Search results

 1. tyina

  Dalili za mwanamke mwenye PID

  Nini madhara ya PID kwa wanawake? Sent using Jamii Forums mobile app
 2. tyina

  Matumizi ya preginancy test

  Msaada kwa anayejua kile kifaa cha kupimbia mimba( preginacy test) huwa kinaanza kuonyesha mimba ikiwa na week ngapi? Sent using Jamii Forums mobile app
 3. tyina

  Msaada kwa wanawake wanaoingia period kipindi kirefu

  Hiv kwa wale wanawake wanaoingia period yaan mzunguko mrefu kipind cha cha siku 35 siku za hatar zinakuaga sawa na Kwenye mzunguko mfupi au wa kawaida? Sent using Jamii Forums mobile app
 4. tyina

  Je, matumizi ya asali yanasaidia kwa wenye matatizo ya uzazi?

  Hivi ni kwel mtu akiwa analamamba asali inaboresha kizazi yaani mfuko wa uzazi unakuwa imara kumpelekea yeye kupata mimba kwa haraka kwa wale wenye uzazi wa shida? Sent using Jamii Forums mobile app
 5. tyina

  Mimba inatakiwa kufikisha miezi mingapi ndipo uende clinic

  Msaada ivi ukiwa mjamzito inabidi uanze kwenda clinic mimba ikiwa inamiezi mingapi?
 6. tyina

  Mwanamke kupitiliza siku za hedhi nini kinachosababisha

  Jamanii wakuuu naomben msaada wenu kwann mwanamke anapitiliza siku za hedhi? Sent using Jamii Forums mobile app
 7. tyina

  Kwanini wanawake walio na pesa ni vigumu kutulia kwenye ndoa zao?

  Jamani naombeni ushauri wenu wakuu maana nimechunguza kila mwanamke ambaye anauwezo ni vigimu sana kumkuta na familia yake. Post sent using JamiiForums mobile app
Top Bottom