
 9. MR.NOMA

  Je, Ulishawahi kubakwa na Dada wa kazi/Mwanamke yeyote wakati ukiwa na umri mdogo kuanzia miaka 5- 18.( Wanaume tu wachangie)

  Habari za muda huu Wakuu? Binafsi wakati nipo darasa la 2 niliwahi kulala kitanda kimoja na Dada mmoja ambaye kwao kulikuwa jirani Sana na kwetu,Wazazi wangu walisafiri wakawaomba majirani zetu wasaidie kumteua mtoto wao mmoja aje awe analala pale kwetu ili kuangalia/ kulinda nyumba usiku ili...
 10. MR.NOMA

  Je, ushawahi kukutana na kibwengo au jini barabarani/ popote; ulifanyaje?

  Salam Wakuu Wakati nipo kidato cha pili,siku 1 nikiwa napita mahala kuna mto mdogo/ korongo lenye maji usiku wa saa 3 niliona kitu Kama mtu mfupi Sana kipo mbele yangu kikiwa kimevaa nguo nyeupe. Sikupoteza muda kukitazama niligeuza na kutoka speed mia na kitu, Mara nikadondoka,ile kucheki...
 11. MR.NOMA

  Ushauri

  Katika kipindi hiki ambapo Serikali yetu inapambana kuhakikisha wahitimu wa vyuo walionufaika na mikopo wanalipa madeni yao hata kidogokidogo.Nashauri serikali kuwapa kipaumbele kwenye ajira wahitimu waliofanikiwa kulipa deni lote/ walioanza kulipa kwa juhudi zao wenyewe na wanaelekea...
 12. MR.NOMA

  Magari/ pikpik kwenye vituo vya Polisi

  Salam wanajanvi,tumekuwa tukiona pikpik na Magari mabovu vikiwa vimelundikwa kwenye vituo vya Polisi mf.Pale urafiki.Swali hivi hakuna Sheria/ muongozo unaowaruhusu Jeshi kuzipiga mnada Mali hizo endapo Kama imekaa muda mrefu na mwenye nacho haji kuigomboa/ ameitelekeza.Lengo ni kufanya vituo...
 13. MR.NOMA

  Je,wamasai wauza dawa za mitishamba mabarabarami kwenye miji na majiji hapa nchini wanavibali?

  Salam wanajanvi, Naomba tusaidiane uelewa na kushare maarifa juu ya hawa watu ambao naamini wengine sio Masai,wanazunguka katika miji mingi wakiwa na mifuko imejaa dawa na nyigine wakiwa wamebeba kwamkono.Je wanapewa vibali na nani? Na nani anathibitisha ubora wa dawa zao?
 14. MR.NOMA

  Msichana anichekea, aniuliza uelekeo na kupotea ghafla

  Wadau kwema humu, Jana Jumamos, majira ya saa 12 jioni nikiwa nimevuka kutoka Kigamboni kumsalimia Baba wa rafiki yangu ambaye ni mgonjwa. Nikasimama mahala kununua maji ya kunywa, nikiwa nanunua maji kugeuka pembeni yangu nikakuta msichana mzuri mweusi mwenye umbo la kati wa umri kama miaka 25...
 15. MR.NOMA

  Vijana kuvaa ma ringi/ mabangili ya chuma mkononi Nini maana yake?Yana kazi gani? Faida gani? Ni kweli yanawakinga na wachawi?

  Wadau Habari za Jumapili.Nimekuwa nikishuhudia vijana wenzetu was kiume wengi wamevaa mibangili mibaya ya chuma,na kwa siku za hivi karibuni naona wameongezeka zaidi.Swali nini chimbuko asili ya hayo mabangili? Na ni kweli wengi hupewa na waganga kujilinda?
 16. MR.NOMA

  Niliyoyaona Tanga mjini! Tanga kweli Raha

  Ndugu wanajukwaa wenzangu hivi karibuni nilitembelea jiji la Tanga, Ila niliona yafuatayo ambayo kiukweli ni ya kipekee. 1. Ukifika tu ukitoka demu bodaboda aliyekubeba anakuuliza aweje umbo, alaf baada ya dakika chache anakuletea mtoto wa maana. 2. Ukionekana na demu uliyeletewa na boda...
 17. MR.NOMA

  Kero kumi za Usafiri wa Mwendokas DSM

  1.Ukiingia kituoni unaweza kusubiri gari hata zaidi ya nusu saa usifanikiwe kusafiri 2.Haja ndogo/ kubwa ikikubana ukiwa ndani ya kituo inakupasa kutoka nje utafte sehem ujisaidie urudi ukate tena tiketi nyingine uingie 3.Kwa sasa Magari hayo yanajaa sana,kiasi kwamba imekuwa karaha.watu...
 18. MR.NOMA

  Darasa la Mwisho Kufunga MKWAWA sekondari Iringa

  Wananzengo kwa wale waliopita MKWAWA sekondari,hasa waliokuwa darasa la mwisho,tukumbushane interesting stories za kunzia tukiwa pale 2003-2005 ambapo sekondari ilifutwa rasmi.Baadhi ninayoyakumbuka mimi ni:-Uwepo wa kijiwe kiitwacho love square ambacho kilikuwa maalumu kwa ajili ya...
 19. MR.NOMA

  Nilichokiona Shinyanga

  Wakuu habari zenu, Nimepita hapa kuwamegea kidogo mambo machache ya kustajabisha niliyoyaona wiki tatu zimepita nikiwa nimetembelea Manispaa ya Shinyanga. Mambo yenyewe ni:- 1.Mji kuna vumbi na vimbunga vidogovidogo vyenye kasi hupita kila mara. 2.Watoto wa shule ya msingi na sekondari...
 20. MR.NOMA

  Baraza la mtihani(NECTA) hii imekaaje?Bring back our scores

  Wadau naandika huku nikiwa na machungu moyoni.Wakati nimeamaliza Kidato cha 4 Kwiro sekondari Morogoro mwaka 2002 nilipata Division 2 ya pointi 18,lakini nikaandikiwa nimepata div 3 eti kwasababu tu nilipata F ya hesabu,eti nikapigwa penalty.Sasa nimeona matokeo ya mwaka 2015 wanafunzi walipata...
Top Bottom