Search results

 1. KASULI

  Msaada namna ya kuweka Playstore

  Nimekuwa mtumiaji wa bidhaa za HUAWEI kwa miaka mingi, Lastly nlikuwa natumia P30 kabla ya kuhamia Samsung, Sasa kama mjuavyo bidhaa Mpya za Huawei hazina tena Google PLAY STORE. KWA UFUPI natamani kufaham kama kuna uwezekano wa kuweka Play Store kwenye hizi Huawei ambazo hazina hii Huduma? Na...
 2. KASULI

  Uzi maalumu wa baadhi ya hukumu za Kesi zilizowahii kutikisa Nchi

  Habari za Jioni wanajamvi, nimekuwa nikivutiwa kufatilia kesi mbalimbali zilizowahii kutikisa nchi. Mfano: 1. Kesi ya Babu Seya 2. Kesi ya Zombe 3. Kesi ya mauaji ya Imran Kombe 4. Kesi ya Mwalimu Mutazingira 5. Kesi ya wale jamaa walioua watu saba kwa mapanga Katika uzi huu tutawekaa hukumu...
 3. KASULI

  Azam Tv acheni wizi...

  Mimi ni mteja wenu mwaminifu tangu mwaka 2014, kilichonisikitisha mpaka kuwafingulia uzi uku JamiiForums ni tangazo ambalo nimelipokea jana likinijulisha kuhusu mwisho wa kifurushi changu cha mwezi wa pili. Niwarejeshe nyuma kidogo, mimi nililipa kifurushi tarehe 01/02/2021 nimeshangazwa na...
 4. KASULI

  Ombi: Nahitaji ile soundtrack inayotumika wakiwa wanaapishwa viongozi

  KWA YOYOTE MWANA JAMII FORUM AMBAE ANAWEZA NISAIDIE ILE AUDIO UPIGWA(BACKGROUND AUDIO) VIONGOZI WA KITAIFA WAKIAPISHWA NAOMBA ANITUMIE DM AU ANAYEWEZA KUKATA KUTOKA KWENYE VIAPO (KUI CROP).... NATANGULIZA SHUKRANI..... Sent using Jamii Forums mobile app
 5. KASULI

  Mwanza Special Thread: Uzi wa kueleza masuala mbalimbali yanayohusu mkoa wa Mwanza

  Watu wa Mwanza huu uwe Uzi wetu wa kuelezea, Mazuri ya Mwanza, mazuri na mabaya ya hili Jiji, mfano biashara mbalimbali, maulizo na majibu. Changamoto za mkoa, madalali wa Viwanja, nyumba, vyumba. Mpigilio wa mji na makazi katika maeneo ya kando kando ya mji. "Machinga influx" hii kitu...
 6. KASULI

  Ushauri kuhusu namna gani bora ya kuandika kitabu

  Asalaam Nianze hivi. Wanajamvi nimekuwa interested kuandika vitabu vya kitaaluma kama wanavyoandika wakina Nyambari Nyangwine...hii "spirit" uwa inaniijiaa nkiona vitabu vilivyoko mtaan...vingi haviko "well documented". Naomba kufahamisha mambo yaafuatayo: 1. Namna bora yaa kuandika kitabu...
 7. KASULI

  Kama utani Manispaa ya Bukoba na watawala wameshindwa kujenga Stendi ya Mabasi

  Leo nimefatilia kwa karibu sana hotuba na ziara ya mh Rais Magufuli. Kati ya mambo niliyokuwa nayatarajia ni kuona Rais akiweka jiwe la msingi katika ujenzi wa Stendi ya Mabasi Manispaa ya Bukoba. Hili ni jambo la kushangaza sana Kuona mkoa ambao una historia Kubwa, mkoa umezungukwa na ziwa...
 8. KASULI

  Naomba kufahamishwa huduma ya Waxing

  Samahani wadau napenda kufaham kuhusu hii huduma ya Waxing. 1. Inatolewaje na utolewa na akina nani? 2. Mfno ukifanya waxing ya kwapa au kule kwa bibi nywele/,vinyweleo uota baada ya muda gani? 3. Tofauti na Saloon unaweza pata wapi material na ni kiasi gani? 4. Madhara yake ni Yapi? 5. Kwa...
 9. KASULI

  Bado sikubaliani na Tecno kuuzwa laki 6

  Binafsi naamini TECNO itakuja kuwa Kampuni kubwa Ya Smartphone, Kwamba watakuja kukaa meza moja na awa REDMI, REALMI, OPPO, NOKIA, SONY, SAMSUNG ila kwa Sasa sioni kama wana simu yenye quality ya kuuzwa Laki 6 Najaribu kudadisi hivi nmeona simu ya Tecno CAMON 16 PRO, ina mwonekano wa kawaida...
 10. KASULI

  Hii ndiyo ofisi ya Rais wa wanyonge

  Habari za asubuhi wanajamvi. Jana zilisambaa picha nyingi zikimuonesha RAIS watu akiwa Ofisini akiongea na Simu aliyopigiwa na Rais Wa China, Picha hizo zilionesha Ofisi iliyojaa mafaili ambayo inayotumiwa na Rais wa Tanzania IKULU CHAMWINO, DODOMA. Niseme hapa kuwa kiukweli Rais wetu ni Rais...
 11. KASULI

  Bodi ya Mikopo (HESLB) mnawatesa Wanachuo

  Bodi ya Mikopo inao wajibu sasa wa kujitokeza ili kuwataka radhi wanachuo na watanzania kwa ujumla kwa mateso mnayowapa wanachuo. Wanafunzi wa mwaka wa kwanza na wanaoendlea wako katika sintofaham kubwa kuhusu lini pesa za kujikimu maarufu kama "BOOM" (MEALS AND ACCOMODATION) zitaanza kutolewa...
 12. KASULI

  Mkoa wa Mwanza na changamoto zake: Usafiri jijini ni kikwazo kikubwa

  Nimekuwa nikiwafatiliaa wakuu wa mikoa na utendaji wao, Nimejiridhisha kuwa wakuu wa mikoa wana michango mikubwa katika maendeleo ya mikoa mfano Mkuu wa mKoa wa Simiyu. Kingine cha Ziada ambacho ndo lengo la Mada yangu wakuu wa mikoa wanahusika pakubwa katika kuichangamsha mikoa yao, Wakazi wa...
 13. KASULI

  Pamoja na Azam kushusha bei za vifurushi, kuna kitu hatujakielewa wateja wenu

  Azam tv kwa kifupi wameamua kushusha zaidi vifurushi vyao kutoka 10000 kwa mwezi hadi 8000 kwa mwezi channel zaidi ya 55 Pure kutoka 18000 hadi 13000 kwa mwezi Channel zaidi ya 60 Plus kutoka 23000 hadi 20000 kwa mwezi Channel zaidi ya 90 Na hapo hakutakua na malipo ya ziada ya baadhi ya...
 14. KASULI

  Ni lazma kulipia unapoomba udahili awamu ya pili?

  Wanafunzi wenzangu naomba kufahamishwa je, ni lazima kulipia tena unapoomba udahili second round kwa Chuo kilekile? Mfano mtu aliomba UDSM, akakosa chuo anataka kufanya re- application je palepale UDSM ,je analazimika kulipia tena? Naomba kuwasilisha.
 15. KASULI

  Ni Nini kiliipata hii Bodi

  Mapema Januari mwaka huu Waziri Mkuu alitoa ufafanuzii juu ya kile kinachoitwa bodi ya mishahara ilii kurekebisha mishahara iendane na elimu na ugumu wa kazi. Leo ni Desemba hakuna tamko au chochote kipya. Alhamisi, Januari 24, 2019 Majaliwa akutana na wajumbe wa Bodi ya Mishahara na Maslahi...
Top Bottom