Search results

 1. Asherymdudu

  Polisi Tanzania: Hatutegemei kuona sherehe za Pasaka wakati Nchi bado ipo kwenye maombolezo

  Jeshi la Polisi nchini limesema halitegemei kuona sherehe na shamrashamra za Pasaka kama za kipindi cha nyuma katika kipindi hiki ambacho nchi bado ipo kwenye maombolezo ya kuondokewa na Hayati Dkt. John Pombe Magufuli.
 2. Asherymdudu

  Ni rahisi kamba kupenya kwenye tundu la sindano kuliko tajiri kuingia mbinguni

  Hivi kuna mchawi kama tajiri??? Au mwizi kama tajiri anavyowanyonya wanyonge?? We unadhani kwanini Yesu alimwambia Yule tajiri awagawie mali zake zote maskini kisha amfate??
 3. Asherymdudu

  Ni rahisi kamba kupenya kwenye tundu la sindano kuliko tajiri kuingia mbinguni

  Kila Utajiri anaukafili Nyuma yake Ndo maana huwezi kumkuta mtu mwenye kufata NJIA ZA MUNGU na sheria zake akawa nimwenyepesa nyingi Sababu anajua utamsahau tu So hizo AB sizani kama kunaukweli
 4. Asherymdudu

  Apigwa na askari hospitalini akisubiri kununua dawa za mama yake mzazi katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa Shinyanga

  Kipande kifupi cha video tulichotumiwa na Lydia Lefi, Mkazi wa Shinyanga cha tukio la Walinzi wa Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Shinyanga kumchapa mikanda kijana ambaye amedai ni mdogo wake kwa kosa la kupitiliza muda wa kuona wagojwa katika hospitali hiyo. Kwa mujibu wa maelezo ya Lydia anasema...
 5. Asherymdudu

  NYARAKA: Watoto wa Magufuli, Dotto James na mke wa Makonda na viwanja huko Ununio, Dar

  Kwa wanaouliza eneo Zitto kawajibu Sent using Jamii Forums mobile app
 6. Asherymdudu

  Osama Bin Laden katika picha

  Mvulana aliyevaa shati la kaki (brown) wa pili kushoto ni Osama bin Laden hapo akiwa na umri wa miaka 14. Picha hii ilichukuliwa mwaka 1971. Osama bin Laden aliuawa kwa kupigwa risasi na kikosi maamlum cha Marekani May 2 2011 Nchini Pakistan. Sent using Jamii Forums mobile app
 7. Asherymdudu

  Unasikiliza wimbo gani sasa hivi?

  Sent using Jamii Forums mobile app
 8. Asherymdudu

  Maswali yanayohitaji majibu baada ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani imemwekea vikwazo Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Christian Makonda

  Naona watu wanajadili zuio la Makonda kuingia Marekani badala ya kujadili sababu zilizopelekea hilo zuio. Wenye akili ndogo wameanza kusema "Kwani Marekani ni mbinguni? Kwani asipoenda atapungukiwa nini?" Hii ni comment ya Mbunge mmoja wa CCM kule Twitter. Lakini hoja si Makonda kuzuiwa...
 9. Asherymdudu

  Watanzania wazuiliwa kucheza bahati nasibu ya kupata ukazi wa kudumu (Green Card) Marekani

  Naona watu wanajadili zuio la Makonda kuingia Marekani badala ya kujadili sababu zilizopelekea hilo zuio. Wenye akili ndogo wameanza kusema "Kwani Marekani ni mbinguni? Kwani asipoenda atapungukiwa nini?" Hii ni comment ya Mbunge mmoja wa CCM kule Twitter. Lakini hoja si Makonda kuzuiwa kuingia...
 10. Asherymdudu

  Zuio la Watanzania kwenda Ng’ambo: Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani

  Wewe hujiewi kabisa na nadhani huwa zunakutoka mala 4 kwa week Huyo unayemwita Beberu unachuku condom Huyo unayemwita Beberu anakupa dawa za ARV Huyo unayewita Beberu anavitabu vingi mashureni vimeandikwa not for sale Hiyo ni kwa uchache tu Yani wewe hujitambui takataka kabisa nadhani...
 11. Asherymdudu

  Zuio la Watanzania kwenda Ng’ambo: Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani

  Hivi wewe huwa unafikiri kwa kutumia nini mkuu?? na usiseme ubongo Tambua Hicho ni kionj'o tu kwa kuwekewa mchuvi mkononi uonje kama chumvi imetosha au iongezwe Pamoja na mambo mengine, Pompeo amesema Marekani ina USHAHIDI kuwa Makonda ameshiriki KUDHULUMU HAKI YA KUISHI KWA WATU KADHAA. Hii...
 12. Asherymdudu

  Zuio la Watanzania kwenda Ng’ambo: Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani

  Nakumbuka Rais Mstafu Jakaya Kikwete alishawahisema ukitaka Dunia ikuone we ni mtu mzuri au Nchi yako nzuri Marekani akuseme kwa mema na Ukitaka Dunia ikuone we mbaya Mmarekani akunyoshee kidole kwa kukusema vibaya Sasa naona kama baada ya uchaguzi Tunaelekea Zibwabwe andazi tutalinunua kwa...
 13. Asherymdudu

  Wanadada wa 4 familia moja waliopiga picha ya pamoja kwa miaka 40

  Naona mkuu ume copy na kupest kutoka Quora Sent using Jamii Forums mobile app
 14. Asherymdudu

  Mshana Jr, agent wa Shetani JF?

  Kwani hizo mada anakuandikia wewe?? Au ukoo wenu ?? Aliposema "Watuwangu wanaangamia kwa kukosa maalifa" Unazani hayo maalifa niya Biblia au Qirwn tu! Alafu usije mshutumu kuwa Agent wa shetani wakati amlizake tu ukizivunja hata moja we ni Agent pia wa shetani Au wewe ndo mtakatifu zaidii...
 15. Asherymdudu

  Bei ya vifurushi vya Internet leo trh 11/02/2018

  Ubarikiwe Mkuu me nipo Moshi ngoja nijalibu kusajili
 16. Asherymdudu

  Bei ya vifurushi vya Internet leo trh 11/02/2018

  Niliambiwa TTCL wanaghalama sana vp mkuu kwa wewe unaotumia mtandao huo hudumazao zipo vp kwa swala la Internet na speed pia
Top Bottom