Kama kweli kapambana nao kwa kuuvuta na kuuzungusha pale lazima uguse nyaya zenye moto na pale kati hua kuna insulator sasa kwakuvuta na kusukuma yaweza gusisha vile vipande chajuu na cha chini ambavyo vimetenganishwa na insulator ile kwahyo short au umeme hupita moja kwa moja hadi aridhini.
Hivi hii kampuni ya NAAWEP ilioko America ya kaskazini ilitoa ajira kwa watu isipokua wazawa wa America ya kaskazini sasa wakubwa nauliza ipo kweli hii kampuni au ni wezi hawa maana hivi karibuni walitoa nafasi za kazi walioingia ktk short listed waliambiwa watafute passport ya kusafiria then...