Search results

 1. issenye

  Uchaguzi 2020 Samia Suluhu Hassan: Askari wa Serikali ya CCM akipiga mtu risasi 3 akamkosa atawajibika

  Mama Samia Suluhu Hassani ambaye ni Mgombea mwenza wa kiti cha Urais kupitia Chama cha Mapinduzi(CCM) amesema kuwa anawaomba wafanye kampeni kwa amani wakipita wawasikilize wala wasigombane nao. Amesema kuwa wapo wagombea watakwenda kuwaambia kuwa walivunjwa miguu na mwingine alimsikia akisema...
 2. issenye

  Hotuba ya bajeti kambi ya upinzani mambo ya nje 2019/2020

  HOTUBA YA MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI KATIKA WIZARA YA MAMBO YA NJE, USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI, KIKANDA NA KIMATAIFA, MHESHIMIWA ESTHER NICHOLAS MATIKO (MB), KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA YA WIZARA HIYO, KWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020 A. UTANGULIZI 1...
 3. issenye

  Alikiba na Samatta wafungukia mechi yao

  May 30, 2019 by Global Editor Mbwana Samatta amefunguka kumpiga mabao mengi ali kiba katika mechi yao ya Team Samatta na Team Kiba itakayopigwa june 02, 2019. Kampeni ya Nifuate hivi sasa ni msimu wake wa pili ikiwa na lengo wa kusaidia watoto waliopo katika maisha magumu.
 4. issenye

  TANZIA: Thomas Mollel maarufu 'Askofu' afariki dunia jijini Dodoma akihudhuria kuapishwa kwa Mbunge wa Arumeru Mashariki

  Mfanyabiashara maarufu wa madini nchini Tanzania, Thomas Mollel maarufu kwa jina la Askofu amefariki dunia jana usiku Jumatatu Mei 20, 2019 jijini Dodoma. Alikwenda Dodoma kushuhudia kuapishwa kwa mbunge mteule wa Arumeru Mashariki (CCM), Dk John Pallangyo. Mollel ambaye mwaka 1995 alipata...
 5. issenye

  ‘CUF Lipumba’ wakaidi agizo la Polisi, waendelea na mkutano

  Kwa ufupi Licha ya Polisi wilaya ya Ilala Kanda Maalum ya Dar es Salaam kutoa zuio la kufanyika kwa mkutano mkuu wa CUF upande wa Profesa Ibrahim Lipumba, mkutano huo unaendelea huku ofisi ya msajili wa vyama vya siasa ukiubariki mkutano huo ---- Dar es Salaam. Licha ya Jeshi la Polisi kuzuia...
 6. issenye

  Dkt. Bashiru Ally amtaka Bernard Membe kujibu kuhusu kufanya vikao vya kutafuta kura 2020

  MADAI YA KUMKWAMISHA JPM: Katibu mkuu wa CCM, Dkt. Bashiru Ally amemtaka aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje, Bernald Membe kufika ofisini kwake kukanusha madai yanayomkabili. Bashiru Ally ametema cheche hizi kwa waziri wa zamani wa Mambo ya Nje, Bernard Membe ambaye pia ni mwanachama wa CCM...
 7. issenye

  Waziri Kangi Lugola: Nikifa nizikwe na ilani ya CCM

  Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola amesema akifa anatamani azikwe na Ilani ya uchaguzi wa CCM itakayokuwepo wakati huo. Lugola ametoa kauli hiyo leo Jumapili Julai 8, 2018 katika mahojiano maalum na MCL Digital baada ya kutembelea ofisi za kampuni ya Mwananchi Communications Ltd (MCL)...
 8. issenye

  RC Makonda: Ukimpa ujauzito mwanamke mkoa wa Dar es Salaam ujipange

  JOPO la Wataalamu kutoka Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali, Maofisa Ustawi wa Jamii, Wanasheria pamoja na askari Polisi kutoka Dawati la Jinsia wamemuhakikishia Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda, kuwa wamejidhatiti vyema kuwasikiliza akinamama waliotelekezwa na hawapatiwi pesa ya...
 9. issenye

  Mgombea ubunge Siha afarijika kuona bendera ya CHADEMA

  Mgombea Ubunge wa jimbo la Siha kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Godwin Mollel amefarijika kuona bendera ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwenye mkutano wake wa Makiwalu wakati akifanya kampeni za kugombea Ubunge wa jimbo. "Niwaambie makamanda bado nina wapenda na...
 10. issenye

  Muendelezo wa kick Wizara ya maji

  Naibu waziri wa maji na umwagiliaji Jumaa Aweso akiwa amebeba ndoo ya maji pamoja na kina mama wa Kishapu Shinyanga.
 11. issenye

  Msanii Chid Benz akamatwa tena na dawa za kulevya

  Jeshi la polisi Mkoa wa Ilala, limewakamata watu saba akiwemo msanii wa muziki wa kizazi kipya, Rashid Makwiro maarufu kama ‘Chid Benz’ kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya aina ya Heroine. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ilala, Salum Hamduni amesema watuhumiwa hao walikamatwa Agosti 12 mwaka...
 12. issenye

  SATURDAY, JULY 1, 2017 WB yaingilia kati suala la mabinti wanaopata mimba shuleni

  By Kelvin Matandiko, Mwananchi kmatandiko@mwananchi.co.tz Dar es Salaam. Benki ya Dunia (WB) imesema kuna manufaa ya kijamii na kiuchumi ya kumuelimisha mtoto wa kike. Bella Bird, mkurugenzi Mkazi wa WB kwa nchi za Tanzania, Burundi, Malawi na Somalia, alisema mimba za utotoni si tu...
 13. issenye

  Miswada mitatu(3) ya kujadili masuala ya madini na maliasili yafikishwa Bungeni kwa hati ya dharura

  Miswada mitatu ya Sheria ya Serikali imesomwa Bungeni na imepelekwa kwenye Kamati za kudumu za Bunge ili ikafanyiwe kazi ipasavyo 1. Muswada wa Marekebisho ya Sheria mbalimbali wa 2017, utafanyiwa kazi na Kamati ya Katiba na Sheria inayoongozwa na Mh. Mohammed Omary Luchengerwa 2. Kwa mujibu...
 14. issenye

  Hakuna celebrities wengine Tanzania zaidi ya hawa wawili

  NAJIULIZA KILA SIKU, HIVI MASTAA NI HAWA WAWILI TU, DIAMOND NA KIBA? KILA MTU AKIFUNGUA THREAD NI WAO HADI INACHOSHA. BADILIKENI
 15. issenye

  Kilimbe, Mabumba waula TCRA

  Rais John Pombe Magufuli amemteua Dk Jones A. Kilimbe kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania na Slyvester Mabumba kuwa Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kuanzia tarehe 17 Novemba, 2016
 16. issenye

  Orodha ya wadaiwa sugu HESLB yaibua mapya

  Kwa ufupi Pia, yapo majina ya watu ambao hawajawahi kuomba mkopo na wengine walisoma nje ya nchi. By Kalunde Jamal, Mwananchi kjamal@mwananchi.co.tz Dar es Salaam. Orodha ya wadaiwa sugu wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB), imedaiwa kuwataja wanufaika ambao baadhi walishamaliza kulipa...
 17. issenye

  Polisi wanaoshtakiwa kwa jaribio la kubaka wapata dhamana

  Polisi wanaoshtakiwa kwa jaribio la kubaka wapata dhamana kwa ufupi Washtakiwa hao, aliyekuwa Konstebo wa Polisi Petro Magana wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) na Konstebo Lucas Ng’weina wa Wilaya ya Kipolisi Mbalizi mkoani Mbeya wanakabiliwa na mashtaka ya kutaka kufanya mapenzi kwa nguvu na...
 18. issenye

  Clinton aacha kilio bungeni Dodoma, Naibu Spika na wabunge wanawake waguswa zaidi kushindwa kwake

  Naibu Spika, Dk Tulia Ackson amesema wabunge wanawake wamesikitishwa na kushindwa kwa mgombea urais wa Marekani, Hillary Clinton. Akizungumza baada ya kuwatambulisha wageni bungeni jana, Dk Tulia alisema walitarajia kwamba mambo yangeweza kuwa mazuri upande wao (wanawake) lakini haikuwezekana...
 19. issenye

  Utafiti waanika kilio cha ugumu wa maisha

  Kwa ufupi Utafiti kuhusu utendaji wa Rais Magufuli katika kipindi cha mwaka mmoja wa kuwapo madarakani unaonyesha kuwa ameshughulikia suala la gharama za maisha kwa asilimia 5.2. By Peter Elias, Mwananchi pelias@mwananchi.co.tz Dar es Salaam. Watu 95 kati ya 100 hawaoni kama kuna unafuu wa...
 20. issenye

  Kama Waziri Nape anakosa uvumilivu kiasi hiki, hiyo Sheria ya Habari itakuwaje?

  Kama Waziri Nape anakosa uvumilivu kiasi hiki, hiyo Sheria ya Habari itakuwaje? Kwa ufupi “Uzoefu unaonyesha kuwapo kwa tofauti kati ya vyeti na utendaji wa kazi. Wapo baadhi ya waajiri wameshindwa kuwaajiri wahitimu wa vyuo vikuu wenye shahada za uandishi wa habari kwa sababu hawana...
Top Bottom